ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
C analinda Mali yake, Chadema isije potea, na ndo biashara yake kubwa, hizo hotel gelesha tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM wanapiga Kura ?Hakika mbowe atashinda liwake jua inyeshe, macc wako nyuma yake
Wapi? Ubelgiji?Nkurunzinza tumemchoka saana tunataka changamoto mpya lissu atatusogeza mbele
Kweli kitendo Cha lissu kuitakia hyo nafasi kaambiwa yote ya nyuma na mbowe, Sijui ndo sera za kugombea nafasi hiyo .Mbowe ni mfanya biashara,hiyo ni sehem ya biashara yake pamoja na familia..ndo maana ulitaka kuijua rangi yake taka hiyo nafasi.
Wasalaam
Inashangaza sana kuona mtu mzima bwana Mbowe anatumia nguvu kubwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA ili hali wanaCHADEMA wamemkataa na wanataka mabadiliko ndani ya chama na nchi kwa ujumla.
Iko wazi kabisa Mbowe anashirikiana na maCCM kuhakikisha anaendelea kuwa madarakani na kuendelea kutafuna pesa za CCM na ruzuku huku akikihujumu chama na kukifanya ni mali yake binafsi.
Leo hii kila Mtanzania anajua mwaka 2015 Mbowe huyu alikihujumu chama kwa kumleta fisadi Lowasa na kusababisha kina Dr Slaa kukaa pembeni, haikutosha Mbowe huyu aliwapitisha wabunge 19 viti maalum kinyemela ili tu ale ruzuku.
Leo hii 2025 baada ya kuona kuna kila dalili mabwana zake CCM wanaweza kuondolewa madarakani hapo Oct 25 ameamua kwa makusudi kukidhoofisha CHADEMA kwa maslahi ya maCCM.
Ni UCHU WA MADARAKA tungejiloga tukamuingiza huyu Mangi Ikulu tungelia na kusaga meno.
Kwasababu ni chama chake na haoni mtu wa kumuachia!
Una swali lingine?
"Uchu" ni tamaa iliyopitiliza huyu ni mtu aliyekaa Madarakani miaka 21 na bado anataka tu madaraka.Uchu kivipi wakati anapogiwa kura, je ATL anyeutaka uenyekiti hana uchu wa madaraka? kama hana mbona kelele nyingi hadi anaropoka hovyo badala ya kusubiri kazi ya wajumbe 21/01/2025