Swalha na Said walishakubali ndoa imekufa ila wadananda wakaendelea kuishinikiza kwa manufaa yao binafsi

Swalha na Said walishakubali ndoa imekufa ila wadananda wakaendelea kuishinikiza kwa manufaa yao binafsi

Hata sababu ya mke kwenda mara kwa mara kwao ni dalili nyumba ilishamshinda.

Kwa wale Viburi mlioamua KUOA,,, zingatieni hii Red Flag,,,kamwe msipuuze....ukiona umeoa na Safari za mke kwenda kwao ni nyingi,,,..tegemea lolote lotatokea...

Stay Taliban,,, Kataa hio hali kwenye ndoa yako....otherwise Mazingira yatakuelekeza nini cha kufanya.
 
Mjaluo yupi ni Muislamu?

Yani we unatafuta bahari ukiwa jangwani, sawa na hawa watu wa Pwani ni vigumu sana kumkuta Mzaramo ni Mkristo, tena haswa haswa mlokole [emoji847]

Mbona mnatuchanganya hivi?
Kwenye clip zinaonyesha mahojiano huku nyimbo za injili na Nina uhakika sio kaswida
Na mtoto wa marehemu alipogoma kulala na bibi yake unasikia Yesu Yesu

Wala sielewi hili tukio Hebu fafanua
Mama yake Saidi aliolewa na Muislam ama
Wajita wa wapi
 
Mbona mi mwenyewe naitwa Hamisi lakini ni Mkristo?

Jina lisikuchanganye Chifu, kuna Waislamu majina na Waislamu halisi, vise versa is true to the Christians.
 
Malizeni huu mjadala bhana, kama hamna vya kupost nyonyesheni watoto wenu. Kila mtu mjuaji bhana.
Mods unganisheni uzi huu kwenye uzi wa msingi.
 
Binti alijaliwa uzuri
Hii pisi ilikuwa makiniView attachment 2248278
Screenshot_20220602-170929_1.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hatari sana... Za kuambiwa changanya na za kwako...

Ila nje ya ndoa alikua anagawa haswa...
 
Mbona mnatuchanganya hivi?
Kwenye clip zinaonyesha mahojiano huku nyimbo za injili na Nina uhakika sio kaswida
Na mtoto wa marehemu alipogoma kulala na bibi yake unasikia Yesu Yesu

Wala sielewi hili tukio Hebu fafanua
Mama yake Saidi aliolewa na Muislam ama
Wajita wa wapi
Mbona said kazikwa kiislamu sasa?,, Waislamu hawaonagi shida kutamka yesu , au kusema, ubarikiwe, au hata kusikiza nyimbo za injili
 
Mbona said kazikwa kiislamu sasa?,, Waislamu hawaonagi shida kutamka yesu , au kusema, ubarikiwe, au hata kusikiza nyimbo za injili

Weee wapi uliona nyumba waliofiwa ni Waislam halafu kuna maspika yanapiga mziki?
Yule mama aliefunguliwa nyumba baada ya mgogoro kidogo kutokea si alikuwa Mama yake Saidi
Je ni dini gani huyo mama
Tusiongope kwa kufurahishana hapa Mkuu kwani dini mbili tofauti hizi na hakuna ugomvi wowote bali ni Imani tofauti
Tunakaa na wenzetu kwenye misiba yao na hata kwenda nao mazishini lakini usiongeze eti huwa Waislam wanasikiliza nyimbo

Ndio wanasikiliza kama wapo kwenye vilio vya Wakristo maana hakuna namna ila sio kwenye msiba wa kiislam
Tuongee ukweli sio kufurahisha watu
 
Back
Top Bottom