Uchaguzi 2020 Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli licha ya ugumu wa maisha, uonevu kwa wafanyabiashara, wakulima na wafanyakazi?

Karibu sana
Iko hivyo.
Huyu KIVURUGE wa uchumi wetu, kinara wa WATEKA NYARA, kubambikia watu kesi zisizo na dhamana, kuminya demokrasia, haki ya kupata habari, kuchapa mvua za risasi washindani wake kwa kutumia SILAHA ZA KIVITA na upuuzi mwingine mwingi alioufanya katika miaka yake hii mitano INATOSHA sasa.
 
Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi?

NAHITAJI MAJIBU
Mimi kura yangu kaikosa mwaka huu.Ujinga ni wakati wa kwenda siyo wakati wa kurudi
 
Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi?

NAHITAJI MAJIBU
😆😆😆
 
Iko hivyo.
Huyu KIVURUGE wa uchumi wetu, kinara wa WATEKA NYARA, kubambikia watu kesi zisizo na dhamana, kuminya demokrasia, haki ya kupata habari, kuchapa mvua za risasi washindani wake kwa kutumia SILAHA ZA KIVITA na upuuzi mwingine mwingi alioufanya katika miaka yake hii mitano INATOSHA sasa.
Hii imechuja tafuteni huruma nyengine
 
Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi?

NAHITAJI MAJIBU
Siwezi binafsi
 
MAGUFULI LAZIMA ACHAGULIWE SABABU TUKICHAGUA CHADEMA ITATURUDISHA KWENYE LOCKDOWN KWA KUWA SERA ZAO NI KUFUATA WANAYOAMBIWA NA MABEBERU WAO. BADO TUNAMHITAJI MAGUFULI SANA TU. MAGUFULI NI MZALENDO WA KWELI WA NCHI HII SIO AKINA LISSU WASALITI NA VIGEUGEU. MIRADI YOTE ALIYOTEKELEZA MAGULI ILIKUWA NI KILIO CHA KILA SIKU CHA WAPINZANI. MAGUFULI KATEKELEZA YOTE SASA WANAGEUKA. LABDA NIWAKUMBUSHE:-
1. WALITAKA RAIS ASIYEKWENDA NJE, MAGUFULI HAENDI NJE
2. WALITAKA KUFUFUA SHIRIKA LA NDEGE, NDEGE 11 ZIMENUNULIWA
3. WALITAKA KUFUFUA USAFIRI WA RELI, IMETEKELEZWA
4. WALITAKA UMEME WA UHAKIKA, IMETEKELEZWA
5. WALITAKA RAIS DIKTETA, ANAFANYA JAPO KIDOGO SANA
6. WALITAKA KUSHUGHULIKIA MAFISADI, IMETEKELEZWA,
7. WALITAKA KUBANA MATUMIZI YA SERIKALI, IMETEKELEZWA
8. WALITAKA UWAJIBIKAJI SERIKALINI, IMETEKELEZWA. NK, JUST TO MENTION A FEW.
 
Utimamu wako unatokana na unavyoyajua ya Ethiopia?

WEWE UNALETA POROJO ZA LISSU. ETHIOPIA NI NCHI YA KUPIGIWA MFANO KATIKA MAENDELEO AFRIKA. WANAOTOROKA NCHI NI WALE WANOFANYA UHARIFU NCHINI MWAO. MIMI NIMEISHAKAA ETHIOPIA KWA MIEZI 3, WATU WATU WANAIPENDA NCHI YAO NI BALAA. WANALIPA KODI KWA HIARI. HATA UKINUNUA SIGARA UNALAZIMISHWA UCHUKUE RISITI YA EFD. SIO HAPA TZ KILA MFANYABIASHARA ANATAKA MTU ASIDAI RISITI. ETHIOPIA WANAJITAMBUA WANAPENDA MAENDELEO YA NCHI YAO ASIKWAMBIE MTU.
 
Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi?

NAHITAJI MAJIBU
Mkuu mi nitampa kura yangu tena ya veto mbona naakili timamu
 
Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi?

NAHITAJI MAJIBU
Jibu ulipata Oktoba 28, 2020.
 
Magu anakubalika na wajinga tu, watu wasiojua ukweli wa mambo, wenye akili hawamkubali. Pia amekuwa mtu katili na mkabila sana hakuna mwenye akili atakayemchagua mtu wa namna hiyo.
Why are you so bitter. There is life, after elections. Chill!
 
Uchumi wa kati wa kipato Cha milioni mbili kwa mwaka ulitangazwa na WB na kupigiwa chapuo na Magufuli mkuu.binafsi napata USD 58000 kwa mwaka,nipo kipato Cha kati
$58,000 kwa mwaka siyo kipato cha kati, bali kipato cha juu.
 
Hata ujikombe vipi wewe you are done with this regime. Kuna watu wamemuita yesu (Kangi Lugola) na bado amewatosa. Mayalla tunajuwa uwezo wako wa kuchambua na uandishi, wewe siyo type ya kusifu na kuabudu ila unafanya hivyo ili wakuone. Fanya yako, be yourself, linda hadhi uako. Hii njaa ina mwisho
Naona unatamani saana Mayala awe upande wako. Lakini yeye ameamuwa kutumwa na fikra, elimu, na uzoefu wake kuwa na msimamo. Ninachompendea zaidi ni kuona zile mbinu za kitoto zinatumika kumgeuza mawazo ili awe upande unaotaka awe. Mayalla ni mtu mzima hawezi kutetetreka eti kwa sababu mnasema anaandika aandikavyo ili aonwe. Kwani kabla ya Magufuli alikuwa haandiki? Kwa nini wale ambao hawakubaliani na Magufuli wanadhani ndiyo wenye akili? Hivi mnadhania kuwaita watakaomchaguwa Magufuli ni wajinga/hawana akili kweli kutawafanya watu wawasikilize nyie. Ninyi mna haki ya kupenda siasa za hao mnaowaamini na kumbeza Magufufuli, lakini msiwabeza wale wanamuona Magufuli ni tosha.
 
Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi?

NAHITAJI MAJIBU
Ndiyo, wenye akili timamu tulitoa tano kwa JPM, kazi iendelee!
 
Back
Top Bottom