Swali gumu kidogo: Kwanini Urusi iliyosambaratika na dhaifu kuliko USSR inawasumbua sana NATO?

Napenda sana kufahamu haya madude yanafanyaje kazi.
Unaweza kunisaidia kwa lugha nyepesi?
Au kuna video/movie yoyote ambayo inaonesha jinsi haya madude(S-300,S-400)yanavyotenda kazi yake?
Cc
Malcom Lumumba
 
Ooh.
Kwahiyo hakuna siraha/mashine yoyote ya kivita inayoitwa S-300,ni porojo tu za genge la Putin na wafuasi wake?
Zipo! ila uwezo wa hizo zana si wa kuamini sana(zimetiwa chumvi mno) maana warusi ni mabingwa wa propaganda hata hawa pro-russia wanatambua hilo japo hawawezi kukiri.
 
Kumbe majibu yote unayo!....kwa mambo anayofanya urusi ingekuwa ni taifa dhaifu marekani angeshaipiga siku nyingi!
 
Zipo! ila uwezo wa hizo zana si wa kuamini sana(zimetiwa chumvi mno) maana warusi ni mabingwa wa propaganda hata hawa pro-russia wanatambua hilo japo hawawezi kukiri.
Okay.
Nimekuelewa chief..!
 
ARPAIO nimerudi, niko free kidogo, nadhani nitajitahidi kujibu maswali yote kipindi hiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado hujaeleza kasumbua vipi,

Au pengine sijui maana ya kusumbua?
 
Bado hujaeleza kasumbua vipi,

Au pengine sijui maana ya kusumbua?
Sasa mbona majibu ya swali lako yako wazi kabisa na hadi umeyafanyia nukuu hapo juu. Au mpaka nianze kukutajia waziwazi kwamba kitendo hiki cha Urusi ambacho nimekiorodhesha hapo juu kinamsumbua Marekani na washirika wake kwa namna hii ?
 
KAMA unayajuwa yote haya unauliza nini tena ?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
kusambaratika kwa ussr ilikuwa ni moja ya mission ya KGB ili waweze kuibuka na nguvu kubwa. na ndicho kinachoendelea sasa
 
Duh! Hii kali aisee! una uhakika na hiki ulichoandika
Yes, nilisoma Kitabu fulani kilichokuwa kinaelezea jinsi KGB ilivyoweza kupambana na vita baridi. Mambo yote yaliratibiwa na walitaka kuifeki USA ili wajiimarishe upya. amini husiamini Ukraine KGB wapo kila kona mpaka ikulu na nchi zote zilizokuwa muungano wa soviet
 
Bado mimi siamini unachosema ,ila kama ni kweli basi jamaa KGB wako vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…