Swali Fyatu la Mwezi: Wakimpa Sifa Zake, Watapunguza za Kwao?

Mzee Mwanakijiji alilambishwa asali wakati wa mwendazake akageuka msifiaji mkuu. Ulishapoteza credibility na kuonekana ni mtu unayetetea tumbo na maslahi yako binafsi.
 
Umemruka jamaa yetu [emoji38]
 
Hivi kwanini walinda legacy ni watu wa kujistukia sana na kulialia?!!!!
 
Hivi katika shida za msingi za nchi hii katika miaka 50 ya uhuru ilikuwa ni kutokuwa na Ikulu Dodoma?

R.I.P Ben Saanane, Azory Gwanda, Simon Kanguye, Elias Michael na pole sana Tundu Lissu kwa kuchapwa risasi 16 na madhalimu
 
Kweli kabisa, Mzee Mwinyi ndiye aliyeipa uhai hii nchi, ilikuwa chali.

Mzee Mwinyi anastahiki jina lake liandikwe kwa wino wa dhahabu.
Tatizo lako wew hoja huwa unaitazama kwa mrengo wa huyu ni wa dini yangu, hauko honest hata siku moja!
 
Wewe ndio unastahili laana mpaka kwa vitukuu vyako
Samia akijenga Dalaja Dar to Zanziber, hizi sifa zitakwishilia mbali. Huko marekani alipo mwanakijiji kuna habari ya kusifia maraisi?? Au barabara hazijengwi??
 
Mwisho wa siku hizo hela zilizotumika/zinazotumika kujengea hiyo moundombinu, ni kodi za Watanzania! Ni mikopo ambayo italipwa na watanzania wote!

Na siyo hao wanasiasa unaotaka wapewe acknowlegment.
Wapumbavu kama nyie sijui mlizaliwa kupitia tundu gn?
 
Kwa mazombi kama kama wewe,ni halali kusema hivyo.
 
Pamoja na ufisadi unaosemwa juu yake, kuna vitu alisimamia vimefanyika na vitadumu vizaizi. Waliopo sasa ufisadi wameruhusiwa kuna chochote kinachofanyika cha maana.
Hakuna ufisadi wowote,ni ngonjera tu za majizi.
 
Mkubwa

Ni kweli kabisa Rais Magufuli kafanya mengi, mazuri sana na mabovu sana
Tatizo lipo hapo, ni wakati gani Marehemu anatajwa na wakati gani aachwe apumzike

Nashuri waendelee kumkwepa! ili apumzike na wasifungue ''can of worms''

JokaKuu
Nitajie mabaya matano ya jpm,nami nikutajie mazuri 50 ya jpm
 
Shida hujikiti kwenye hoja iliyopo.nani kasema nyerere hajafanya?.hoja iliyopo ni magufuli kafanya kwa speed ya juu kuliko woote waliotangulia.
Kwa mfano,nyerere amekaa madarakani miaka mingapi?, na jpm kakaa madarakani kwa miaka mingapi?. Fanya mlinganyo,nani kafanya zaidi.
 
Jpm,atapendwa na watu wema na waadilifu,na atachukiwa na watu waovu na waharifu kama wewe.
 
Swali linakuja kwanini hao wengine hawakutumia hizo kodi za wananchi kufanya hayo mambo kwa miaka yote 40? Au kodi ilianza kukusanywa kipindi cha JPM?
Kwa hiyo kwa akili zako, mfano Mwl. Nyerere aliyerithi nchi ikiwa na madaktari wa binadamu wawili,angeacha kusomesha watu na badala yake angeweka juhudi ahamie Dodoma? Kama siyo uamuzi wa kijasiri kusomesha watu Bure mpaka chuo kikuu, hata wewe na huyo JPM tusingemjua.
Kupanga ni kuchagua, siyo kukurupuka na kila kinachokuja kichwani. Leo man jeuri, mnasema tumejenga wenyewe bila kutumia wataalam kutoka nje, kwa sababu watu (human resources) waliandaliwa.
Nyerere alijua tunayo dhahabu na hakuichimba kwa kigezo cha kutokuwa na wataalam wa kusimama shughuli za uchimbaji.
Kila jambo hutendeka kutegemea wakati husika na mahitaji. Unapoona bwawa la Nyerere ni suluhisho la matatizo ya umeme wapo wanaona tofauti,wao wanaona gesi ndio suluhisho.
 
Maridhiano ya kitu Gani na ni ya nani na nani aliyefanywa kitu Gani? Ni maigizo matupu ya kujaribu kutuhadaa ati Kuna kitu kiliharibiwa na sasa wanarekebisha. Haya tufanye huo uchaguzi uliharibiwa, vipi usingeharibiwa ndo ingekuwaje? Mfano mbunge wa Mbeya mjini angekuwa Sugu badala ya Tulia ndo Ingekuwa Nini? Acheni maigizo ya kijinga na hata kama hampendi kusikia lakini JPM hawezi kupotezwa na chuki zenu zisizo na miguu Wala kichwa. Ni bahati mbaya hatunaye, lakini kazi alizofanya zipo na zinaonekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…