SWALI FIKIRISHI: Kama kungekuwa na kuchagua ni namna gani ufe ungechagua kifo cha namna gani?

I am Groot

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
3,929
Reaction score
10,747
Kifo ni moja kati ya fumbo kubwa sana kiumbe hai (binadamu) tumeumbiwa kutokujua hatma yetu. Lakini, lait kungekuwa na jinsi fulani mtu anaweza kuchagua ni vipi roho yake iachane na mwili huu wa nyama; ni kifo cha namna gani ungechagua?

šŸ¤•Pamoja na hilo; ni kifo cha namna gani unaomba sana kikuepuke pale muda wako utakapo-wadia?

::Binafsi namuomba Mungu wangu aniepushie mbali kifo kitakachohusisha Moto.
images (3).jpeg
 
Kufia kitandani tena umeshiba miaka mingi mpaka huelewi kinachoendelea duniani
 
Back
Top Bottom