johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
😂😂😄😄Alikuwa anajuwa kucheza na akili za wajinga.
Wajinga ndiyo waliwao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😄😄Alikuwa anajuwa kucheza na akili za wajinga.
Wajinga ndiyo waliwao.
Umemruka jamaa yetu [emoji38]Maadam Rais mstaafu mzee wetu Mwinyi anamkumbuka hiyo inatosha kabisa
Kwangu mimi Mwinyi " Ruksa" ndio Rais bora
Shujaa Magufuli Mtendaji Bora
Freeman Mbowe Mwanasiasa Bora
Maalim Seif Mwanasiasa Mvumilivu
Kawawa Mwanasiasa Mnyenyekevu
Jumaa kareem!
Tatizo lako wew hoja huwa unaitazama kwa mrengo wa huyu ni wa dini yangu, hauko honest hata siku moja!Kweli kabisa, Mzee Mwinyi ndiye aliyeipa uhai hii nchi, ilikuwa chali.
Mzee Mwinyi anastahiki jina lake liandikwe kwa wino wa dhahabu.
Upo huru kufikiri upendacho, nami nipo huru kufikiri nipendacho.Tatizo lako wew hoja huwa unaitazama kwa mrengo wa huyu ni wa dini yangu, hauko honest hata siku moja!
Samia akijenga Dalaja Dar to Zanziber, hizi sifa zitakwishilia mbali. Huko marekani alipo mwanakijiji kuna habari ya kusifia maraisi?? Au barabara hazijengwi??Wewe ndio unastahili laana mpaka kwa vitukuu vyako
Wapumbavu kama nyie sijui mlizaliwa kupitia tundu gn?Mwisho wa siku hizo hela zilizotumika/zinazotumika kujengea hiyo moundombinu, ni kodi za Watanzania! Ni mikopo ambayo italipwa na watanzania wote!
Na siyo hao wanasiasa unaotaka wapewe acknowlegment.
Kwa mazombi kama kama wewe,ni halali kusema hivyo.Kutoka moyoni kabisa, jiwe ameirudisha nchi hii miaka 50 nyuma . Ameinajisi nchi hii kiasi kwamba ktk muda wa miaka 5 amejenga nyufa za kijamii, kisiasa na kiuchumi
Matatizo ya kiuchumi tunayopitia Sasa yametengenezwa na jiwe. Aliwachukia wafanyabiashara kwa kiasi kikubwa hata akatamaka hadharani kuwa wataishi kama mashetani.
Kauli ya kishenzi na kifedhuli kabisa. Mpuunzi mkubwa huyu. Hakujua kuwa hawa ndiyo miyo ya uchumi na watoa ajira wakubwa. Ndiyo mpk leo mama anahangaika kuurejesha uchumi ktk mstari.
Kijamii na kisiasa kila mtu anajua jinsi jiwe alivyoivua nguo nchi hii. Kwahiyo siandiki kitu.
Kumsifia jiwe kunahitaji mtu kuwa na roho ya usherani
Hakuna ufisadi wowote,ni ngonjera tu za majizi.Pamoja na ufisadi unaosemwa juu yake, kuna vitu alisimamia vimefanyika na vitadumu vizaizi. Waliopo sasa ufisadi wameruhusiwa kuna chochote kinachofanyika cha maana.
Hilo hilo la mama yako. Au wewe mwenzetu ulizaliwa kwenye tundu ka huyu kiumbe? 🐕🦺Wapumbavu kama nyie sijui mlizaliwa kupitia tundu gn?
Laana za shetani kama wewe,haziwezi kufika kwa mteule wa mungu.Jiwe anastahili laana kila mahali na kila wakati toka kwa watu wote
Nitajie mabaya matano ya jpm,nami nikutajie mazuri 50 ya jpmMkubwa
Ni kweli kabisa Rais Magufuli kafanya mengi, mazuri sana na mabovu sana
Tatizo lipo hapo, ni wakati gani Marehemu anatajwa na wakati gani aachwe apumzike
Nashuri waendelee kumkwepa! ili apumzike na wasifungue ''can of worms''
JokaKuu
Shida hujikiti kwenye hoja iliyopo.nani kasema nyerere hajafanya?.hoja iliyopo ni magufuli kafanya kwa speed ya juu kuliko woote waliotangulia.Una uhakika hawakufanya? Na kama wangekuwa hawajafanya chochote, hii nchi ingekuwepo hapa tulipo?
Unayafahamu mambo yote aliyoyafanya Nyerere tangu alipoichukua nchi kutoka kwa Wakoloni?
Tatizo mnalazimisha wote tuamini kama huyo JPM wenu alikuwa ni the best, kumbe wengine tunamuona alikuwa ni the worst.
Jpm,atapendwa na watu wema na waadilifu,na atachukiwa na watu waovu na waharifu kama wewe.Una uhakika hawakufanya? Na kama wangekuwa hawajafanya chochote, hii nchi ingekuwepo hapa tulipo?
Unayafahamu mambo yote aliyoyafanya Nyerere tangu alipoichukua nchi kutoka kwa Wakoloni?
Tatizo mnalazimisha wote tuamini kama huyo JPM wenu alikuwa ni the best, kumbe wengine tunamuona alikuwa ni the worst.
Kwa hiyo kwa akili zako, mfano Mwl. Nyerere aliyerithi nchi ikiwa na madaktari wa binadamu wawili,angeacha kusomesha watu na badala yake angeweka juhudi ahamie Dodoma? Kama siyo uamuzi wa kijasiri kusomesha watu Bure mpaka chuo kikuu, hata wewe na huyo JPM tusingemjua.Swali linakuja kwanini hao wengine hawakutumia hizo kodi za wananchi kufanya hayo mambo kwa miaka yote 40? Au kodi ilianza kukusanywa kipindi cha JPM?
Duh....!
CCM tu ndio ilifanikiwa kuhamia Dodoma na Bunge
Maridhiano ya kitu Gani na ni ya nani na nani aliyefanywa kitu Gani? Ni maigizo matupu ya kujaribu kutuhadaa ati Kuna kitu kiliharibiwa na sasa wanarekebisha. Haya tufanye huo uchaguzi uliharibiwa, vipi usingeharibiwa ndo ingekuwaje? Mfano mbunge wa Mbeya mjini angekuwa Sugu badala ya Tulia ndo Ingekuwa Nini? Acheni maigizo ya kijinga na hata kama hampendi kusikia lakini JPM hawezi kupotezwa na chuki zenu zisizo na miguu Wala kichwa. Ni bahati mbaya hatunaye, lakini kazi alizofanya zipo na zinaonekana.Nadhani ifike sehemu tuachane na huu mjadala wa hayati JPM. Tusilazimishane kusifia wakati kuna mambo kwenye utawala wake yalikuwa mabaya kupitiliza. Umoja wa kitaifa una thamani kuliko hayo majengo na madaraja aliyojenga. Huwezi kubomoa umoja wa kitaifa uliodumu kwa zaidi ya miaka 50 kisa unajenga daraja, barabara au majengo. Sasa hivi Rais anahangaika na maridhiano kwa kosa la aliyemtangulia kushindwa kuheshimu umoja wetu. Hakuna rais wa Tanzania aliyewahi kuwatisha wakurungenzi kwenye ishu za uchaguzi. Wote waliheshimu sana haki za wote bila kujali itikadi. Ilifika sehemu waziri anamwita Rais Mungu. Tungeendelea kuwa naye tungekuwa na majengo, madaraja, na miundombinu mizuri ila umoja wetu ungezidi kuharibika.