swahiba Senior
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 2,478
- 3,628
Inaweza kuwa ngumu kutoa jibu sahihi maana sijawahi kuwa ktk ndoa, Lakini kwa mtazamo wangu madhani watu wanakuwa wametamaniana na cyo kupendana kwa dhati, mmoja anaweza kuwa yupo real na mwingine akawa yupo ktk mahusiano kwa sababu flan tu Ikiisha hiyo sababu na yeye Anaanza visa, kingine kutokuwepo kwa hofu ya MUNGU kwa wanandoaDah! Machozi yamenitoka!
Kwann ndoa za siku hizi hazidumu Na nyingi huvunjika
DJ sepetu
PoaInaweza kuwa ngumu kutoa jibu sahihi maana sijawahi kuwa ktk ndoa, Lakini kwa mtazamo wangu madhani watu wanakuwa wametamaniana na cyo kupendana kwa dhati, mmoja anaweza kuwa yupo real na mwingine akawa yupo ktk mahusiano kwa sababu flan tu Ikiisha hiyo sababu na yeye Anaanza visa, kingine kutokuwepo kwa hofu ya MUNGU kwa wanandoa
Good night kesho ukipata muda tuendelezeInaweza kuwa ngumu kutoa jibu sahihi maana sijawahi kuwa ktk ndoa, Lakini kwa mtazamo wangu madhani watu wanakuwa wametamaniana na cyo kupendana kwa dhati, mmoja anaweza kuwa yupo real na mwingine akawa yupo ktk mahusiano kwa sababu flan tu Ikiisha hiyo sababu na yeye Anaanza visa, kingine kutokuwepo kwa hofu ya MUNGU kwa wanandoa
Sitakuwa na muda Mpendwa, niliomba interview yako iwe masaa2 ila kwa kukuheshimu imechukua masaa3 na nusu na sijalalamika, nadhani kama ni kubadilishana uzoefu wa maisha inatosha, Kwa kherini na Ahsanteni wote mlioshiriki pale nilipowakwaza naombeni tu Mnisamehe najua sijakamilika Mbarikiwe sanaGood night kesho ukipata muda tuendeleze
Hongera sana kwa uelewa mpana
DJ sepetu
Anauelewa sana@swahiba92 juhudi zako ktk kutafuta maisha zimenihamasisha sana. Unaishi maisha yaliyo nje ya script nyingi za kiutamaduni na mazoea. Hongera sana. Lakini niseme, kwa namna unavyoandika kwa ufasaha na kwa uelewa wako, wewe sio darasa la saba. Labda useme huna cheti cha kidato cha nne, lakini sio kweli kama umeishia la 7.
Lakini pia naona kidogo uliteleza kuweka picha zako hapa JF. Ubaya wa picha mtandaoni ni kwamba zinaweza kutumika kuiba 'identity' yako, kukuchafua au kukunyanyasa(harass, bully).
Usijali nadhani hukumkwaza mtuSitakuwa na muda Mpendwa, niliomba interview yako iwe masaa2 ila kwa kukuheshimu imechukua masaa3 na nusu na sijalalamika, nadhani kama ni kubadilishana uzoefu wa maisha inatosha, Kwa kherini na Ahsanteni wote mlioshiriki pale nilipowakwaza naombeni tu Mnisamehe najua sijakamilika Mbarikiwe sana
I salute you my sister...kwanza sijawahi kukubaliana na size gani ya uume inafaa kumridhisha mwanamke Nadhani inategemea zaidi na ufundi wa mwanamme kuutumia uume wake hata kama ni Mdogo kumridhisha mwanamke, Kuhusu kaburi langu ni kwamba ntajitahidi kuishi maisha ya kumpendeza Mungu Lakini hata utende mema kiasi gani wapo tu ambao watakusema vibaya hata siku ya kifo chako wapo watakaohuzunika na wapo watakaofurahia kifo chako hivyo hilo sijishughulishi nalo sana kikubwa je nitakufa upande gani?? Kuja kuurithi uzima wa milele au jehanam?? Kitabu ninachokipenda ni BIBLIA,,
Ahsante my dear hilo LA Picha Hakuna tatizo nimejipanga vizuri sana Wa kunifanyia hivyo, anatakiwa MTU anayenijua kiundani sana Lakini kwa haya niliyoyaeleza hapa hayatoshi MTU kunijua kiundani ndiyo maana nimeeleza Yale ambayo hayataweza kuniletea shida huko mbeleni BT ahsante na ubarikiwe pia Mpendwa@swahiba92 juhudi zako ktk kutafuta maisha zimenihamasisha sana. Unaishi maisha yaliyo nje ya script nyingi za kiutamaduni na mazoea. Hongera sana. Lakini niseme, kwa namna unavyoandika kwa ufasaha na kwa uelewa wako, wewe sio darasa la saba. Labda useme huna cheti cha kidato cha nne, lakini sio kweli kama umeishia la 7.
Lakini pia naona kidogo uliteleza kuweka picha zako hapa JF. Ubaya wa picha mtandaoni ni kwamba zinaweza kutumika kuiba 'identity' yako, kukuchafua au kukunyanyasa(harass, bully).
Umetisha sana Dada kwa namna ulivyotoa maelezo yako kiufasaha!!!!uko vizuri mpaka basi yaanAhsante my dear hilo LA Picha Hakuna tatizo nimejipanga vizuri sana Wa kunifanyia hivyo, anatakiwa MTU anayenijua kiundani sana Lakini kwa haya niliyoyaeleza hapa hayatoshi MTU kunijua kiundani ndiyo maana nimeeleza Yale ambayo hayataweza kuniletea shida huko mbeleni BT ahsante na ubarikiwe pia Mpendwa
Ila nilitaka unisaidie kuhusu biashara unayoifanya lkn kwa vile umeaga bac haina mbaya Dada angu mpendwaUsiku mwema wapendwa Mbarikiwe sana
Naomba unijibu hata pm kama hutojali Dada anguAhsante my dear hilo LA Picha Hakuna tatizo nimejipanga vizuri sana Wa kunifanyia hivyo, anatakiwa MTU anayenijua kiundani sana Lakini kwa haya niliyoyaeleza hapa hayatoshi MTU kunijua kiundani ndiyo maana nimeeleza Yale ambayo hayataweza kuniletea shida huko mbeleni BT ahsante na ubarikiwe pia Mpendwa
Nimemuelewa Mkuu sema nilitaka tushare tu uzoefu coz yeye ananunua lkn Mimi naulimaRudi nyuma amesema anasafirisha mchele
DJ sepetu