Swahiba92 live interview on muosha rungu live show!

Nilijua tu!

DJ sepetu
Mkuu....
Moyo wangu umesha dondokea kwa mgeni wako, sasa nitafanyaje wakati nimeshindwa kuvumilia.....[emoji20] [emoji20]
Au labda nisubirie kesho nijitafakari upya, maana isije ikawa balimi ndio zinaandika hapa....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mtaji imekuwa tatizo kwa vijana kubwa!
Wewe hukuwa Na wazazi elimu std7
Mtaji ulitoa wapi

DJ sepetu
Mtaji siyo Lazima mkubwa, naamini mtaji wa kwanza ni AKILI YAKO unaweza pewa 10m uendeshee biashara lakini ukafeli Mimi nilianza na mtaji wa Laki5 tena mkopo lakini namshukuru MUNGU now naweza safirisha hata Tani30 za Mchele nikapeleka Arusha na Kigali
 
Labda kwa kuwa wewe ni mwanamke una wadhamini wengi!
Anyway una ndoto zipi kubwa

DJ sepetu
 
Ka Picha ka kichokozi if you don't mind tena!

DJ sepetu
[color=lengo LA hii interview ni nini hasa?? Picha hizo 2 nilitaka kukata tu ngebe za kwamba avatar yangu natumia picha za MTU, ila wewe kuanza kuniomba picha ni kutoka nje ya utaratibu mkuu au umepagawa?? Coz me nilijua interview hii ni kubadilishana uzoefu wa maisha na kufuarahi tu pa1 au kuna jingine??[/color]
 
Hakuna jingine ila kama hujapenda OK ila nilikuwa nachombeza tu take it down!

DJ sepetu
 
Labda kwa kuwa wewe ni mwanamke una wadhamini wengi!
Anyway una ndoto zipi kubwa

DJ sepetu
Hayo ndo mawazo ya wengi, si kila mwanamke aliyefanikiwa amehongwa au kutumia mwili wake hapana ingekuwa hivyo basi wadada wanajiuza wangekuwa matajiri wakubwa, ni kujiamini na kusimamia kutimiza ndoto zako
 
[color=lengo LA hii interview ni nini hasa?? Picha hizo 2 nilitaka kukata tu ngebe za kwamba avatar yangu natumia picha za MTU, ila wewe kuanza kuniomba picha ni kutoka nje ya utaratibu mkuu au umepagawa?? Coz me nilijua interview hii ni kubadilishana uzoefu wa maisha na kufuarahi tu pa1 au kuna jingine??[/color]
Hata Mimi anaanza kunishangaza sasa huyu muuliza maswali.Kwani lengo la interview zako ni nini?
 
Hayo ndo mawazo ya wengi, si kila mwanamke aliyefanikiwa amehongwa au kutumia mwili wake hapana ingekuwa hivyo basi wadada wanajiuza wangekuwa matajiri wakubwa, ni kujiamini na kusimamia kutimiza ndoto zako
Marafiki zako wanakuelezea wewe kama mtu Wa aina gani

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom