Swali chechefu: Sijawahi kumsikia Kadinali Rugambwa akitema cheche hata kiduchu tu. Kwani kuna shida?

Mikopo Consultant

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2024
Posts
2,375
Reaction score
4,784
Kwa Mufti wa wenzetu kule, akina Takbiir!, unaweza kung'amua ni kwanini yupo kimya; ila kwa huyu wa kwetu, Mhashamu sana, Mkuu sana, kulikoni hasemi chochote? Mimi kwa kweli huwa naonaga picha zake tu, halafu natamani sana aseme neno, lakini simsikii kabisa kabisa akisema neno - akitema cheche!

Na sio maneno mengi wala, kiongozi mwenye ukubwa kama yeye, ni maneno kidoogo tu, baaaasi! Unaunguza mtandao mzima wa mapori tengefu, cheche!

Kumbe mimi nisingekuwa Padri mzuri, japo nilitabiriwa kuwa padri, maana napenda sana kuongea, na sio maneno matupu tu, bali, ni cheche! Najua mnajua naongea kitu gani haswa: cheche! Hata Padri Kitima alivyoshambuliwa, nilitegemea kuziona cheche!

Nikiyasema haya, linanijia jina la Laurent Mwonsengwo Pasinya, huyu alikuwa ni Padri huko Congo DRC ambaye alikuja kuwa Kadinali. Enzi za maisha yake, huyu mkuu sana, alikuwa anawatemea sana cheche na moto, viongozi wa Congo DRC waliotaka kubagaza haki za raia na demokrasia. Alimpa shuruba sana Mobutu Seko Kuku Ngwendu wa Zebanga, na pia alimtemea sana cheche Joseph Kabila alipotaka kuupora uchaguzi wa 2011 huko Congo.

Wakati utawala wa Mobutu Seko ukikaribia ukingoni, ni Mwonsengwo Pasinya aliyeaminiwa na wacongo kushika nyadhifa kubwa kwenye serikali ya mpito kama: President of the Sovereign National Conference mwaka 1991, president of the High Council of the Republic mwaka 1992, na speaker of a Transitional Parliament mwaka 1994.

Najiuliza swali: Ikiwa Kadinali wetu hatemi cheche, je, ataweza kuvivaa viatu vya Mwonsengwo Pasinya? Au, ya Pasinya tumuachie Pasinya?

Cheche zipo wapi cheche?
MC
 
Kwa hali hii asemaje jaman? Hebu lete mkutano wa huyo anaekubalika wenye watu nusu ya hawa.
20250902_065338.jpg
 
Kwa hali hii asemaje jaman? Hebu lete mkutano wa huyo anaekubalika wenye watu nusu ya hawa.
View attachment 3462075
Wanadai hilo nyomi limepelekwa hapo na mabasi maalum. Kwamba wao wanapata watu wanaokwenda kusikiliza hotuba za viongozi kwa miguu na wakipanda mabasi kutokea wanapoishi.

Uchaguzi huwa msema kweli, CCM ina watu waaminifu kwa chama chao hawakiangushi kwenye suala zima la upigaji kura.
 
Kwa Mufti wa wenzetu kule, akina Takbiir!, unaweza kung'amua ni kwanini yupo kimya; ila kwa huyu wa kwetu, Mhashamu sana, Mkuu sana, kulikoni hasemi chochote? Mimi kwa kweli huwa naonaga picha zake tu, halafu natamani sana aseme neno, lakini simsikii kabisa kabisa akisema neno - akitema cheche!

Na sio maneno mengi wala, kiongozi mwenye ukubwa kama yeye, ni maneno kidoogo tu, baaaasi! Unaunguza mtandao mzima wa mapori tengefu, cheche!

Kumbe mimi nisingekuwa Padri mzuri, japo nilitabiriwa kuwa padri, maana napenda sana kuongea, na sio maneno matupu tu, bali, ni cheche! Najua mnajua naongea kitu gani haswa: cheche! Hata Padri Kitima alivyoshambuliwa, nilitegemea kuziona cheche!

Nikiyasema haya, linanijia jina la Laurent Mwonsengwo Pasinya, huyu alikuwa ni Padri huko Congo DRC ambaye alikuja kuwa Kadinali. Enzi za maisha yake, huyu mkuu sana, alikuwa anawatemea sana cheche na moto, viongozi wa Congo DRC waliotaka kubagaza haki za raia na demokrasia. Alimpa shuruba sana Mobutu Seko Kuku Ngwendu wa Zebanga, na pia alimtemea sana cheche Joseph Kabila alipotaka kuupora uchaguzi wa 2011 huko Congo.

Wakati utawala wa Mobutu Seko ukikaribia ukingoni, ni Mwonsengwo Pasinya aliyeaminiwa na wacongo kushika nyadhifa kubwa kwenye serikali ya mpito kama: President of the Sovereign National Conference mwaka 1991, president of the High Council of the Republic mwaka 1992, na speaker of a Transitional Parliament mwaka 1994.

Najiuliza swali: Ikiwa Kadinali wetu hatemi cheche, je, ataweza kuvivaa viatu vya Mwonsengwo Pasinya? Au, ya Pasinya tumuachie Pasinya?

Cheche zipo wapi cheche?
MC
Mkuu Kardinali yupo busy na kazi za kimungu na kanisa. Mambo ya siasa za harakati kamwe awezi kuzishiriki kama mnavyotaka. Pia mbona unataka kufananisha Congo na Tanzania. Nani kaporwa haki zake?
 
Cheche kwani ni mchawi? Ht hivyo askofu ukubwa wake ni kwa wafuasi wake siyo kwa nchi. Msijipe ukubwa msiokuwa nao. Ukuu wake ni kwa misukule yake kanisani kwake.
 
Sio siasa, ni cheche! Yaani cheche!
 
Kadinali Rugambwa siyo Rais wa TEC wala Katibu Mkuu, yeye ni Askofu wa Jimbo la Tabora. Hivyo kama unataka kumsikiliza nenda Tabora!
 
Cheche kwani ni mchawi? Ht hivyo askofu ukubwa wake ni kwa wafuasi wake siyo kwa nchi. Msijipe ukubwa msiokuwa nao. Ukuu wake ni kwa misukule yake kanisani kwake.
Cheche sio uchawi, mbona Kadinali Mwonsengwo Pasinya alikuwa anazitema, kwani alikuwa mchawi?
 
Back
Top Bottom