Swali chokonozi: TFF inaweza kumfungia mtanzania kujihusisha na soka ndani na nje ya nchi?

Swali chokonozi: TFF inaweza kumfungia mtanzania kujihusisha na soka ndani na nje ya nchi?

Ila Haji anaupumbavu mwingi sana, mara nyingi anawadharirisha watu wenyeshima zao bila kujali.

Ni mtu asiweza kutifautisha utani na mzaha. Yeye muda mwingi anafanyia watu mizaha. Mizaha ni makosa.

Binafsi naona wamempa adhabu ndogo sana! Anatakiwa kujifunza utani bila udharirishaji!
 
Tff kumejaa wahuni, Yule Mzee aliyekua akisoma hukumu , wakati wa kujibu maswali alikua najichanganya sana.
Sasa nimeamini kumbe wahuni nao uwa wanazeeka. Tff chupri chupri nyingi.
 
Nimejiuliza sana juu ya hili la kuvuka mipaka ya nchi wakati madaraka yao yanaishia Namanga, Mbambabay, Kilando, Mtukura, Rusumo, Kilambo, Mtambaswala, Kibirizi, etc
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mlongo poleee kwa Maumivuu.
Msaidie kulipa faini Takadini.
 
Eti alipe na faini ya milioni 20! Hivi wanaichukulia milioni 20 kama laki 2, au! Yaani chawa wa Karia watakuwa wamepitiliza kwenye viwango vya uchawa aisee!

Kisa tu bosi wao kaambiwa ukweli juu ya upuuzi wake!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaandika huku choziiii linakutokaa, poleeeeeh shougaaa angu, kamsaidie Takadini kulipa faini.

Hizi kelele hazisaidii hapa.
 
Dr. Haji Manara!

Hivi Taifa Stars hapa Bongo inacheza lini?

Wapenzi wa Dr. tuonyeshe upendo wetu wa kutokwenda uwanjani kwenye mechi za Taifa Stars.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeeeh.
Taifa hili sio la Yanga na Takadini, sisi tutakwenda kuishangilia.
Tena hata wachezaji wenu muwatoe tyuuh pale kambini hatuna shida hizo.

Byuti byuti.
 
Ndiyo afungiwe kwa kosa la kurushiana maneno na Wallace Karia katia mazingira ambayo kila mtu joto la mwili lilikuwa juu?

Na hapa ifahamike wazi Karia ni mwanachama wa Coastal Union, na pia ni shabiki wa simba!
Huu ujuaji mnaomjaza ndo anavimba kichwa, kwakua ana m control basha wake yule BOSS, bas ndo anadhan kila mtu?? Yeye si ndo mama mjengo, alipiwe faini.

Kumekuchaaaaaaah!!!!!
 
Kupitia comments za wadau ndipo naelewa Sasa why manara huwa anavimba snaa na Hana uoga na anaona ni fresh tu kudhihaki wengine na huku akijificha kwenye ulemavu wake.

Mimi nilishaapa huyu jamaa aombe tusijekutana kwenye kumi na nane alafu et anijibu hovyo km afanyavyo kwa waandishi waoga waoga kwnagu huo ndio utakua mwisho wake wa kuishi .jamaa amejaa dharau sana
 
Wakili msomi ungejatibu kupitia miongozo ya FIFA kwa CAF na TFF. Maamuzi yote yanayofanyika lazima yazingatie miongozo iliyopo. Kama umeisoma ukaona TFF wamekiuka basi unaweza kwenda kumkatia rufaa mteja wako.
Mkuu, mimi nimeuliza tu. Haji Manara si mteja wangu.
 
Eti alipe na faini ya milioni 20! Hivi wanaichukulia milioni 20 kama laki 2, au! Yaani chawa wa Karia watakuwa wamepitiliza kwenye viwango vya uchawa aisee!

Kisa tu bosi wao kaambiwa ukweli juu ya upuuzi wake!

Si ndo hao hao mliingia nao mkataba feki wa udhamini wenza wa ligi..???sahizi mnawaona ni majizi mbona kipindi kile mliwatetea?BYUTI BYUTI[emoji2957]
 
Kama yanga ataenda kushiriki caf basi haji hatatakiwa kwenda kuiwakilisha yanga sc ambayo ni mwanachama wa tff kwenye mashindano hayo ya nje ya mipaka ya nchi ...JAMANI MBONA RAHISI TUUUUU....

Mchanganuo..

CAF
[emoji3596]
TFF
[emoji3596]
YANGA SC
 
Dr. Haji Manara!

Hivi Taifa Stars hapa Bongo inacheza lini?

Wapenzi wa Dr. tuonyeshe upendo wetu wa kutokwenda uwanjani kwenye mechi za Taifa Stars.

Msijali uwanja tutaoujaza wana lunyasi na akina azam na geita
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeeeh.
Taifa hili sio la Yanga na Takadini, sisi tutakwenda kuishangilia.
Tena hata wachezaji wenu muwatoe tyuuh pale kambini hatuna shida hizo.

Byuti byuti.

[emoji23][emoji23][emoji23]hao kina kibwana mdogo??aah wawatoe tu kuna kina kapama wana namba zaidi ya saba
 
Huu ujuaji mnaomjaza ndo anavimba kichwa, kwakua ana m control basha wake yule BOSS, bas ndo anadhan kila mtu?? Yeye si ndo mama mjengo, alipiwe faini.

Kumekuchaaaaaaah!!!!!

Eeh!!!?umesema???[emoji15][emoji15][emoji15]hebu leta code nichanganue peke angu
 
Kupitia comments za wadau ndipo naelewa Sasa why manara huwa anavimba snaa na Hana uoga na anaona ni fresh tu kudhihaki wengine na huku akijificha kwenye ulemavu wake.

Mimi nilishaapa huyu jamaa aombe tusijekutana kwenye kumi na nane alafu et anijibu hovyo km afanyavyo kwa waandishi waoga waoga kwnagu huo ndio utakua mwisho wake wa kuishi .jamaa amejaa dharau sana

Mkuu una hasira na kiumbe chenye exceptional [emoji23][emoji23]msamehe tu
 
Mimi nauliza daily. Inawezekana kufanya mpira nje ya TFF? TFF ndiyo wana hakimiliki ya mpira nchi hii? Mfano. Siwezi anzisha mashindano ya mpira bila kushirikisha TFF au vyama wanachama wa TFF kwa lolote? Maana imekuwa kama cartel/guild la mpira.
 
Mbona alipofungiwa yule kocha wa mbeya kwanza na meneja wake hayo mabo ya ndani na nje hamkuyasema

Punguzeni unazi

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Sio kila kitu ambacho hakikusemwa jana leo kisisemwe.binadamu sio gogo kwamba hafikirii chochote.Kwahiyo inawezekana jana halikufikiriwa ila leo limefikiriwa.jaribu kua positive badala yakukariri historia ya jana.
 
Mimi nauliza daily. Inawezekana kufanya mpira nje ya TFF? TFF ndiyo wana hakimiliki ya mpira nchi hii? Mfano. Siwezi anzisha mashindano ya mpira bila kushirikisha TFF au vyama wanachama wa TFF kwa lolote? Maana imekuwa kama cartel/guild la mpira.
Haiwezekani, kwasababu TFF ndio baba wa mpira Tanzania anayetambuliwa na baba wa mpira duniani FIFA.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hao kina kibwana mdogo??aah wawatoe tu kuna kina kapama wana namba zaidi ya saba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wasituchoshee kabisaaa. Wala hawatustui kwa lolote.
Watupisheee.
 
Back
Top Bottom