ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,903
- 3,856
Kama hujui bora unyamaze kimya. Nimesema na ninasema tena kuna watu wanawafuatilia upigaji wa kura wao, sijasema wapiga kura wote. Kwani ulijuwa kama simu za viongozi zinasikilizwa?Sio kweli,utafuatilia watu zaidi ya milioni 10 kwa faida ipi sasa?,mda wenyewe upo?,
Shida ni pale propaganda zinapozidi uhalisiaPaschal unajipaka kinyesi kwa kutetea vitu vya ajabu.Yaani mtu na akili zako timamu umpe kura Magu ? Kwa sababu zipi hasa? Ndege 11? Bwawa ambalo lipo 20% kwenye ujenzi wake au reli ambayo ndo kwanza kipande Cha Moro dar kipo 50% ya ujenzi wake?
Lissu alikuwa anakusanya Kodi ipi ya kumuwezesha kujenga miundombinu? Ama kweli nawe ni great thinker wa jf huenda unaaminika Hadi mtaani kwenu!Angalau unavyo vya kutaja vya Magu, vipi vya Lissu?
P!Mkuu, Kodi ya Kireativiti, kabla ya kujibu swali lako, pitia hoja hizi
Kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya...
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe
Magufuli is Getting Better and Better, He is Changing for The Better!. Hongera Sana!
Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana. Tanzania itabarikiwa!
Kama umezipitia na una akili timamu, hakuna mtu Mtanzania mzalendo mwenye akili timamu, ataacha kumchagua Dr John Pombe Magufuli!.
Tarehe 28 ni kazi moja tu, unachukua, unaweka...
P
Mp fcJPM Unaye mpaka ukamilifu wa Dahari.
Viva JPM.
Viva CCM.
28 October hakuna kupoteza muda ni kura yako kwa JPM.
Maisha nyuma ya keyboard ni tofauti na maisha halisi mkuu!Lissu alikuwa anakusanya Kodi ipi ya kumuwezesha kujenga miundombinu? Ama kweli nawe ni great thinker wa jf huenda unaaminika Hadi mtaani kwenu!
Kwanza pole!, pili dalili za udikiteta ni jambo moja, na Udikteta halisi ni jambo jingine!.
Kwa Tanzania mahali tulipofikia, hadi kuwa shamba la bibi, tulihitaji mtu kama Magufuli, na matokeo tumeyaona, ndani ya miaka 5, tumeuaga umasikini na kuwa nchi ya uchumi wa kati!.
Tukumpa mitano mingine, tunakwenda kuwa nchi ya uchumi wa kati mkubwa, na tukibadili katiba aendelee tuu,Tanzania tunakwenda kuwa nchi ya uchumi mkubwa, nchi tajiri, a donor country.
Fuatilieni utawala wa Tiger Nations, bila udikiteta, zisinge toka!. Sio kila udikiteta ni udikiteta mbaya, au udikiteta katili, kuna udikiteta wa kizalendo unaitwa, benevolence dictatorship!, hivyo rais Magufuli ni dikiteta Mzalendo anayefanya udikiteta kwa nia njema kulikomboa taifa!.
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!
P
But why?
Hata ujikombe vipi wewe you are done with this regime. Kuna watu wamemuita yesu (Kangi Lugola) na bado amewatosa. Mayalla tunajuwa uwezo wako wa kuchambua na uandishi, wewe siyo type ya kusifu na kuabudu ila unafanya hivyo ili wakuone. Fanya yako, be yourself, linda hadhi uako. Hii njaa ina mwishoMkuu, Kodi ya Kireativiti, kabla ya kujibu swali lako, pitia hoja hizi
Kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya...
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe
Magufuli is Getting Better and Better, He is Changing for The Better!. Hongera Sana!
Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana. Tanzania itabarikiwa!
Kama umezipitia na una akili timamu, hakuna mtu Mtanzania mzalendo mwenye akili timamu, ataacha kumchagua Dr John Pombe Magufuli!.
Tarehe 28 ni kazi moja tu, unachukua, unaweka...
P
Haha mku nilikuwa shamba nakujibu sasa, mimi niwewe ni kundi gani? mkulima, mwananchi usiye na kazi, mfanyabiashara, mfanyakazi ama upo upo tu wala hujielewi?
Lissu bado hajawa Rais, tutampima baada ya miaka yake mitano kama tunavyofanya sasa kwa jiwe.Angalau unavyo vya kutaja vya Magu, vipi vya Lissu?
Andaa mjadala Basi tuone Nani ni Nani ata kusema hamjuiMkuu, Kodi ya Kireativiti, kabla ya kujibu swali lako, pitia hoja hizi
Kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya...
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe
Magufuli is Getting Better and Better, He is Changing for The Better!. Hongera Sana!
Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana. Tanzania itabarikiwa!
Kama umezipitia na una akili timamu, hakuna mtu Mtanzania mzalendo mwenye akili timamu, ataacha kumchagua Dr John Pombe Magufuli!.
Tarehe 28 ni kazi moja tu, unachukua, unaweka...
P
Tunaenda kukata mrija wa hizi elfu saba saba zako unazolipwa kila siku ili akili ikukae vizuri.
Baba mpumbavu ndiye pekee anaweza asiwanunulie watoto wake chakula au kuwalipia wanae Ada eti kisa anajenga nyumba.Kuacha kuongeza mishahara ya wafanyakazi.
kuacha kuwapandisha madaraja, kuacha kuwapa increment yao ya kila mwaka kwa kisingizio cha kujenga SGR or mwl Nyerere Hydro power si tu ni upumbavu wa baba bali roho mbaya na uuwaji.
kiufupi Magu hakupaswa hata kuteuliwa na CCM kugombea maana hajui kazi za msingi za serikali ni zipi na hajui nani mmiliki wa serikali aliyokuwa anaiongoza.Hovyo kabisa huyu mtu.
Karibu sanaTunaenda kukata mrija wa hizi elfu saba saba zako unazolipwa kila siku ili akili ikukae vizuri.