Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,375
- 4,784
Wanadai hilo nyomi limepelekwa hapo na mabasi maalum. Kwamba wao wanapata watu wanaokwenda kusikiliza hotuba za viongozi kwa miguu na wakipanda mabasi kutokea wanapoishi.Kwa hali hii asemaje jaman? Hebu lete mkutano wa huyo anaekubalika wenye watu nusu ya hawa.
View attachment 3462075
Hata kama, hiyo haimzui kutema cheche!Ni cheo Cha heshima hicho, kuhusu kutoa cheche yupo Rais wa Tec na katibu wake.
Mkuu Kardinali yupo busy na kazi za kimungu na kanisa. Mambo ya siasa za harakati kamwe awezi kuzishiriki kama mnavyotaka. Pia mbona unataka kufananisha Congo na Tanzania. Nani kaporwa haki zake?Kwa Mufti wa wenzetu kule, akina Takbiir!, unaweza kung'amua ni kwanini yupo kimya; ila kwa huyu wa kwetu, Mhashamu sana, Mkuu sana, kulikoni hasemi chochote? Mimi kwa kweli huwa naonaga picha zake tu, halafu natamani sana aseme neno, lakini simsikii kabisa kabisa akisema neno - akitema cheche!
Na sio maneno mengi wala, kiongozi mwenye ukubwa kama yeye, ni maneno kidoogo tu, baaaasi! Unaunguza mtandao mzima wa mapori tengefu, cheche!
Kumbe mimi nisingekuwa Padri mzuri, japo nilitabiriwa kuwa padri, maana napenda sana kuongea, na sio maneno matupu tu, bali, ni cheche! Najua mnajua naongea kitu gani haswa: cheche! Hata Padri Kitima alivyoshambuliwa, nilitegemea kuziona cheche!
Nikiyasema haya, linanijia jina la Laurent Mwonsengwo Pasinya, huyu alikuwa ni Padri huko Congo DRC ambaye alikuja kuwa Kadinali. Enzi za maisha yake, huyu mkuu sana, alikuwa anawatemea sana cheche na moto, viongozi wa Congo DRC waliotaka kubagaza haki za raia na demokrasia. Alimpa shuruba sana Mobutu Seko Kuku Ngwendu wa Zebanga, na pia alimtemea sana cheche Joseph Kabila alipotaka kuupora uchaguzi wa 2011 huko Congo.
Wakati utawala wa Mobutu Seko ukikaribia ukingoni, ni Mwonsengwo Pasinya aliyeaminiwa na wacongo kushika nyadhifa kubwa kwenye serikali ya mpito kama: President of the Sovereign National Conference mwaka 1991, president of the High Council of the Republic mwaka 1992, na speaker of a Transitional Parliament mwaka 1994.
Najiuliza swali: Ikiwa Kadinali wetu hatemi cheche, je, ataweza kuvivaa viatu vya Mwonsengwo Pasinya? Au, ya Pasinya tumuachie Pasinya?
Cheche zipo wapi cheche?
MC
Si Lissu alitamka mwenyewe kua atafungwa?Kadinali sio maneno , juzi katoka kumuona Rais Lissu ataachiwa soon
Umetoka njia kuu, nazungumzia cheche!Kwa hali hii asemaje jaman? Hebu lete mkutano wa huyo anaekubalika wenye watu nusu ya hawa.
View attachment 3462075
Hii ina maana gani mbatizaji?Kwenye somo la Historia imeelezwa walioanza kuja Tanganyika ni Wamisionari na Wapelelezi 😄
Cheche kwani ni mchawi? Ht hivyo askofu ukubwa wake ni kwa wafuasi wake siyo kwa nchi. Msijipe ukubwa msiokuwa nao. Ukuu wake ni kwa misukule yake kanisani kwake.Kwa Mufti wa wenzetu kule, akina Takbiir!, unaweza kung'amua ni kwanini yupo kimya; ila kwa huyu wa kwetu, Mhashamu sana, Mkuu sana, kulikoni hasemi chochote? Mimi kwa kweli huwa naonaga picha zake tu, halafu natamani sana aseme neno, lakini simsikii kabisa kabisa akisema neno - akitema cheche!
Na sio maneno mengi wala, kiongozi mwenye ukubwa kama yeye, ni maneno kidoogo tu, baaaasi! Unaunguza mtandao mzima wa mapori tengefu, cheche!
Kumbe mimi nisingekuwa Padri mzuri, japo nilitabiriwa kuwa padri, maana napenda sana kuongea, na sio maneno matupu tu, bali, ni cheche! Najua mnajua naongea kitu gani haswa: cheche! Hata Padri Kitima alivyoshambuliwa, nilitegemea kuziona cheche!
Nikiyasema haya, linanijia jina la Laurent Mwonsengwo Pasinya, huyu alikuwa ni Padri huko Congo DRC ambaye alikuja kuwa Kadinali. Enzi za maisha yake, huyu mkuu sana, alikuwa anawatemea sana cheche na moto, viongozi wa Congo DRC waliotaka kubagaza haki za raia na demokrasia. Alimpa shuruba sana Mobutu Seko Kuku Ngwendu wa Zebanga, na pia alimtemea sana cheche Joseph Kabila alipotaka kuupora uchaguzi wa 2011 huko Congo.
Wakati utawala wa Mobutu Seko ukikaribia ukingoni, ni Mwonsengwo Pasinya aliyeaminiwa na wacongo kushika nyadhifa kubwa kwenye serikali ya mpito kama: President of the Sovereign National Conference mwaka 1991, president of the High Council of the Republic mwaka 1992, na speaker of a Transitional Parliament mwaka 1994.
Najiuliza swali: Ikiwa Kadinali wetu hatemi cheche, je, ataweza kuvivaa viatu vya Mwonsengwo Pasinya? Au, ya Pasinya tumuachie Pasinya?
Cheche zipo wapi cheche?
MC
Sio siasa, ni cheche! Yaani cheche!Mkuu Kardinali yupo busy na kazi za kimungu na kanisa. Mambo ya siasa za harakati kamwe awezi kuzishiriki kama mnavyotaka. Pia mbona unataka kufananisha Congo na Tanzania. Nani kaporwa haki zake?
Sio awe na maneno mkuu, ni cheche!Kadinali sio maneno , juzi katoka kumuona Rais Lissu ataachiwa soon
Kadinali Rugambwa siyo Rais wa TEC wala Katibu Mkuu, yeye ni Askofu wa Jimbo la Tabora. Hivyo kama unataka kumsikiliza nenda Tabora!Kwa Mufti wa wenzetu kule, akina Takbiir!, unaweza kung'amua ni kwanini yupo kimya; ila kwa huyu wa kwetu, Mhashamu sana, Mkuu sana, kulikoni hasemi chochote? Mimi kwa kweli huwa naonaga picha zake tu, halafu natamani sana aseme neno, lakini simsikii kabisa kabisa akisema neno - akitema cheche!
Na sio maneno mengi wala, kiongozi mwenye ukubwa kama yeye, ni maneno kidoogo tu, baaaasi! Unaunguza mtandao mzima wa mapori tengefu, cheche!
Kumbe mimi nisingekuwa Padri mzuri, japo nilitabiriwa kuwa padri, maana napenda sana kuongea, na sio maneno matupu tu, bali, ni cheche! Najua mnajua naongea kitu gani haswa: cheche! Hata Padri Kitima alivyoshambuliwa, nilitegemea kuziona cheche!
Nikiyasema haya, linanijia jina la Laurent Mwonsengwo Pasinya, huyu alikuwa ni Padri huko Congo DRC ambaye alikuja kuwa Kadinali. Enzi za maisha yake, huyu mkuu sana, alikuwa anawatemea sana cheche na moto, viongozi wa Congo DRC waliotaka kubagaza haki za raia na demokrasia. Alimpa shuruba sana Mobutu Seko Kuku Ngwendu wa Zebanga, na pia alimtemea sana cheche Joseph Kabila alipotaka kuupora uchaguzi wa 2011 huko Congo.
Wakati utawala wa Mobutu Seko ukikaribia ukingoni, ni Mwonsengwo Pasinya aliyeaminiwa na wacongo kushika nyadhifa kubwa kwenye serikali ya mpito kama: President of the Sovereign National Conference mwaka 1991, president of the High Council of the Republic mwaka 1992, na speaker of a Transitional Parliament mwaka 1994.
Najiuliza swali: Ikiwa Kadinali wetu hatemi cheche, je, ataweza kuvivaa viatu vya Mwonsengwo Pasinya? Au, ya Pasinya tumuachie Pasinya?
Cheche zipo wapi cheche?
MC
Cheche sio uchawi, mbona Kadinali Mwonsengwo Pasinya alikuwa anazitema, kwani alikuwa mchawi?Cheche kwani ni mchawi? Ht hivyo askofu ukubwa wake ni kwa wafuasi wake siyo kwa nchi. Msijipe ukubwa msiokuwa nao. Ukuu wake ni kwa misukule yake kanisani kwake.
Katoliki ndio inaijua Tanganyika kuliko mtu mwingine yoyote duniani 😄Hii ina maana gani mbatizaji?
Km kuna cheche anaweza kutema akatemee kwa wafuasi wake. Cheche ndiyo nini, acheni uzwazwaCheche sio uchawi, mbona Kadinali Mwonsengwo Pasinya alikuwa anazitema, kwani alikuwa mchawi?
Nakubali, baraza la Tec lilianza vikao vyake zamani sana hata kabla ya Nyerere kuzaliwa.Katoliki ndio inaijua Tanganyika kuliko mtu mwingine yoyote duniani 😄