Bwana Bima
JF-Expert Member
- Jul 29, 2014
- 429
- 929
1) tukumbuke kanisa katoliki lina wasomi wengi sana tena wenye uwezo na elimu za juu sana na kikubwa zaidi wana intelligence system yenye nguvu sana kote duniani. Ukiona jambo wameshikilia msimamo ujue kuna kitu.
2) Najiuliza sana kwanini hawa DP wanakuja tu baadhi ya sheria zinataka kubadilishwa tena ambazo kwa miaka mingi imekua ikilinda rasilimali za Tz?
3) Kuna hoja imeibuliwa ya udini kwenye hili jambo lakini nimesikikiza hoja za pande zote yaani masheikh wanapozungumza na baadhi ya maaskofu naona upande wa maisheikh wakizingatia zaidi manufaa ya mkataba na kumtetea mama lakini mengine kama athari zake,usalama wa hizo rasilimali hawazungumzi hii ni kasoro...
MWISHO KWA JICHO LANGU HILI JAMBO NAONA KANISA LIMELIANGALIA KIUSALAMA ZAIDI WA NCHI. SITAKI NIWACHOSHE NA KUFAFANUA SANA ACHA NIJIPE MUDA ZAIDI NIONE TUTAKAPOFIKIA