Swali fikirishi, ni kwanini Mbowe anatumia nguvu kubwa kubaki madarakani?

Wamemkataa vipi na kura bado hazijapigwa??
 
nguvu kubwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA ili hali wanaCHADEMA wamemkataa na wanataka mabadiliko ndani ya chama na nchi kwa ujumla.

Hivi kwani Mbowe alishawahi kujiweka kwenye hiyo nafasi yeye mwenyewe pasipo kufuata utaratibu wa chama?
 
CDM sasahivi ni kama ACT, kuzuga wafadhili kwamba TZ kuna upinzani.
Kwahiyo yupo kwenye foleni ya malipo kitoka Lumumba.
 
bibi mbowe anampango na bibi samia m-baya dhidi ya chadema
 
Mbowe ni mfanya biashara,hiyo ni sehem ya biashara yake pamoja na familia..ndo maana ulitaka kuijua rangi yake taka hiyo nafasi.
 
Huenda angeua Wananchi kuliko Bokassa Mobutu Savimbi combined.
Hiyo miamba uliyoitaja ni sample ya jiwe sema Mungu katuokoa.!!
Ss hivi ingekuwa katiba ishabadilishwa anakula mitano mingine 😹
 
Kwa sababu Lissu anaungwa mkono na Dr slaa, msigwa hawa wote ccm. Pia baadhi ya dispora. Kunusuru chama kaamua kuingia yeye
Nkurunzinza tumemchoka saana tunataka changamoto mpya lissu atatusogeza mbele
 
Na kwanini watu wanataka kumtoa kwa njia za kibabe (Si wamtoe kwa Kura) ? Na kama tatizo ni Kura kuibiwa au wapiga Kura kuhongwa basi tatizo sio mtu / watu bali mfumo ndio una makosa / shida...
Hakika mbowe atashinda liwake jua inyeshe, macc wako nyuma yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…