Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Rafiki yule X wako uliempata kule makapuku forum mzima?[emoji53][emoji53][emoji53]Ngoja niwe msomaji shunie mm
Kwani madam wewe una X mmoja tu??[emoji53][emoji53][emoji53]Hahaha bora nikakae jela hata miaka mitano sio mmoja tu
HapanaKwani madam wewe una X mmoja tu??[emoji53][emoji53][emoji53]
Ms chura unaanzaje kumkataa baba mtoto wako kwa mfano?![emoji28][emoji28][emoji28]Yani mimi niende jela mimi kabisa. Ex baba karibu tu tuanze maisha
Hapo unaolewa kimagumashi ili kukwepa tu kwenda jela.Sjaelewa hata kidogo sasa nikiolewa kwa nn nichepuke??? Nikiwa ndani nisitoe unyumba ni haki ya mume wangu kwa nn nimkatalie akapate wapi? Nitachepuka vipi na ninaempenda wakat nimeolewa na mume niliemridhia kwa kila hali
kwenye hao X wako wengi si kuna ambao ni afadhali kidogo?[emoji53][emoji53][emoji53]Hapana
Hahahhaha yan wewekwenye hao X wako wengi si kuna ambao ni afadhali kidogo?[emoji53][emoji53][emoji53]
Mzima na wala sio x wangu ni mbebez wangu hatujaachanaRafiki yule X wako uliempata kule makapuku forum mzima?[emoji53][emoji53][emoji53]
Bahat mbaya ukishakua my ex kunakua na ukuta hujawah kupata kutokea haijalishi tutaachaana kwa ubaya au kwa uzuri lakini sipendi kuentertain ex kabisaHapo unaolewa kimagumashi ili kukwepa tu kwenda jela.
Kwa kuwa lengo lako halikuwa kuolewa na huyo mtu basi lazima mtaishia njiani
namaanisha hivi, si kila ex mliachana kwa ugomvi, wengine waliachana kwa amani na mawasiliano yao yanaendelea wengine wameadvance mpaka mechi za kirafiki wanacheza tena kiwanja kile kile cha zamani.Fafanua
Mhh me naona niko tofaut sana na wengine ukishakua ex wewe ni bye bye hajjalishi tulichuniana tu au kuchana kwa mabaya nenda tu kwa amani na kamwe simtafti mtu anaitwa ex na siwez kujidrag low kuendeleza hizo mechi za kirafiki na ex hapana kwa kwelinamaanisha hivi, si kila ex mliachana kwa ugomvi, wengine waliachana kwa amani na mawasiliano yao yanaendelea wengine wameadvance mpaka mechi za kirafiki wanacheza tena kiwanja kile kile cha zamani.
ila sitaki uwe ex, you are always regular, for better for worse π π π π
Kwani yule ulieachana nae kipindi kile hakuwa wa makapuku forum?Mzima na wala sio x wangu ni mbebez wangu hatujaachana
Akili hii utaikuta kwa wanawake wachache sana duniani nowdays.Sjaelewa hata kidogo sasa nikiolewa kwa nn nichepuke??? Nikiwa ndani nisitoe unyumba ni haki ya mume wangu kwa nn nimkatalie akapate wapi? Nitachepuka vipi na ninaempenda wakat nimeolewa na mume niliemridhia kwa kila hali
Mmbea weweRafiki yule X wako uliempata kule makapuku forum mzima?[emoji53][emoji53][emoji53]
Ujinga kweliuende jela kisa penzi ni ujinga