ndo maana watu wamemkataa SAA100Usimkubali Mwanasiasa yeyote. Kubali Wazazi wako tu
miaka ishirini pamoja na kuwa mbunge bado anendekeza njaa!Jumla ya wananchama 50 wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kutoka Mkoani Morogoro wamejivua uanachama wa chama hicho huku baadhi yao wakijivua nyadhifa mbalimbali za uongozi wa ndani ya chama hicho.
Hatua hiyo inakuja baada ya wanachama hao kudai kuwa hawaridhishwi na Maendeleo ya chama hicho ikiwemo ajenda ya kuhamasisha wanachama kugomea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Miongoni mwa waliojivua ni Suzan Kiwanga aliyekuwa Mbunge Jimbo la Mlimba 2015- 2020, David Chiduo aliyekuwa Mwenyekiti mstaafu Jimbo la Kilosa, Magreth Raphael alikuwa Mjumbe mkutano mkuu Taifa, Sheila Mluba Alikuwa Mwenyekiti BAWACHA Jimbo la Kilosa kati.
VIDEO: MwanaHabari
Wewe mwenyewe umejificha unatakaje wenzio wajifichue? Acha mbwembwe za kubinuka sarakasi mbele ya wakwe zako huku umevaa msuli na ndani hukuvaa kitu!Mapambani ya nini, jitokeze siyo umejificha humu km msukule
Yupi tena mkuu?ilikuwaje?Alimroga yule viti maalum mwingine nimemsahau jina 🐼
johnthebaptist ni mchonganishi wa kutoka Lumumba usitilie maanani akisemacho. Yeye kila ajali anaona lazima kuna mkono wa mtu!Yupi tena mkuu?ilikuwaje?
na mafuta kujitenga ni lazima no way!!! Imagine mtu anaongea pumba namna hiyo 😂😂😂. Amin nawaambia laiti mbowe angeendelea kua mwenyekiti usingesikia haya mashudu!!Jumla ya wananchama 50 wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kutoka Mkoani Morogoro wamejivua uanachama wa chama hicho huku baadhi yao wakijivua nyadhifa mbalimbali za uongozi wa ndani ya chama hicho.
Hatua hiyo inakuja baada ya wanachama hao kudai kuwa hawaridhishwi na Maendeleo ya chama hicho ikiwemo ajenda ya kuhamasisha wanachama kugomea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Miongoni mwa waliojivua ni Suzan Kiwanga aliyekuwa Mbunge Jimbo la Mlimba 2015- 2020, David Chiduo aliyekuwa Mwenyekiti mstaafu Jimbo la Kilosa, Magreth Raphael alikuwa Mjumbe mkutano mkuu Taifa, Sheila Mluba Alikuwa Mwenyekiti BAWACHA Jimbo la Kilosa kati.
VIDEO: MwanaHabari
Wewe umechangia nini CDM zaidi ya Suzan Kiwanga ambae alifungwa kwa sababu ya chama chake?Huyu mama namjuwa tokea kipindi ana njaaaa mpaka anakuja kupata ubunge 😄
Kwa kifupi njaa inamsumbua
Ova
Ni kama unajua kitu Fulani 😂😂johnthebaptist ni mchonganishi wa kutoka Lumumba usitilie maanani akisemacho. Yeye kila ajali anaona lazima kuna mkono wa mtu!
Alifungwa na nani na alifungwa Kwa kosa gani? Hao waliomfunga walimfunga kihalali au ndiyo kama wanavyoshughulika na Lissu?Wewe umechangia nini CDM zaidi ya Suzan Kiwanga ambae alifungwa kwa sababu ya chama chake?
Amandla...