SWALI: Bora uende jela mwaka mmoja au umuoe/kuolewa na X wako?

Sijawahi kuachana na ex wangu kwa vitimbi. Yani inatokea tu kila mtu anashika njia yake bila kelele. Sasa kwenda jela kweli hapana hata kama mapenzi Yameisha ntabanana nae tu kwani sh ngapi [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah huoni kama unajifunga kifungo cha maisha hakuna amani ndani ya nyumba
 
Tatizo lako Demiss kokote ukichagua bado kuna 'kuolewa' tu, sasa mimi nichague kati ya kumuoa X wangu au kwenda kuolewa gerezani.
Nitachagua vipi gereza unadhani!?..
[emoji9][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huko gerezani unaolewaje kwa mfano nipe ufafanuzi yakinifu
 
Nimependa huu msimamo... . Japo nikipenda napenda kweli kweli ila ikishafikia hatua tukaachana sinaga kurudi nyuma hata mwanaume aweje.. NEVER



cc Smart911
Kabisa yan niko hivyo, nitakupenda kwa moyo wangu wote, nitahakikiaha nafanya ninachoweza kilicho ndan ya uwezo wangu ili tu mahusiano yangu yawe strong, mimi ni yule mwanamke nitaomba samahani kwa makosa even sio yangu sababu sipendi malumbano kabisa, najua tutakwaruzana nitachukia lakini always naamini katika second chances, nitakupa nafas hata zaidi ya kumi najua utajirekebisha sitaweza kukuchoka kabisa na nutajitahidi kukuambia makosa yako, ila shida ikija nafanya vyote na bado unakuta mtu halipi fadhila, hakulipi hata jema unalomfanyia wala hakai akawaza kwamba huyu mwanamke ni wa pekee kwa kweli nikichoka moyoni nachoka mazima, yan hakuna kurudi nyuma, na baada ya kuachana sitakaa nikakutafta sitakaa, nitadili na mambo yangu sababu najua nimeanza maisha mapya nitajitahidi kumove on ilakamwe sikutafti kwanza unaweza nitumia msg na nisikujib vile vile kila kitu kinawezekana tukiamua
 
Bora nimrudishe x wang tuu si kwa poz za jera hahaha jera kusikieni tu kwakina sugu et unakosa hata utaaaam wa kubumbia kudadeq bora liex lako hata km ligubegube kiruuui[emoji52][emoji52][emoji52][emoji52]
Hahahahahha utakuwa na raha kweli kwenye ndoa
 
Nakazia upo moyoni kwangu kabisa
 
namaanisha hivi, si kila ex mliachana kwa ugomvi, wengine waliachana kwa amani na mawasiliano yao yanaendelea wengine wameadvance mpaka mechi za kirafiki wanacheza tena kiwanja kile kile cha zamani.
hii ndiyo ilikuwa maana yangu mrs mchawi Demiss
 
Touch
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…