Swahiba92 live interview on muosha rungu live show!

upo na confidence ya ukweli mkuu... nikupongeze kwa hilo mkuu
Ahsante sana, Nina upeo pia wa Maandiko matakatifu japo siwezi kujisifu, hivyo najibu nilicho na uhakika nacho,maana MUNGU anasema Awajua walio wake, sasa wewe unajuaje uko kwenye kundi LA waluoko upande wake?? Huwezi kuchunguza siri za MUNGU, kikubwa jitahidi kuishi maisha ya kumpendeza MUNGU na siyo mwanadamu basi
 
Maisha yako yana mchango gani kwa jamii inayokuzunguka

DJ sepetu
 
mkuu unamaana ya kanda mbili yanga afrika NdAlA? malapa?
 
Injili ni uweza wa MUNGU uletao wokovu, kwa myahudi kwanza na kwa myunani pia, hivyo yeyote anayebeba Ujumbe huo na kuwaekeza wengine ni Mwinjilist tayari,siyo Lazima apande kwenye majukwaa na kupiga makelele
Amen.....[emoji120]
 
Maisha yako yana mchango gani kwa jamii inayokuzunguka

DJ sepetu
Tatizo LA maisha liko mtambuka sana unaweza Fanya jambo flan ukaona ni jema na mwingine aweze kuiga ila mwenzako akaona ni upuuzi tu, kikubwa tu kila MTU afanye anachoweza ili kutimiza ndoto zake ilimradi tu MTU havunji Sheria,kikubwa tu Haijalishi umetoka ktk familia gani uwezo wa kufanikiwa upo mikononi mwako, Mungu kakupatia Akili timamu na uchaguzi Acha kulalimika Fanya kazi na Usiache kumuweka MUNGU wa kwanza
 
Wapi unaona ilikosea Na ungependa ubadili story

DJ sepetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…