pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,034
- 15,246
Akina 'yuda' wako pia ndani ya kanisa katoliki
Wee Mburula tumia akili, kwani kuna raia amezuiwa kujadili mambo ya kitaifa akitoa maoni yake binafsi na si ya taasisi anayoitumikia?Lakini mbona alikuwa anayaongelea ya kitaifa?
Ndo tunataka tusikie hayo maneno yake ya binafsi, hizo cheche!Wee Mburula tumia akili, kwani kuna raia amezuiwa kujadili mambo ya kitaifa akitoa maoni yake binafsi na si ya taasisi anayoitumikia?
Wewe una akili sana, embu endelea kutema cheche!Akina 'yuda' wako pia ndani ya kanisa katoliki
Kutema cheche sio uhuni, umepotoka, rudi kujifunza tofauti ya cheche na uhuni!Rugambwa hawezi kufanya mambo ya kihuni kama Kitima na genge lake.
Kamuulize Paroko wakoKwahiyo kule Vatican wakitaka kuzungumza na Tanzania, wanaanza kuongea na nani kwanza, ikiwa unasema Kadinali Rugambwa sio mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania?
Mimi sio Kadinali na sina ushawishi wowote kwa taifa, sasa nijirecord ili iweje? Je, kwako wewe kutema cheche ni sawa sawa na mtu kujirecord video? Kama ulikuwa huelewi maana ya kutema cheche si ungeuliza, badala ya kuanza kuukumbatia mbuyu?Anza wewe jirekodi video uongee uweke hapa Jf tutakuunga mkono, unataka nani akuongelee?
Je, wewe ni Paroko wa Parokia gani? Maana imekuwaje ukayajua yote hayaKamuulize Paroko wako
Ni Paroko wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Theresa Jimbo Kuu la Arusha.Je, wewe ni Paroko wa Parokia gani? Maana imekuwaje ukayajua yote haya
Padri Chuwa unamjua? Nilisoma naye PrimaryNi Paroko wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Theresa Jimbo Kuu la Arusha.
Huu mtego, sio kwa makusudi wala bahati mbaya siuingiii. Fr. Paul. R.Padri Chuwa unamjua?
Unaonekana una mashaka! Nilitaka kujua kama unamjua, ili nijue kama wewe ni Paroko wa St. Theresa Arusha, maana nilisoma naye Primary!Huu mtego, sio kwa makusudi wala bahati mbaya siuingiii. Fr. Paul. R.
Hivi unatakiwa kuwa na akili za aina gani kumkubali huyo mtu. Ni hizi hizi akili za kawaida! Enendeni mkatikiKwa hali hii asemaje jaman? Hebu lete mkutano wa huyo anaekubalika wenye watu nusu ya hawa.
View attachment 3462075
Wewe unayajua vizuri.Ni cheo Cha heshima hicho, kuhusu kutoa cheche yupo Rais wa Tec na katibu wake.
KitimaMkuu Kardinali yupo busy na kazi za kimungu na kanisa. Mambo ya siasa za harakati kamwe awezi kuzishiriki kama mnavyotaka. Pia mbona unataka kufananisha Congo na Tanzania. Nani kaporwa haki zake?
Kwenye serikali dhalimu ukiwa msema kweli unatarajia nini? Wakuchekee tu, angalia hata Pole Pole anasema huku kajificha. Jiwe alituridisha gizani tukajua huyu angetupa unafuu,lakini ndiyo yale yaleSi Lissu alitamka mwenyewe kua atafungwa?
Mbona Kadinali Pengo alikuwa hanyamazi. Au cheo chake ni tofauti na Rugambwa?Ni cheo Cha heshima hicho, kuhusu kutoa cheche yupo Rais wa Tec na katibu wake.
Hawa sio kigezo cha kukubalika, ni misikule iliyosomwa kutoka sehemu mbalimbali ili ije kutumika kisha irejeshwe kwa magari ya kubebea ng'ombeKwa hali hii asemaje jaman? Hebu lete mkutano wa huyo anaekubalika wenye watu nusu ya hawa.
View attachment 3462075