Swali gani hupendi kuulizwa?

tena nachukia nikiulizwa na wanawake
Sasa hao dawa yao ndogo rafik, yaan kabla hajakuulizia we unamchana kabisa mm nina miaka 22...[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Thn unabunda kidogo
 
Hiyo namba tatu nayo ni swali?
 
asee umekua.??...unanenepa maisha mazuri eeh.??...uko wapi sikuhizi....?? unakaa kwenu au umepanga...??
 
Hahaa ... so sijui huwa wanataka umjibu nini !? .. if ukimwambia nataka kukuchezea tu .. si - ndio tayari itakuwa umemkosa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hapo sasa ndugu yangu.
Unajikuta swali ni gumu halafu utamu pia unautaka yaani inabidi tu tuseme uongo ingawa sisi wengine hua hatupendi kudanganya.

Maendeleo hayana chama
 
Ananiona kabisa nipo online Night halafu Ananiambia Umelala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…