Ugumu wa Maisha kama unalala na kufikiria chakula kitashushwa toka mbinguni, demokrasia ya jinsia moja sio hulka zetu na huwezi kufa au kutetereka ki afya kwa kukosa starehe ya jinsia moja, kuhusu kodi weka mahesabu yako vizuri tutakuwa na shida na tra, Habari Mimi ninazipata kwa njia nyingi tu sio via tbc only , na hapa tunachangia freely nyingine habari za uongo, zingine za kubomoa basi bora liende ndivyo unavyotaka , uwe Mwalimu n.k umekosa ajira serikalini au unaona mshahara mdogo nenda Private au anzisha shule yako n.k