SWALI: Bora uende jela mwaka mmoja au umuoe/kuolewa na X wako?

jera bora ila kula chakula kilichodondoka mezani dyu sitaweza( x-wangu)
 
My ex girlfriend is my future wife, Who knows tomorrow?!..
 

Nimependa huu msimamo... . Japo nikipenda napenda kweli kweli ila ikishafikia hatua tukaachana sinaga kurudi nyuma hata mwanaume aweje.. NEVER



cc Smart911
 
Mnaosema kwenda jera muombe siku moja mkakae huko hata masaa 5 uone uhondo wa jera ulivyo.
Kwa maelezo zaid kuhusu uhondo wa jela Muone Mh.Mbowe kupitia namba 073456111
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuolewa na mtu usiyempenda ni kifungo cha maisha
 
Mambo ya kwenda kuvua nguo jela ili kukaguliwa nani anayataka, huyo mzazi mwenzangu tutavumiliana tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli utaweza
 
Rafiki yule X wako uliempata kule makapuku forum mzima?[emoji53][emoji53][emoji53]
Haha
Kwani madam wewe una X mmoja tu??[emoji53][emoji53][emoji53]
Asee
Ms chura unaanzaje kumkataa baba mtoto wako kwa mfano?![emoji28][emoji28][emoji28]
duhh
kwenye hao X wako wengi si kuna ambao ni afadhali kidogo?[emoji53][emoji53][emoji53]
Tihtihtih
Kwani yule ulieachana nae kipindi kile hakuwa wa makapuku forum?

ila wee nawe mwingi wa habari za kichokozi lol!!!..



cc Smart911
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…