Swali fikirishi: je ni kweli waziri wa fedha yuko juu ya mteule wake?

Swali fikirishi: je ni kweli waziri wa fedha yuko juu ya mteule wake?

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
4,555
Reaction score
4,758
Wasalaam.
Kuna ushahidi kwamba rais anamlalamikia waziri wa fedha kwa ubadhirifu badala ya kumchukulia hatua.

Mawaziri wanamlalamikia waziri wa fedha badala ya kumwajibisha kwa mujibu wa sheria.

Wabunge wanamlalamikia waziri wa fedha badala ya kumwajibisha kwa mujibbu wa kanuni za bunge. Hii ina maana mwamba ana nguvu kuliko serikali?



Sikiliza hapa
 
Siku hizi mpaka abdul kawa na mamlaka serikalini idara kubwa
 
FB_IMG_1749799584761.jpg
 
Jana Mwigulu kajitukuza sana kwa kusema kuwa yeye ni mwadilifu sana na amevishinda vishawishi vya rushwa vingi sana baada ya kuwa waziri wa fedha. Ameomba atakayeteuliwa kushika nafasi hiyo baada yake afuate nyayo zake.
 
Washasoma budget sasa hivi atapumzishwa. Dhamira yao ishatimia.
 
Wasalaam.
Kuna ushahidi kwamba rais anamlalamikia waziri wa fedha kwa ubadhirifu badala ya kumchukulia hatua.

Mawaziri wanamlalamikia waziri wa fedha badala ya kumwajibisha kwa mujibu wa sheria.

Wabunge wanamlalamikia waziri wa fedha badala ya kumwajibisha kwa mujibbu wa kanuni za bunge. Hii ina maana mwamba ana nguvu kuliko serikali?

View attachment 3366825

Sikiliza hapa
Mwigulu na boss wake wote ni wapigaji tu
 
Back
Top Bottom