@
swahiba92 juhudi zako ktk kutafuta maisha zimenihamasisha sana. Unaishi maisha yaliyo nje ya script nyingi za kiutamaduni na mazoea. Hongera sana. Lakini niseme, kwa namna unavyoandika kwa ufasaha na kwa uelewa wako, wewe sio darasa la saba. Labda useme huna cheti cha kidato cha nne, lakini sio kweli kama umeishia la 7.
Lakini pia naona kidogo uliteleza kuweka picha zako hapa JF. Ubaya wa picha mtandaoni ni kwamba zinaweza kutumika kuiba 'identity' yako, kukuchafua au kukunyanyasa(harass, bully).