Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anafikiri ni haki yake kutawaliwa na wazungu. Akili za kitumwa! Haelewi kwamba wazungu ndio waliharibu jamii zetu tungekuwa mbali sana bila kutawaliwa na hawa mashetani!Ulitaka ajibu vipi? Kwamba bado hatujakua tayari kujitawala? Wee ndio wale wamelewa kasumba ya wazungu. Kwani wenyewe unaamini walikua wanatutawala ili tupate uwezo wa kujitawala? Hakika watu ka wewe wanatia huruma kwa ujinga.
Ujinga ni kuwa na kiherehere kilicho jaa ujinga wa kufikiri kila kitu kinahitaji majaribioUlitaka ajibu vipi? Kwamba bado hatujakua tayari kujitawala? Wee ndio wale wamelewa kasumba ya wazungu. Kwani wenyewe unaamini walikua wanatutawala ili tupate uwezo wa kujitawala? Hakika watu ka wewe wanatia huruma kwa ujinga.
Wazungu hawa walimuuliza swali hili Nyerere lakini yeye akatoa majibu ya kisanii.
Matokeo ya hili swali tunayaona sasa baada ya miaka 60 kupitia katika mataifa yetu.
Hawa wazungu walikuwa sahihi sana kuulizia za hili swali bila shaka kuna kitu walikiona ambacho yeye Nyerere na wenzake kwa wakati huo hawakukiona.
Mfano mwengine uliohai ni Africa kusini mpira wanarudishiwa makabulu taratibu kwa aibu kubwa.
Sikosei hata mara moja nikikuita wewe MJINGA.Pengine hata Nyerere hakuwa ameelika vya kutosha kuwa raisi,
Àliijenga nchi kisiasa Zaidi Kuliko kuwajengea wananchi wake ujuzi sahihi wa Maarifa ya kiuchumi kwenye uvuvi, ufugaji, utalii, Biashara.
Alifanya kila kitu kisimamiwe na serikali ambaye Ndio raisi, kupitia Chama chake.
Hakutaka wananchi kumiliki uchumi, hata kumiliki gar Benz unaonekana kitu cha ajabu, sasa kulikuwa na maana Gani ya kupata Uhuru, wakati wananchi hawana na hawatakiwi kumiliki uchumi wa nchi Yao,
Yani ilifikia kipindi aliyesoma na àsie soma kuwa ni kitu kimoja
Kaanza kuleta habari za jacket.Hapa kajibu ki uvccm...
'do you have essential skills and equipment to govern yourselves?'
Hili swali mpk leo jibu ni no
Sioni sababu yoyote ya wewe na wengine kujutia mara kwa mara "...hata kama alituingiza kwenye mfumo wa ujamaa..." Hii ni kasumba tu iliyo ingizwa vichwani mwa watu, enzi hizo za "Vita Baridi."Nyerere alikua sahihi kwa jibu alilotoa , hata kama alituingiza kwenye mfumo wa ujamaa ! Ila watu wote waliopita kijiti walichoachiwa ndo wametufelisha mpaka hapa ! Hebu angalia kama CCM now yaan haina mvuto hata kidogo , raia tunapangiwa hata wakishindwa uchaguzi wanalazimisha !
Ni wezi , ni wazandiki na wanajipendekeza
Nyerere aliwajibu jibu la kifalsafa sana, jibu la immanent critique, jibu la kuhoji swali lenyewe kama limekaa sawa ama la.Wazungu hawa walimuuliza swali hili Nyerere lakini yeye akatoa majibu ya kisanii.
Matokeo ya hili swali tunayaona sasa baada ya miaka 60 kupitia katika mataifa yetu.
Hawa wazungu walikuwa sahihi sana kuulizia za hili swali bila shaka kuna kitu walikiona ambacho yeye Nyerere na wenzake kwa wakati huo hawakukiona.
Mfano mwengine uliohai ni Africa kusini mpira wanarudishiwa makabulu taratibu kwa aibu kubwa.
Mzungu hakuwa na haki ya kupanga Afrika ipate uhuru lini, kwa sababu uhuru wa Afrika haukuwa wa mzungu kuutoa.Kaanza kuleta habari za jacket.
Hili ni swali wagombea wanapaswa kuulizwa.
Hata huyo mwana mama mzungu katika maelezo yake ya awali hajasema Afrika isipatiwe uhuru lakini kauliza swali ambalo Nyerere alipaswa kutuliza kichwa.
Umesikiliza hicho kipande chote cha interview ?Mzungu hakuwa na haki ya kupanga Afrika ipate uhuru lini, kwa sababu uhuru wa Afrika haukuwa wa mzungu kuutoa.
Hayo matatizo mengine ya Afrika ni ya Waafrika.
Usichoelewa nini?
Zimbabwe imesubiri mpaka 1980 kupata uhuru, na mpaka sasa kuna matatizo.
.. kama Kuna ukweli hivi!Wazungu hawa walimuuliza swali hili Nyerere lakini yeye akatoa majibu ya kisanii.
Matokeo ya hili swali tunayaona sasa baada ya miaka 60 kupitia katika mataifa yetu.
Hawa wazungu walikuwa sahihi sana kuulizia za hili swali bila shaka kuna kitu walikiona ambacho yeye Nyerere na wenzake kwa wakati huo hawakukiona.
Mfano mwengine uliohai ni Africa kusini mpira wanarudishiwa makabulu taratibu kwa aibu kubwa.
Nimesikiliza kipindi kizima, si kipande hicho tu, miaka kadhaa iliyopita.Umesikiliza hicho kipande chote cha interview ?
Akina Nyerere, Mobutu, Mugabe,Jomo kenyata, Mseveni walipigani nchi zao sio kwa sababu wana uchungu kwa Raia na mataifa yao bali Uchu wa Madaraka tu.Wazungu hawa walimuuliza swali hili Nyerere lakini yeye akatoa majibu ya kisanii.
Matokeo ya hili swali tunayaona sasa baada ya miaka 60 kupitia katika mataifa yetu.
Hawa wazungu walikuwa sahihi sana kuulizia za hili swali bila shaka kuna kitu walikiona ambacho yeye Nyerere na wenzake kwa wakati huo hawakukiona.
Mfano mwengine uliohai ni Africa kusini mpira wanarudishiwa makabulu taratibu kwa aibu kubwa.
Baada ya miaka 60 + ?!Yuko sahihi sana...
Na hao wazungu/ former colonialists ndio chanzo kwanini majaketi yetu hayatuenei mpaka sasa...
Nimesikiliza kipindi kizima miaka kadhaa iliyopita.
Halafu pia nimerudia kusikiliza hicho kipande.
Nyerere alikuwa New York City kwenye kipindi cha Mrs. Eleanor Roosevelt, former First Lady of the USA. Kipindi kinaitwa Prospects of Mankind.
Kipindi chote kipo hapa.
View: https://youtu.be/MSmYoNmN40s?si=ShQUZa1XG0dwKPgX
MtoeNyerere,Mugabe n Kenyata hapo...z!Akina Nyerere, Mobutu, Mugabe,Jomo kenyata, Mseveni walipigani nchi zao sio kwa sababu wana uchungu kwa Raia na mataifa yao bali Uchu wa Madaraka tu.
Majority waliishia kuwa madikiteta na miungu watu tu na hawakutaka kabisa kuachia madaraka