CreativityCode
Senior Member
- Aug 8, 2020
- 158
- 653
Mkuu, Kodi ya Kireativiti, kabla ya kujibu swali lako, pitia hoja hiziSwali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020
NAHITAJI MAJIBU
Tatizo nn njaa kweli Tamaa za kidunia ukabila au ni ukosefu tu wa akili kwa watu weusi Sina matatizo na Mh Rais ila km kweli Nia yke ni kutaka kututoa hapa tulipo basi lazima lazima kukaa chini pande zote kuleta Umoja wa kitaifa bila hivyo Nina hakika baadae lazima makaburi yetu watoto wetu waje kuyashapa bakora.Hakuna mtu Mtanzania mwenye akili timamu, ataacha kumchaguaJPM.
P
Hata mke wake kura itakuwa siri yake anaweza kumchagua Tundu Lissu.Hakuna!
Paschal unajipaka kinyesi kwa kutetea vitu vya ajabu.Yaani mtu na akili zako timamu umpe kura Magu ? Kwa sababu zipi hasa? Ndege 11? Bwawa ambalo lipo 20% kwenye ujenzi wake au reli ambayo ndo kwanza kipande Cha Moro dar kipo 50% ya ujenzi wake?Mkuu, Kodi ya Kireativiti, kabla ya kujibu swali lako, pitia hoja hizi...
Angalau unavyo vya kutaja vya Magu, vipi vya Lissu?Paschal unajipaka kinyesi kwa kutetea vitu vya ajabu.Yaani mtu na akili zako timamu umpe kura Magu ? Kwa sababu zipi hasa? Ndege 11? Bwawa ambalo lipo 20% kwenye ujenzi wake au reli ambayo ndo kwanza kipande Cha Moro dar kipo 50% ya ujenzi wake?
Baba mpumbavu ndiye pekee anaweza asiwanunulie watoto wake chakula au kuwalipia wanae Ada eti kisa anajenga nyumba.Kuacha kuongeza mishahara ya wafanyakazi.Tatizo nn njaa kweli Tamaa za kidunia ukabila au ni ukosefu tu wa akili kwa watu weusi Sina matatizo Mh Rais ila km kweli Nia yke kutaka kkututoa hapa tulipo basi lazima lazima kukaa chini pande zote kuleta Umoja wa kitaifa bila hivyo Nina hakika baadae lazima makaburi yetu watoto wetu waje kuyashapa bakora...
Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
Lissu aliiongoza nchi hii lini? Au unadhani hivyo vimefanywa na Magu kwa pesa yake ya mfukoni? You should be out of senseAngalau unavyo vya kutaja vya Magu, vp vya Lissu?
Hata mke wake kura itakuwa siri yake anaweza kumchagua Tundu Lissu.
Mkuu Hujijui lakini Unajitambua.Baba mpumbavu ndiye anaweza asiwanunulie watoto wake chakula au kuwalipia wanae Ada eti kisa anajenga nyumba.Kuacha kuongeza mishahara ya wafanyakazi,kuacha kueapandisha madaraja,kuacha kuwa increment yao ya kila mwaka kwa kisingizio Cha kujenga SGR or mwl Hydro power si tu ni upumbavu wa baba bali roho mbaya na uuwajj,Magu hakupaswa hata kuteuliwa na CCM maana hajui kazi za msingi za serikali ni zipi na hajui nani mmiliki wa serikali aliyokuwa anaiongoza.Hovyo kabisa huyu mtu
Mkuu unajua Ethiopia wanavitu vyote anavyojigamba navyo Magufuli tena wanavyo kwa mamia,na vikubwa na vingi na still wanakamatwa kwenye malori na makontena wakitoroka nchi?Jinsi umeanzisha Uzi, yaonesha hapo tu ulipo nina uwalakini na utimamu wako! Sasa cjui umepatwa na nini ili angalau kuweza kuuliza swali hilo?
Utimamu wako unatokana na unavyoyajua ya Ethiopia?Mkuu unajua Ethiopia wanavitu vyote anavyojigamba navyo Magufuli tena wanavyo kwa mamia,na vikubwa na vingi na still wanakamatwa kwenye malori na makontena wakitoroka nchi?mtu yeyote mwenye akili,anajua vitu havijawahi kuwa Maendeleo,bali vitu ni matokeo ya Maendeleo,i.e anaendelea kwanza mtu then vitu ndo vinafuata