Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,375
- 6,958
Manara amezoea kuropoka, wanasema ndege mjanja unaswa kwenye tundu bovuNdiyo afungiwe kwa kosa la kurushiana maneno na Wallace Karia katia mazingira ambayo kila mtu joto la mwili lilikuwa juu?
Na hapa ifahamike wazi Karia ni mwanachama wa Coastal Union, na pia ni shabiki wa simba!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mlongo poleee kwa Maumivuu.Nimejiuliza sana juu ya hili la kuvuka mipaka ya nchi wakati madaraka yao yanaishia Namanga, Mbambabay, Kilando, Mtukura, Rusumo, Kilambo, Mtambaswala, Kibirizi, etc
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaandika huku choziiii linakutokaa, poleeeeeh shougaaa angu, kamsaidie Takadini kulipa faini.Eti alipe na faini ya milioni 20! Hivi wanaichukulia milioni 20 kama laki 2, au! Yaani chawa wa Karia watakuwa wamepitiliza kwenye viwango vya uchawa aisee!
Kisa tu bosi wao kaambiwa ukweli juu ya upuuzi wake!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeeeh.Dr. Haji Manara!
Hivi Taifa Stars hapa Bongo inacheza lini?
Wapenzi wa Dr. tuonyeshe upendo wetu wa kutokwenda uwanjani kwenye mechi za Taifa Stars.
Huu ujuaji mnaomjaza ndo anavimba kichwa, kwakua ana m control basha wake yule BOSS, bas ndo anadhan kila mtu?? Yeye si ndo mama mjengo, alipiwe faini.Ndiyo afungiwe kwa kosa la kurushiana maneno na Wallace Karia katia mazingira ambayo kila mtu joto la mwili lilikuwa juu?
Na hapa ifahamike wazi Karia ni mwanachama wa Coastal Union, na pia ni shabiki wa simba!
Mkuu, mimi nimeuliza tu. Haji Manara si mteja wangu.Wakili msomi ungejatibu kupitia miongozo ya FIFA kwa CAF na TFF. Maamuzi yote yanayofanyika lazima yazingatie miongozo iliyopo. Kama umeisoma ukaona TFF wamekiuka basi unaweza kwenda kumkatia rufaa mteja wako.
Ndomaana atakata rufaa,halafu hukumu itatenguliwa kwa kuonyesha mapungufu yao.Swali chokonozi dogo wangekuwa hawana mamlaka hayo wangemhukumu hivyo?
Eti alipe na faini ya milioni 20! Hivi wanaichukulia milioni 20 kama laki 2, au! Yaani chawa wa Karia watakuwa wamepitiliza kwenye viwango vya uchawa aisee!
Kisa tu bosi wao kaambiwa ukweli juu ya upuuzi wake!
Dr. Haji Manara!
Hivi Taifa Stars hapa Bongo inacheza lini?
Wapenzi wa Dr. tuonyeshe upendo wetu wa kutokwenda uwanjani kwenye mechi za Taifa Stars.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeeeh.
Taifa hili sio la Yanga na Takadini, sisi tutakwenda kuishangilia.
Tena hata wachezaji wenu muwatoe tyuuh pale kambini hatuna shida hizo.
Byuti byuti.
Huu ujuaji mnaomjaza ndo anavimba kichwa, kwakua ana m control basha wake yule BOSS, bas ndo anadhan kila mtu?? Yeye si ndo mama mjengo, alipiwe faini.
Kumekuchaaaaaaah!!!!!
Kupitia comments za wadau ndipo naelewa Sasa why manara huwa anavimba snaa na Hana uoga na anaona ni fresh tu kudhihaki wengine na huku akijificha kwenye ulemavu wake.
Mimi nilishaapa huyu jamaa aombe tusijekutana kwenye kumi na nane alafu et anijibu hovyo km afanyavyo kwa waandishi waoga waoga kwnagu huo ndio utakua mwisho wake wa kuishi .jamaa amejaa dharau sana
Sio kila kitu ambacho hakikusemwa jana leo kisisemwe.binadamu sio gogo kwamba hafikirii chochote.Kwahiyo inawezekana jana halikufikiriwa ila leo limefikiriwa.jaribu kua positive badala yakukariri historia ya jana.Mbona alipofungiwa yule kocha wa mbeya kwanza na meneja wake hayo mabo ya ndani na nje hamkuyasema
Punguzeni unazi
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Haiwezekani, kwasababu TFF ndio baba wa mpira Tanzania anayetambuliwa na baba wa mpira duniani FIFA.Mimi nauliza daily. Inawezekana kufanya mpira nje ya TFF? TFF ndiyo wana hakimiliki ya mpira nchi hii? Mfano. Siwezi anzisha mashindano ya mpira bila kushirikisha TFF au vyama wanachama wa TFF kwa lolote? Maana imekuwa kama cartel/guild la mpira.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wasituchoshee kabisaaa. Wala hawatustui kwa lolote.[emoji23][emoji23][emoji23]hao kina kibwana mdogo??aah wawatoe tu kuna kina kapama wana namba zaidi ya saba