Sasa hapo ni mtihani Kwa rais maana akiendelea na mchakato Wakristo wataamini kweli kuwa hii inshu inahisiana na Waislam na akaihirisha mchakato itaonekana Wakristo Wana nguvu ya kuamua jambo na serikali ikatii, hapo pia ni mtihani mkubwa Kwa viongozi wa serikali wenye Imani ya katoliki wanashindwa wawe upande upi maana kimsingi ule walaka ndio msimamo wa Wakatoliki wote TZ Sasa wakiendelea na msimamo wa kutetea serikali Kuna hatari ya kutengwa na kanisa kuanzia ngazi za Jumuiya, maana RC wanautaratibu wao wenye misimamo mikali hawabembelezi waumini, ukienda kinyume tu na misingi ya kanisa unatengwa. Sasa hapo ni mtihani mkubwa waliojitakia wao wenye we.