Swalha na Said walishakubali ndoa imekufa ila wadananda wakaendelea kuishinikiza kwa manufaa yao binafsi

Swalha na Said walishakubali ndoa imekufa ila wadananda wakaendelea kuishinikiza kwa manufaa yao binafsi

Ukimwambia mwanamke pika hataki
Usie kwenye sehemu za starehe usiku hataki
Njoo unipokee hataki
Ujue mwanamke amesharoga anaangalia dawa kama zinafanya kazi.
wewe umerogwa ama ndo mrogaji?

Upo much know sana.

lol.🙊🙊🙊🤔🤔🤔🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🤣🤣
 
Dada mdogo wa marehemu mke amesema dada yake alimwambia kashachoka kutukanwa na mumewe na hadhani kama ndoa ina manufaa, mdogo mtu aliendelea kumshinikiza amalize mgogoro kwani yeye anaona wanagombania kitu ambacho hakipo hivyo rahisi kusuluhisha. Mdogo mtu alikuwa anaishi kwenye nyumba nzuri ya shemeji na gari la dada alikuwa analitumia kupigia misele mjini.

Marehemu mume alishamwambia mzazi mwenzie waliyeachana warudiane kwani hamuelewi mkewe, mwezi March Said alimpeleka mzazi mwenzie nyumbani kwake anapoishi na Swalha, alipomuuliza mkeo yuko wapi akasema amerudi kwao.

Said alimwambia mama yake wiki moja kabla ameshika sanda na akazimia papo hapo, usiku huo huo baba mkwe akapata mganga na kwenda 'kumuagua'. Ni ndoa iliyokuwa inasongeshwa mengi.

Hata sababu ya mke kwenda mara kwa mara kwao ni dalili nyumba ilishamshinda.

Watu mpaka wamelazana hospitali kwa kipigo bado mnang'ang'aniza waendelee!

Wazazi, mashemeji na mawifi, wahusika wakichemka tusishinikize mambo yaendelee. Wahuska ndio wanajua zaidi yaliyomo ndani mwao.

Marehemu mume alishamwambia mzazi mwenzie waliyeachana warudiane kwani hamuelewi mkewe, mwezi March Said alimpeleka mzazi mwenzie nyumbani kwake anapoishi na Swalha, alipomuuliza mkeo yuko wapi akasema amerudi kwao.

[emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827] Mshika mawili moja humponyoka!
 
Nasubir Kesho niamke nikutane na vichwa vya habari magazetini, YouTube n.k " MAPYA YAIBUKA JAMAA ALIYEMPIGA RISASI MKEWE MWANZA"
 
Back
Top Bottom