I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Kifo ni moja kati ya fumbo kubwa sana kiumbe hai (binadamu) tumeumbiwa kutokujua hatma yetu. Lakini, lait kungekuwa na jinsi fulani mtu anaweza kuchagua ni vipi roho yake iachane na mwili huu wa nyama; ni kifo cha namna gani ungechagua?
š¤Pamoja na hilo; ni kifo cha namna gani unaomba sana kikuepuke pale muda wako utakapo-wadia?
::Binafsi namuomba Mungu wangu aniepushie mbali kifo kitakachohusisha Moto.
š¤Pamoja na hilo; ni kifo cha namna gani unaomba sana kikuepuke pale muda wako utakapo-wadia?
::Binafsi namuomba Mungu wangu aniepushie mbali kifo kitakachohusisha Moto.