Regia mtema?Alimroga yule viti maalum mwingine nimemsahau jina 🐼
imagine, alikua moto bungeni huyu mbwa tulimpenda sana, katolewa ubunge 2020 kawa mpumbavu, kumbe njaa is real?Suzan kiwanga? Dah nilikuwa namkubali sana.
Alipambana akapata jimbo la Mlimbaimagine, alikua moto bungeni huyu mbwa tulimpenda sana, katolewa ubunge 2020 kawa mpumbavu, kumbe njaa is real?
Nyie mashoger wa ccm kaeni mkiimba mama mitano tena.... Sisi tutawakomboa sawa Bi Asha ndala ndefu.Mapambani ya nini, jitokeze siyo umejificha humu km msukule
😄 poleniWewe inawezekanaje ulikuwa umeshiba , halafu upate muda wa kumchunguza mwenzio? Hilo lichama litabaki na ninyi tu mnaoamini wenzenu wana njaa wakati wazazi wenu wanalala kwenye mabanda ya nguruwe! PUMBAVU!!