Swahiba92 live interview on muosha rungu live show!

Dah! Machozi yamenitoka!
Kwann ndoa za siku hizi hazidumu Na nyingi huvunjika

DJ sepetu
Inaweza kuwa ngumu kutoa jibu sahihi maana sijawahi kuwa ktk ndoa, Lakini kwa mtazamo wangu madhani watu wanakuwa wametamaniana na cyo kupendana kwa dhati, mmoja anaweza kuwa yupo real na mwingine akawa yupo ktk mahusiano kwa sababu flan tu Ikiisha hiyo sababu na yeye Anaanza visa, kingine kutokuwepo kwa hofu ya MUNGU kwa wanandoa
 
Poa
Maswali ya mwisho unapenda maumbile gani kwa mwanaume
Kibamia au mpini?

Unataka kaburi lako liongee nini

Unautumia vipi muda ukiwa upo idle

Vitabu gani 3 bora kwako

DJ sepetu
 
Inaweza kuwa ngumu kutoa jibu sahihi maana sijawahi kuwa ktk ndoa, Lakini kwa mtazamo wangu madhani watu wanakuwa wametamaniana na cyo kupendana kwa dhati, mmoja anaweza kuwa yupo real na mwingine akawa yupo ktk mahusiano kwa sababu flan tu Ikiisha hiyo sababu na yeye Anaanza visa, kingine kutokuwepo kwa hofu ya MUNGU kwa wanandoa
Good night kesho ukipata muda tuendeleze
Hongera sana kwa uelewa mpana

DJ sepetu
 
kwanza sijawahi kukubaliana na size gani ya uume inafaa kumridhisha mwanamke Nadhani inategemea zaidi na ufundi wa mwanamme kuutumia uume wake hata kama ni Mdogo kumridhisha mwanamke, Kuhusu kaburi langu ni kwamba ntajitahidi kuishi maisha ya kumpendeza Mungu Lakini hata utende mema kiasi gani wapo tu ambao watakusema vibaya hata siku ya kifo chako wapo watakaohuzunika na wapo watakaofurahia kifo chako hivyo hilo sijishughulishi nalo sana kikubwa je nitakufa upande gani?? Kuja kuurithi uzima wa milele au jehanam?? Kitabu ninachokipenda ni BIBLIA,,
 
@swahiba92 juhudi zako ktk kutafuta maisha zimenihamasisha sana. Unaishi maisha yaliyo nje ya script nyingi za kiutamaduni na mazoea. Hongera sana. Lakini niseme, kwa namna unavyoandika kwa ufasaha na kwa uelewa wako, wewe sio darasa la saba. Labda useme huna cheti cha kidato cha nne, lakini sio kweli kama umeishia la 7.

Lakini pia naona kidogo uliteleza kuweka picha zako hapa JF. Ubaya wa picha mtandaoni ni kwamba zinaweza kutumika kuiba 'identity' yako, kukuchafua au kukunyanyasa(harass, bully).
 
Sitakuwa na muda Mpendwa, niliomba interview yako iwe masaa2 ila kwa kukuheshimu imechukua masaa3 na nusu na sijalalamika, nadhani kama ni kubadilishana uzoefu wa maisha inatosha, Kwa kherini na Ahsanteni wote mlioshiriki pale nilipowakwaza naombeni tu Mnisamehe najua sijakamilika Mbarikiwe sana
 
Anauelewa sana

Usijali nadhani hukumkwaza mtu

DJ sepetu
 
kwanza sijawahi kukubaliana na size gani ya uume inafaa kumridhisha mwanamke Nadhani inategemea zaidi na ufundi wa mwanamme kuutumia uume wake hata kama ni Mdogo kumridhisha mwanamke, Kuhusu kaburi langu ni kwamba ntajitahidi kuishi maisha ya kumpendeza Mungu Lakini hata utende mema kiasi gani wapo tu ambao watakusema vibaya hata siku ya kifo chako wapo watakaohuzunika na wapo watakaofurahia kifo chako hivyo hilo sijishughulishi nalo sana kikubwa je nitakufa upande gani?? Kuja kuurithi uzima wa milele au jehanam?? Kitabu ninachokipenda ni BIBLIA,,
I salute you my sister...
 
@swahiba92 juhudi zako ktk kutafuta maisha zimenihamasisha sana. Unaishi maisha yaliyo nje ya script nyingi za kiutamaduni na mazoea. Hongera sana. Lakini niseme, kwa namna unavyoandika kwa ufasaha na kwa uelewa wako, wewe sio darasa la saba. Labda useme huna cheti cha kidato cha nne, lakini sio kweli kama umeishia la 7.

Lakini pia naona kidogo uliteleza kuweka picha zako hapa JF. Ubaya wa picha mtandaoni ni kwamba zinaweza kutumika kuiba 'identity' yako, kukuchafua au kukunyanyasa(harass, bully).
Ahsante my dear hilo LA Picha Hakuna tatizo nimejipanga vizuri sana Wa kunifanyia hivyo, anatakiwa MTU anayenijua kiundani sana Lakini kwa haya niliyoyaeleza hapa hayatoshi MTU kunijua kiundani ndiyo maana nimeeleza Yale ambayo hayataweza kuniletea shida huko mbeleni BT ahsante na ubarikiwe pia Mpendwa
 
Umetisha sana Dada kwa namna ulivyotoa maelezo yako kiufasaha!!!!uko vizuri mpaka basi yaan
 
Usiku mwema wapendwa Mbarikiwe sana
cf737c44473f6e0845bdaa04dd08efd3.jpg
 
Ahsante my dear hilo LA Picha Hakuna tatizo nimejipanga vizuri sana Wa kunifanyia hivyo, anatakiwa MTU anayenijua kiundani sana Lakini kwa haya niliyoyaeleza hapa hayatoshi MTU kunijua kiundani ndiyo maana nimeeleza Yale ambayo hayataweza kuniletea shida huko mbeleni BT ahsante na ubarikiwe pia Mpendwa
Naomba unijibu hata pm kama hutojali Dada angu
 
Back
Top Bottom