I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Eliya alikuwa hana madeniNingechagua kupaa mawinguni kama Eliya.
Lakini kwa kuwa nimepangiwa kuonja mauti, basi yeyote yale aliyonipangia Muumba yana heri. Na yale aliyoyakamia ibilisi na yashindwe kabisa....
Ila we jamaa😁Nngechagua kufa kiunoni mwa demu nikiwa nampelekea moto
...halafu unafika upande wa pili unajikuta bado hujamaliza... unajichua milele 😂Nngechagua kufa kiunoni mwa demu nikiwa nampelekea moto
Usintishe 😂Eliya alikuwa hana madeni
Zoom avatar yakeIla we jamaa😁
Nafikiri hii ni best way. Kama tungejua hata hao waliofia usingizini ilikuwaje kuwaje bila saka hii option ingekuwa tata pia⚠️Kifo cha usingizin
Nngechagua kufa kiunoni mwa demu nikiwa nampelekea moto