Swali chechefu: Sijawahi kumsikia Kadinali Rugambwa akitema cheche hata kiduchu tu. Kwani kuna shida?

Kwa Mufti wa wenzetu kule, akina Takbiir!, unaweza kung'amua ni kwanini yupo kimya; ila kwa huyu wa kwetu, Mhashamu sana, Mkuu sana, kulikoni hasemi chochote? Mimi kwa kweli huwa naonaga picha zake tu, halafu natamani sana aseme neno, lakini simsikii kabisa kabisa akisema neno - akitema cheche!

Na sio maneno mengi wala, kiongozi mwenye ukubwa kama yeye, ni maneno kidoogo tu, baaaasi! Unaunguza mtandao mzima wa mapori tengefu, cheche!

Kumbe mimi nisingekuwa Padri mzuri, japo nilitabiriwa kuwa padri, maana napenda sana kuongea, na sio maneno matupu tu, bali, ni cheche! Najua mnajua naongea kitu gani haswa: cheche! Hata Padri Kitima alivyoshambuliwa, nilitegemea kuziona cheche!

Nikiyasema haya, linanijia jina la Laurent Mwonsengwo Pasinya, huyu alikuwa ni Padri huko Congo DRC ambaye alikuja kuwa Kadinali. Enzi za maisha yake, huyu mkuu sana, alikuwa anawatemea sana cheche na moto, viongozi wa Congo DRC waliotaka kubagaza haki za raia na demokrasia. Alimpa shuruba sana Mobutu Seko Kuku Ngwendu wa Zebanga, na pia alimtemea sana cheche Joseph Kabila alipotaka kuupora uchaguzi wa 2011 huko Congo.

Wakati utawala wa Mobutu Seko ukikaribia ukingoni, ni Mwonsengwo Pasinya aliyeaminiwa na wacongo kushika nyadhifa kubwa kwenye serikali ya mpito kama: President of the Sovereign National Conference mwaka 1991, president of the High Council of the Republic mwaka 1992, na speaker of a Transitional Parliament mwaka 1994.

Najiuliza swali: Ikiwa Kadinali wetu hatemi cheche, je, ataweza kuvivaa viatu vya Mwonsengwo Pasinya? Au, ya Pasinya tumuachie Pasinya?

Cheche zipo wapi cheche?
MC
Bila shaka wewe ni mmojawapo wa wanaoamini Kardinali ni Kiongozi wa Kanisa Katoliki Tanzania eti? Na bila shaka ndio maana unashangaa kwanini haongei eti?

Kumbe unaweza kupenda kitu au kukisifia kumbe hata hulijui! Pole sana!!
 
Cheche kwani ni mchawi? Ht hivyo askofu ukubwa wake ni kwa wafuasi wake siyo kwa nchi. Msijipe ukubwa msiokuwa nao. Ukuu wake ni kwa misukule yake kanisani kwake.
Mzee wa ibada ya kumpiga mawe Shetani 🤣🤣🤣🤣 hivi Huwa munamuona live shetani?? Au Huwa mnakadiria tuu??? 😅😅😅 , mkuu ulipta mgaonwako wa TENDE??😅😅😅
 
Wewe hauwezi ku
Kwa Mufti wa wenzetu kule, akina Takbiir!, unaweza kung'amua ni kwanini yupo kimya; ila kwa huyu wa kwetu, Mhashamu sana, Mkuu sana, kulikoni hasemi chochote? Mimi kwa kweli huwa naonaga picha zake tu, halafu natamani sana aseme neno, lakini simsikii kabisa kabisa akisema neno - akitema cheche!

Na sio maneno mengi wala, kiongozi mwenye ukubwa kama yeye, ni maneno kidoogo tu, baaaasi! Unaunguza mtandao mzima wa mapori tengefu, cheche!

Kumbe mimi nisingekuwa Padri mzuri, japo nilitabiriwa kuwa padri, maana napenda sana kuongea, na sio maneno matupu tu, bali, ni cheche! Najua mnajua naongea kitu gani haswa: cheche! Hata Padri Kitima alivyoshambuliwa, nilitegemea kuziona cheche!

Nikiyasema haya, linanijia jina la Laurent Mwonsengwo Pasinya, huyu alikuwa ni Padri huko Congo DRC ambaye alikuja kuwa Kadinali. Enzi za maisha yake, huyu mkuu sana, alikuwa anawatemea sana cheche na moto, viongozi wa Congo DRC waliotaka kubagaza haki za raia na demokrasia. Alimpa shuruba sana Mobutu Seko Kuku Ngwendu wa Zebanga, na pia alimtemea sana cheche Joseph Kabila alipotaka kuupora uchaguzi wa 2011 huko Congo.

Wakati utawala wa Mobutu Seko ukikaribia ukingoni, ni Mwonsengwo Pasinya aliyeaminiwa na wacongo kushika nyadhifa kubwa kwenye serikali ya mpito kama: President of the Sovereign National Conference mwaka 1991, president of the High Council of the Republic mwaka 1992, na speaker of a Transitional Parliament mwaka 1994.

Najiuliza swali: Ikiwa Kadinali wetu hatemi cheche, je, ataweza kuvivaa viatu vya Mwonsengwo Pasinya? Au, ya Pasinya tumuachie Pasinya?

Cheche zipo wapi cheche?
MC
sema neno mpaka usemewe na mwanaume mwenzetu? Lijitu liutuzima unasubiri mtu mzima mwenzio akusemee? Au wewe sio riziki kwa maana ni mke wq mtu? Kama wewe ni Mwanaume kaza au kama mwanamke acha kaa nyumba lea ndoa yako ,chefuuu 😬😬😬😬
 
Wewe unayajua vizuri.
Sijui kwanini watu wanaanza kuchanganya mambo. Sote tunajua msemaji mkuu wa Wakatoliki Tanzania ni Baraza la Maaskofu (TEC) kupitia katibu wake, ambapo humo TEC hata Kadinali yupo kwasababu pia yeye ni Askofu.

Ila naona kuna narrative wanaileta wajumbe hapa kwamba: Kadinali Rugambwa hana ukuu wowote kwenye Kanisa Katoliki Tanzania; huu ni upotoshaji wa kiwango kikubwa.
 
Bila shaka wewe ni mmojawapo wa wanaoamini Kardinali ni Kiongozi wa Kanisa Katoliki Tanzania eti? Na bila shaka ndio maana unashangaa kwanini haongei eti?

Kumbe unaweza kupenda kitu au kukisifia kumbe hata hulijui! Pole sana!!
Labda nikuulize swali hilo hilo: Kiongozi wa Kanisa Katoliki Tanzania ni nani? Ama, Kanisa Katoliki Tanzania halina kiongozi? Maana ndo narrative naona inaenezwa kwa kasi hapa na wachangiaji
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuropoka bila ya kuangalia ; ukweli ni kwamba hayo mnayosema mtandaoni ni drama za kuleta hofu kwa mtawala ila hamna tatizo ..Yalikuwepo na yataendelea kuwepo ,kama kufa watu kila siku wanakufa .

Kila zama wanasiasa wa upinzani wanatumia mbinu ya kupinga utawala .. Magufuli walimzushia mengi na kumuita dikteta ,huyu wanamuit mtekaji baada ya hoja ya uzanzibar wake kupata majibu.

Hakuna hofu wala tatizo kama litakuwepo ataongea ...Sio kila mtu ni mjinga wa kufanyiwa manipulation na wanasiasa ...Umeme enzi zile ukikatika anatukanwa January Makamba ila leo Anatukanwa samia ,yule waziri wa mambo ya ndani kwa vile dini ile hasemwi hata watu wakitekw😂
 
Wewe hauwezi ku
sema neno mpaka usemewe na mwanaume mwenzetu? Lijitu liutuzima unasubiri mtu mzima mwenzio akusemee? Au wewe sio riziki kwa maana ni mke wq mtu? Kama wewe ni Mwanaume kaza au kama mwanamke acha kaa nyumba lea ndoa yako ,chefuuu 😬😬😬😬
Jikite kwenye mada mezani; usiigize kutukana maana haufananii.
 
wewe ndo huelewi

TEC unaifahamu je rais wa TEC unamfahamu Katibu wake je

majukumu ya cheo hicho unayafahamu yeye ni askofu tabora huko nenda jimbo kuu tabora huko........
 
Kwa hali hii asemaje jaman? Hebu lete mkutano wa huyo anaekubalika wenye watu nusu ya hawa.
View attachment 3462075
CCM ni mpango wa mungu kila mtu kajificha kwasasa Sababu wote ni wanafiki mbele za Mungu mkuu!!!

Wana CCM hatuna zambi tuzitoe wapi kwa mfano Dini kuu ya CCM wewe kuwa MWANA CCM inatosha kwetu!!

hatutaki kujua kuusu Dini zenu sisi inatuusu nini

lkn viongozi wa Dini wao kwanza Dini kisha ndio kiongoz mzuri kwao.

Viongozi wa Dini wanazambi kubwa ukiwacha unafiki wao.👹👹☠️

mbele ya wanaccm. Samia Suluhu Hassan tunatiki asubui asubui ✅️
 
Kwa Mufti wa wenzetu kule, akina Takbiir!, unaweza kung'amua ni kwanini yupo kimya; ila kwa huyu wa kwetu, Mhashamu sana, Mkuu sana, kulikoni hasemi chochote? Mimi kwa kweli huwa naonaga picha zake tu, halafu natamani sana aseme neno, lakini simsikii kabisa kabisa akisema neno - akitema cheche!

Na sio maneno mengi wala, kiongozi mwenye ukubwa kama yeye, ni maneno kidoogo tu, baaaasi! Unaunguza mtandao mzima wa mapori tengefu, cheche!

Kumbe mimi nisingekuwa Padri mzuri, japo nilitabiriwa kuwa padri, maana napenda sana kuongea, na sio maneno matupu tu, bali, ni cheche! Najua mnajua naongea kitu gani haswa: cheche! Hata Padri Kitima alivyoshambuliwa, nilitegemea kuziona cheche!

Nikiyasema haya, linanijia jina la Laurent Mwonsengwo Pasinya, huyu alikuwa ni Padri huko Congo DRC ambaye alikuja kuwa Kadinali. Enzi za maisha yake, huyu mkuu sana, alikuwa anawatemea sana cheche na moto, viongozi wa Congo DRC waliotaka kubagaza haki za raia na demokrasia. Alimpa shuruba sana Mobutu Seko Kuku Ngwendu wa Zebanga, na pia alimtemea sana cheche Joseph Kabila alipotaka kuupora uchaguzi wa 2011 huko Congo.

Wakati utawala wa Mobutu Seko ukikaribia ukingoni, ni Mwonsengwo Pasinya aliyeaminiwa na wacongo kushika nyadhifa kubwa kwenye serikali ya mpito kama: President of the Sovereign National Conference mwaka 1991, president of the High Council of the Republic mwaka 1992, na speaker of a Transitional Parliament mwaka 1994.

Najiuliza swali: Ikiwa Kadinali wetu hatemi cheche, je, ataweza kuvivaa viatu vya Mwonsengwo Pasinya? Au, ya Pasinya tumuachie Pasinya?

Cheche zipo wapi cheche?
MC
Kuna binadamu ameshawahi kutema cheche na akawa hai?
 
L
Mzee wa ibada ya kumpiga mawe Shetani 🤣🤣🤣🤣 hivi Huwa munamuona live shetani?? Au Huwa mnakadiria tuu??? 😅😅😅 , mkuu ulipta mgaonwako wa TENDE??😅😅😅
🤣🤣🤣 lkn ukipewa kifuu ukavunje njia panda au yanapogeuzia magari kwamba maisha yako yatakuwa kitonga utapandishwa cheo unaenda mbioooooooo
 
Back
Top Bottom