Uchaguzi 2020 Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli licha ya ugumu wa maisha, uonevu kwa wafanyabiashara, wakulima na wafanyakazi?

Uchaguzi 2020 Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli licha ya ugumu wa maisha, uonevu kwa wafanyabiashara, wakulima na wafanyakazi?

CreativityCode

Senior Member
Joined
Aug 8, 2020
Posts
158
Reaction score
653
Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi?

NAHITAJI MAJIBU
 
Hakuna mtu Mtanzania mwenye akili timamu, ataacha kumchaguaJPM.
P
Tatizo nn njaa kweli Tamaa za kidunia ukabila au ni ukosefu tu wa akili kwa watu weusi Sina matatizo na Mh Rais ila km kweli Nia yke ni kutaka kututoa hapa tulipo basi lazima lazima kukaa chini pande zote kuleta Umoja wa kitaifa bila hivyo Nina hakika baadae lazima makaburi yetu watoto wetu waje kuyashapa bakora.

Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, Kodi ya Kireativiti, kabla ya kujibu swali lako, pitia hoja hizi...
Paschal unajipaka kinyesi kwa kutetea vitu vya ajabu.Yaani mtu na akili zako timamu umpe kura Magu ? Kwa sababu zipi hasa? Ndege 11? Bwawa ambalo lipo 20% kwenye ujenzi wake au reli ambayo ndo kwanza kipande Cha Moro dar kipo 50% ya ujenzi wake?
 
Jinsi umeanzisha Uzi, yaonesha hapo tu ulipo nina uwalakini na utimamu wako! Sasa cjui umepatwa na nini ili angalau kuweza kuuliza swali hilo?
 
Paschal unajipaka kinyesi kwa kutetea vitu vya ajabu.Yaani mtu na akili zako timamu umpe kura Magu ? Kwa sababu zipi hasa? Ndege 11? Bwawa ambalo lipo 20% kwenye ujenzi wake au reli ambayo ndo kwanza kipande Cha Moro dar kipo 50% ya ujenzi wake?
Angalau unavyo vya kutaja vya Magu, vipi vya Lissu?
 
Tatizo nn njaa kweli Tamaa za kidunia ukabila au ni ukosefu tu wa akili kwa watu weusi Sina matatizo Mh Rais ila km kweli Nia yke kutaka kkututoa hapa tulipo basi lazima lazima kukaa chini pande zote kuleta Umoja wa kitaifa bila hivyo Nina hakika baadae lazima makaburi yetu watoto wetu waje kuyashapa bakora...

Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
Baba mpumbavu ndiye pekee anaweza asiwanunulie watoto wake chakula au kuwalipia wanae Ada eti kisa anajenga nyumba.Kuacha kuongeza mishahara ya wafanyakazi.

kuacha kuwapandisha madaraja, kuacha kuwapa increment yao ya kila mwaka kwa kisingizio cha kujenga SGR or mwl Nyerere Hydro power si tu ni upumbavu wa baba bali roho mbaya na uuwaji.

kiufupi Magu hakupaswa hata kuteuliwa na CCM kugombea maana hajui kazi za msingi za serikali ni zipi na hajui nani mmiliki wa serikali aliyokuwa anaiongoza.Hovyo kabisa huyu mtu.
 
Hata mke wake kura itakuwa siri yake anaweza kumchagua Tundu Lissu.

Kuna baadhi ya ballot papers zinafuatiliwa. Kura za NEC sio siri. Kuna serial number imo kwenye kila ballot paper, kuna watu wao wanazi note na kuzifuatilia wawajuwe.
 
Baba mpumbavu ndiye anaweza asiwanunulie watoto wake chakula au kuwalipia wanae Ada eti kisa anajenga nyumba.Kuacha kuongeza mishahara ya wafanyakazi,kuacha kueapandisha madaraja,kuacha kuwa increment yao ya kila mwaka kwa kisingizio Cha kujenga SGR or mwl Hydro power si tu ni upumbavu wa baba bali roho mbaya na uuwajj,Magu hakupaswa hata kuteuliwa na CCM maana hajui kazi za msingi za serikali ni zipi na hajui nani mmiliki wa serikali aliyokuwa anaiongoza.Hovyo kabisa huyu mtu
Mkuu Hujijui lakini Unajitambua.
 
Jinsi umeanzisha Uzi, yaonesha hapo tu ulipo nina uwalakini na utimamu wako! Sasa cjui umepatwa na nini ili angalau kuweza kuuliza swali hilo?
Mkuu unajua Ethiopia wanavitu vyote anavyojigamba navyo Magufuli tena wanavyo kwa mamia,na vikubwa na vingi na still wanakamatwa kwenye malori na makontena wakitoroka nchi?

Mtu yeyote mwenye akili,anajua vitu havijawahi kuwa Maendeleo, bali vitu ni matokeo ya Maendeleo, i.e anaendelea kwanza mtu then vitu ndo vinafuata.
 
Mkuu unajua Ethiopia wanavitu vyote anavyojigamba navyo Magufuli tena wanavyo kwa mamia,na vikubwa na vingi na still wanakamatwa kwenye malori na makontena wakitoroka nchi?mtu yeyote mwenye akili,anajua vitu havijawahi kuwa Maendeleo,bali vitu ni matokeo ya Maendeleo,i.e anaendelea kwanza mtu then vitu ndo vinafuata
Utimamu wako unatokana na unavyoyajua ya Ethiopia?
 
Kama raia mzalendo, kabla ya kupiga kura unapaswa kujiuliza swali moja tu, "je kwa kumpigia huyo unayetaka kumpigia kura utakua unalitendea haki taifa lako?"

Je, maslahi mapana ya taifa letu ni yapi? Amani na utulivu? Haki na usawa? Maendeleo ya watu na vitu? Umoja, upendo na mshikamano? Ustawi wa watu na uchumi? Mahusiano mema na majirani na wadau wa maendeleo? au siasa safi na uongozi bora?

Tarehe 28 Octoba 2020 ni wakati wako wa kujiuliza wewe unalifanyia nini taifa lako?

Tumia haki yako ya kikatiba kwa uadilifu
 
Back
Top Bottom