Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Wasalaam
Inashangaza sana kuona mtu mzima bwana Mbowe anatumia nguvu kubwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA ili hali wanaCHADEMA wamemkataa na wanataka mabadiliko ndani ya chama na nchi kwa ujumla.
Iko wazi kabisa Mbowe anashirikiana na maCCM kuhakikisha anaendelea kuwa madarakani na kuendelea kutafuna pesa za CCM na ruzuku huku akikihujumu chama na kukifanya ni mali yake binafsi.
Leo hii kila Mtanzania anajua mwaka 2015 Mbowe huyu alikihujumu chama kwa kumleta fisadi Lowasa na kusababisha kina Dr Slaa kukaa pembeni, haikutosha Mbowe huyu aliwapitisha wabunge 19 viti maalum kinyemela ili tu ale ruzuku.
Leo hii 2025 baada ya kuona kuna kila dalili mabwana zake CCM wanaweza kuondolewa madarakani hapo Oct 25 ameamua kwa makusudi kukidhoofisha CHADEMA kwa maslahi ya maCCM.