SWALI: Bora uende jela mwaka mmoja au umuoe/kuolewa na X wako?

Sjaelewa hata kidogo sasa nikiolewa kwa nn nichepuke??? Nikiwa ndani nisitoe unyumba ni haki ya mume wangu kwa nn nimkatalie akapate wapi? Nitachepuka vipi na ninaempenda wakat nimeolewa na mume niliemridhia kwa kila hali
Hapo unaolewa kimagumashi ili kukwepa tu kwenda jela.
Kwa kuwa lengo lako halikuwa kuolewa na huyo mtu basi lazima mtaishia njiani
 
Bahat mbaya ukishakua my ex kunakua na ukuta hujawah kupata kutokea haijalishi tutaachaana kwa ubaya au kwa uzuri lakini sipendi kuentertain ex kabisa
 
namaanisha hivi, si kila ex mliachana kwa ugomvi, wengine waliachana kwa amani na mawasiliano yao yanaendelea wengine wameadvance mpaka mechi za kirafiki wanacheza tena kiwanja kile kile cha zamani.

ila sitaki uwe ex, you are always regular, for better for worse 😉 😉 😉 😉
 
Bora nimrudishe x wang tuu si kwa poz za jera hahaha jera kusikieni tu kwakina sugu et unakosa hata utaaaam wa kubumbia kudadeq bora liex lako hata km ligubegube kiruuui[emoji52][emoji52][emoji52][emoji52]
 
namaanisha hivi, si kila ex mliachana kwa ugomvi, wengine waliachana kwa amani na mawasiliano yao yanaendelea wengine wameadvance mpaka mechi za kirafiki wanacheza tena kiwanja kile kile cha zamani.

ila sitaki uwe ex, you are always regular, for better for worse 😉 😉 😉 😉
Mhh me naona niko tofaut sana na wengine ukishakua ex wewe ni bye bye hajjalishi tulichuniana tu au kuchana kwa mabaya nenda tu kwa amani na kamwe simtafti mtu anaitwa ex na siwez kujidrag low kuendeleza hizo mechi za kirafiki na ex hapana kwa kweli

Hizo sentensi mbili za mwisho umenifanya natabasam hapa
 
Sjaelewa hata kidogo sasa nikiolewa kwa nn nichepuke??? Nikiwa ndani nisitoe unyumba ni haki ya mume wangu kwa nn nimkatalie akapate wapi? Nitachepuka vipi na ninaempenda wakat nimeolewa na mume niliemridhia kwa kila hali
Akili hii utaikuta kwa wanawake wachache sana duniani nowdays.
 
Back
Top Bottom