Mkuu....Nilijua tu!
DJ sepetu
Barikiwa sana mkuu.....Ruksa[emoji1]
Natamani zaidi MUNGU anisaidie niishi maisha ya kumpendeza Yeye na siku 1 niweze kuurithi uzima wa mileleUnatamani nn zaidi ktk maisha
DJ sepetu
Mtaji imekuwa tatizo kwa vijana kubwa!Najivunia kuwa mwanamke, ninayeweza kujisimamia na kuendesha maisha yangu bila kumpiga MTU mzinga wala kuwa mzigo kwa MTU mwingine
Duhh.....[emoji87] [emoji87]Ka Picha ka kichokozi if you don't mind tena!
DJ sepetu
Mtaji siyo Lazima mkubwa, naamini mtaji wa kwanza ni AKILI YAKO unaweza pewa 10m uendeshee biashara lakini ukafeli Mimi nilianza na mtaji wa Laki5 tena mkopo lakini namshukuru MUNGU now naweza safirisha hata Tani30 za Mchele nikapeleka Arusha na KigaliMtaji imekuwa tatizo kwa vijana kubwa!
Wewe hukuwa Na wazazi elimu std7
Mtaji ulitoa wapi
DJ sepetu
Labda kwa kuwa wewe ni mwanamke una wadhamini wengi!Mtaji siyo Lazima mkubwa, naamini mtaji wa kwanza ni AKILI YAKO unaweza pewa 10m uendeshee biashara lakini ukafeli Mimi nilianza na mtaji wa Laki5 tena mkopo lakini namshukuru MUNGU now naweza safirisha hata Tani30 za Mchele nikapeleka Arusha na Kigali
[color=lengo LA hii interview ni nini hasa?? Picha hizo 2 nilitaka kukata tu ngebe za kwamba avatar yangu natumia picha za MTU, ila wewe kuanza kuniomba picha ni kutoka nje ya utaratibu mkuu au umepagawa?? Coz me nilijua interview hii ni kubadilishana uzoefu wa maisha na kufuarahi tu pa1 au kuna jingine??[/color]Ka Picha ka kichokozi if you don't mind tena!
DJ sepetu
kufunga nini??huyu mwanamke anafunga duuuh
hongera mummy
sent from aifoni seveni plasi
Hakuna jingine ila kama hujapenda OK ila nilikuwa nachombeza tu take it down![color=lengo LA hii interview ni nini hasa?? Picha hizo 2 nilitaka kukata tu ngebe za kwamba avatar yangu natumia picha za MTU, ila wewe kuanza kuniomba picha ni kutoka nje ya utaratibu mkuu au umepagawa?? Coz me nilijua interview hii ni kubadilishana uzoefu wa maisha na kufuarahi tu pa1 au kuna jingine??[/color]
Hayo ndo mawazo ya wengi, si kila mwanamke aliyefanikiwa amehongwa au kutumia mwili wake hapana ingekuwa hivyo basi wadada wanajiuza wangekuwa matajiri wakubwa, ni kujiamini na kusimamia kutimiza ndoto zakoLabda kwa kuwa wewe ni mwanamke una wadhamini wengi!
Anyway una ndoto zipi kubwa
DJ sepetu
Hata Mimi anaanza kunishangaza sasa huyu muuliza maswali.Kwani lengo la interview zako ni nini?[color=lengo LA hii interview ni nini hasa?? Picha hizo 2 nilitaka kukata tu ngebe za kwamba avatar yangu natumia picha za MTU, ila wewe kuanza kuniomba picha ni kutoka nje ya utaratibu mkuu au umepagawa?? Coz me nilijua interview hii ni kubadilishana uzoefu wa maisha na kufuarahi tu pa1 au kuna jingine??[/color]
Worry outHakuna jingine ila kama hujapenda OK ila nilikuwa nachombeza tu take it down!
DJ sepetu
Marafiki zako wanakuelezea wewe kama mtu Wa aina ganiHayo ndo mawazo ya wengi, si kila mwanamke aliyefanikiwa amehongwa au kutumia mwili wake hapana ingekuwa hivyo basi wadada wanajiuza wangekuwa matajiri wakubwa, ni kujiamini na kusimamia kutimiza ndoto zako
Achana naeWivu utakua badili jinsia
DJ sepetu