SWALI: Bora uende jela mwaka mmoja au umuoe/kuolewa na X wako?

Yani akikosa chochote nampa bora mm nikose siyo yeye kumbe na yeye kuna mwanamke anamtesaaa etiii ndo nirudiane nayeeee akuuuuu
Mtu kama huyo huwezi kurudiana nae hataaa
 
Ex wangu ni kisu balaa narudia na yeye muda wowote yupo tayari sema tu ndo vile mambo hayakwenda vile tulivopanga..
 
Ex wangu ni kisu balaa narudia na yeye muda wowote yupo tayari sema tu ndo vile mambo hayakwenda vile tulivopanga..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duh... kama huyo/hao ex wako wamo JF sijui unatoa ujumbe gani kwao!!!

By the way... unaongelea kifungo cha nje cha mwaka mmoja au!!!???
 
Hili swali duh!
Siwezi olewa na x wangu..na jela siwezi kwenda
Ntaomba tu nipewe optn jaman
 
Duh... kama huyo/hao ex wako wamo JF sijui unatoa ujumbe gani kwao!!!

By the way... unaongelea kifungo cha nje cha mwaka mmoja au!!!???
Kifungo cha ndani cha gerezani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…