Swali chokonozi: TFF inaweza kumfungia mtanzania kujihusisha na soka ndani na nje ya nchi?

Swali chokonozi: TFF inaweza kumfungia mtanzania kujihusisha na soka ndani na nje ya nchi?

Mimi nadhani ni kwa ndani tu, nje ya nchi hapana kwa maana mwisho wa mipaka ya TFF ni ndani hapa TZ

Otherwise watafsiri kwa sheria zao za mchongo hawa Tanzania Football Failure


Ingelkuwa labada CAF au FIFA Ingekuwa sawa
kwa hapa ndani TFF ni kama jicho la CAF na FIFA .TFF haiwezi kumfungia mtu wa nje ila inaweza kumfungia mtu wa ndani asijihusishe na nje.
 
🚨 KUTOKA KWA BUGATI

Kupanga ni kuchagua. Wakati Yanga akichukua Treble this season kwa kushinda Ngao Ya Jamii, Azam federation na Ligi kuu, Makolo Treble zao ni

👉Mpole Cup

👉Sopu Cup

👉Sakho Cup Kiufupi chake Treble ya Manyonyo inaitwa MSOSA.

Nb :: Tabu ipo pale pale Makolo,,hadi mtueleze kale katwenty mmekaficha wapi MSOSA KAMA MSOSA TREBLE Byuti Byuti 🏆🏆🏆
 
Eti alipe na faini ya milioni 20! Hivi wanaichukulia milioni 20 kama laki 2, au! Yaani chawa wa Karia watakuwa wamepitiliza kwenye viwango vya uchawa aisee!

Kisa tu bosi wao kaambiwa ukweli juu ya upuuzi wake!
Wewe na UTOPOLO wenzio, ndio mnaompa jeuri Haji, na kujiona kwamba anaweza kumfanya chochote mtu yeyote hapa Duniani!
 
Soma katiba ya TFF na ya FIFA utaona mamlaka ya TFF yanaishia wapi?
 
Pale hata mimi nimechoka, ngoja wanasheria walipitie hilo.
Kwenye hukumu wale wote walisikilizwa ama mie ndiye sielewi taratibu za TFF?
 
Ngoja niwaulize swali Kafungiwa Maisha hapa Michael wambura kutojihusisha na Soka Ndani na Nje hamjasema kitu…
Leo Kafungiwa manara watu wanaongea…[emoji12][emoji275][emoji1787]
All in all Hajo hakuna anaemuweza…Ataendelea kuwa msemaji tuu… Daima Mbele nyuma Mwiko[emoji30][emoji123]
 
Michael wambura alifungiwa Maisha watu hawassmi chochote mbona?
All in All haji hakuna anaemuweza Ova[emoji276][emoji83]
Ataendelea kuwa msemaji…
Daima mbele nyuma mwiko[emoji274][emoji40]
 
Mambo mengine ni kujisumbua tu, huko nje atafikaje kufanya kazi za Soka?


Kwa level zake huyo ni wa hapahapa kwa Bongo kwa wapenda Matusi!
 
Manara ni Mtanzania, na amefungiwa ndani na nje ya nchi. Najiuliza kama angefungiwa ndani ya nchi pekee na ikatokea amepata dili kuwa msemaji/mhamasishaji wa Gor-mahia ya Kenya, hamuoni kama haya makosa yake yangejirudia huko katika nchi za kigeni. Si angetutia aibu huyu. Mi naona ni sawa tu kufungiwa ndani na nje ya nchi, kwanza hana washauri wazuri, pili yeye anajiona ndio kila kitu kushinda TFF hata Serikali. Yani kajiumaarufu na vituko bwerere. Ifikie mahali tuheshimu mamlaka ya TFF. Ingekuwa Serikali ndio msimamizi wa Mpira na lingetokea hili kwa Manara kusingekuwepo na wakisema Fyoko.

Nakumbusha Manara ni Mtanzania na TFF ina haki ya kumfungia ndani ya nchi na nje ya nchi.

Kwa mfano kama ingetokea Senzo Mazingiza ndio angefungiwa, basi angefungiwa Tanzania peke yake, kwa sababu Senzo sio Mtanzania, kwakwahiyo angekuwa na haki ya kuendelea na kazi zake nje ya Tz.
Nawasisha.
 
Back
Top Bottom