Iko hivyo.Karibu sana
Mimi kura yangu kaikosa mwaka huu.Ujinga ni wakati wa kwenda siyo wakati wa kurudiSwali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi?
NAHITAJI MAJIBU
wewe ni kabila gani na Magufuli ni kabila gani? samahani kuna kitu nataka nihusianisheMkuu, Kodi ya Kireativiti, kabla ya kujibu swali lako, pitia hoja hizi
Kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya...
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe
Magufuli is Getting Better and Better, He is Changing for The Better!. Hongera Sana!
Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana. Tanzania itabarikiwa!
Kama umezipitia na una akili timamu, hakuna mtu Mtanzania mzalendo mwenye akili timamu, ataacha kumchagua Dr John Pombe Magufuli!.
Tarehe 28 ni kazi moja tu, unachukua, unaweka...
P
Hata ukasema nn au kuaambatanisha nyuzi kumi za kumsifu Magu siwezi MPA kula yangu.. Labda niruke wazimu..Mkuu, Kodi ya Kireativiti, kabla ya kujibu swali lako, pitia hoja hizi
Kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya...
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe
Magufuli is Getting Better and Better, He is Changing for The Better!. Hongera Sana!
Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana. Tanzania itabarikiwa!
Kama umezipitia na una akili timamu, hakuna mtu Mtanzania mzalendo mwenye akili timamu, ataacha kumchagua Dr John Pombe Magufuli!.
Tarehe 28 ni kazi moja tu, unachukua, unaweka...
P
😆😆😆Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi?
NAHITAJI MAJIBU
Hii imechuja tafuteni huruma nyengineIko hivyo.
Huyu KIVURUGE wa uchumi wetu, kinara wa WATEKA NYARA, kubambikia watu kesi zisizo na dhamana, kuminya demokrasia, haki ya kupata habari, kuchapa mvua za risasi washindani wake kwa kutumia SILAHA ZA KIVITA na upuuzi mwingine mwingi alioufanya katika miaka yake hii mitano INATOSHA sasa.
Kama KANU kama CCM.Hii imechuja tafuteni huruma nyengine
Siwezi binafsiSwali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi?
NAHITAJI MAJIBU
Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi?
NAHITAJI MAJIBU
Kama maendeleo tunayoahidiwa kwa kuchagua CCM ni kama jimbo la Kongwa ni kheri tumchague Tundu Lissu.
Umemuerewa mkweeMkuu, Kodi ya Kireativiti, kabla ya kujibu swali lako, pitia hoja hizi
Kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya...
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe
Magufuli is Getting Better and Better, He is Changing for The Better!. Hongera Sana!
Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana. Tanzania itabarikiwa!
Kama umezipitia na una akili timamu, hakuna mtu Mtanzania mzalendo mwenye akili timamu, ataacha kumchagua Dr John Pombe Magufuli!.
Tarehe 28 ni kazi moja tu, unachukua, unaweka...
P
Utimamu wako unatokana na unavyoyajua ya Ethiopia?
Risasi.Angalau unavyo vya kutaja vya Magu, vipi vya Lissu?
Mkuu mi nitampa kura yangu tena ya veto mbona naakili timamuSwali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi?
NAHITAJI MAJIBU
Mtasubiri SanaKama KANU kama CCM.
Jibu ulipata Oktoba 28, 2020.Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi?
NAHITAJI MAJIBU
Why are you so bitter. There is life, after elections. Chill!Magu anakubalika na wajinga tu, watu wasiojua ukweli wa mambo, wenye akili hawamkubali. Pia amekuwa mtu katili na mkabila sana hakuna mwenye akili atakayemchagua mtu wa namna hiyo.
$58,000 kwa mwaka siyo kipato cha kati, bali kipato cha juu.Uchumi wa kati wa kipato Cha milioni mbili kwa mwaka ulitangazwa na WB na kupigiwa chapuo na Magufuli mkuu.binafsi napata USD 58000 kwa mwaka,nipo kipato Cha kati
Naona unatamani saana Mayala awe upande wako. Lakini yeye ameamuwa kutumwa na fikra, elimu, na uzoefu wake kuwa na msimamo. Ninachompendea zaidi ni kuona zile mbinu za kitoto zinatumika kumgeuza mawazo ili awe upande unaotaka awe. Mayalla ni mtu mzima hawezi kutetetreka eti kwa sababu mnasema anaandika aandikavyo ili aonwe. Kwani kabla ya Magufuli alikuwa haandiki? Kwa nini wale ambao hawakubaliani na Magufuli wanadhani ndiyo wenye akili? Hivi mnadhania kuwaita watakaomchaguwa Magufuli ni wajinga/hawana akili kweli kutawafanya watu wawasikilize nyie. Ninyi mna haki ya kupenda siasa za hao mnaowaamini na kumbeza Magufufuli, lakini msiwabeza wale wanamuona Magufuli ni tosha.Hata ujikombe vipi wewe you are done with this regime. Kuna watu wamemuita yesu (Kangi Lugola) na bado amewatosa. Mayalla tunajuwa uwezo wako wa kuchambua na uandishi, wewe siyo type ya kusifu na kuabudu ila unafanya hivyo ili wakuone. Fanya yako, be yourself, linda hadhi uako. Hii njaa ina mwisho
Ndiyo, wenye akili timamu tulitoa tano kwa JPM, kazi iendelee!Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi?
NAHITAJI MAJIBU