Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbona unafanya interview na wadada tu?? Hebu mfanyie Joseverest nae au wakaka wengine juu ya ujasirimali kama ile ya ONTARIO.Wengi wanakuwa available weekends
DJ sepetu
Aisee naona interview zimekolea
Ahsante sana, Nina upeo pia wa Maandiko matakatifu japo siwezi kujisifu, hivyo najibu nilicho na uhakika nacho,maana MUNGU anasema Awajua walio wake, sasa wewe unajuaje uko kwenye kundi LA waluoko upande wake?? Huwezi kuchunguza siri za MUNGU, kikubwa jitahidi kuishi maisha ya kumpendeza MUNGU na siyo mwanadamu basiupo na confidence ya ukweli mkuu... nikupongeze kwa hilo mkuu
oooh sawa aiseeWengi wanakuwa available weekends
DJ sepetu
Maisha yako yana mchango gani kwa jamii inayokuzungukaSina mtoto, lakini natarajia MUNGU akijaalia kwa sasa Niko tayari kabisa kumlea na aje afurahie maisha ya uwepo wangu, sikupenda kuzaa mapema kuepuka mwanangu kuja kuishi maisha ya kuunga unga, tatizo siyo kuwa mzazi, swali LA msingi ni Je! Mtoto atafurahia uwepo wako na kujivunia ana mzazi???
me drs la7 sema napenda kujiendeleza na kujifunza vitu kila sikuNina shaka Na elimu wewe sio darasa la 7 leaver
DJ sepetu
Hivi Muosha rungu unaamini kweli kwamba interviewee wako ni mtu wa darasa la 7 kweli .. Au anatutia changa la macho?Aisee
DJ sepetu
mkuu unamaana ya kanda mbili yanga afrika NdAlA? malapa?Mkuu.....
Minimeangalia avatar yake, na nilicho kiona pale kifuani upande wake wa kushoto mmhhhhh........ kitu kimeanguka kama kandambili kifuani, yaani kama ni jua ndio linazama mida ya kumi na mbili jioni......[emoji2] [emoji2]
Samahani kama nitamkwaza yeyote, lakini hicho ndicho macho yangu yameona
Amen.....[emoji120]Injili ni uweza wa MUNGU uletao wokovu, kwa myahudi kwanza na kwa myunani pia, hivyo yeyote anayebeba Ujumbe huo na kuwaekeza wengine ni Mwinjilist tayari,siyo Lazima apande kwenye majukwaa na kupiga makelele
mkuu huyu shule imemkaa vizuri na hata maadili ya kidini yamemkaaNina shaka Na elimu wewe sio darasa la 7 leaver
DJ sepetu
Amesema hivyo Nina doubt maana kataja neno IQ nikastuka!
DJ sepetu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hivi Muosha rungu unaamini kweli kwamba interviewee wako ni mtu wa darasa la 7 kweli .. Au anatutia changa la macho?
Tatizo LA maisha liko mtambuka sana unaweza Fanya jambo flan ukaona ni jema na mwingine aweze kuiga ila mwenzako akaona ni upuuzi tu, kikubwa tu kila MTU afanye anachoweza ili kutimiza ndoto zake ilimradi tu MTU havunji Sheria,kikubwa tu Haijalishi umetoka ktk familia gani uwezo wa kufanikiwa upo mikononi mwako, Mungu kakupatia Akili timamu na uchaguzi Acha kulalimika Fanya kazi na Usiache kumuweka MUNGU wa kwanzaMaisha yako yana mchango gani kwa jamii inayokuzunguka
DJ sepetu
Ni kweli mkuu,anajibu kitaalam sana!Nina shaka Na elimu wewe sio darasa la 7 leaver
DJ sepetu
Naweza kupata Picha nyingine tafadhali
DJ sepetu
Naweza kupata Picha nyingine tafadhali
DJ sepetu
Wapi unaona ilikosea Na ungependa ubadili storyTatizo LA maisha liko mtambuka sana unaweza Fanya jambo flan ukaona ni jema na mwingine aweze kuiga ila mwenzako akaona ni upuuzi tu, kikubwa tu kila MTU afanye anachoweza ili kutimiza ndoto zake ilimradi tu MTU havunji Sheria,kikubwa tu Haijalishi umetoka ktk familia gani uwezo wa kufanikiwa upo mikononi mwako, Mungu kakupatia Akili timamu na uchaguzi Acha kulalimika Fanya kazi na Usiache kumuweka MUNGU wa kwanza