Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Mmmmh Wewe kwenda hukofinally nimemuona ex wangu
habari ex
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmh Wewe kwenda hukofinally nimemuona ex wangu
habari ex
Ex maana yake niKwahiyo wewe utaoa x au haujibu swali
Mtu kama huyo huwezi kurudiana nae hataaaYani akikosa chochote nampa bora mm nikose siyo yeye kumbe na yeye kuna mwanamke anamtesaaa etiii ndo nirudiane nayeeee akuuuuu
DuuuuhNdio. Wanawala kama kawa nasikia
Koooh kooohKuliwa na ke mwenzako ni rahaaa bhn bora niende jelaaaa
Eeeeeenh!![emoji15] [emoji15]Kapigwa mashine na X siwez fika kitonga k itawaka moto kila sikuuuu hata siwez loaaaaa uteee
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh... kama huyo/hao ex wako wamo JF sijui unatoa ujumbe gani kwao!!!Kiukweli mimi bora nifungwe jela mwaka mmoja siwezi kuolewa na x wangu maana aliniboa kweli kweli.
Tena nahisi hata nikikubali kunioa nahisi ningekuwa nimenuna kila siku ndani ya nyumbaa.
Hili swali limenipa hasira mimi bora nifungwe Segerea kuliko kuolewa na X wangu aliniboa yani aliniuziii aiseee siwezi kabisaaaaa tena nalichukia balaaa.
Malaika wa Jr.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]