Ntolonyonyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,231
- 2,357
Wewe kwa akili yako GDP ndo kila kitu et??Fuatilieni habari na mfungue macho yenu....Enzi hizo USSR ipo, USSR GDP ilikuwa theluthi mbili ya GDP ya USA ,USSR ilikuwa na GDP kubwa , per capita GDP kubwa kuliko India, China
Leo hii GDP ya Urusi haiachani ktk GDP na nchi kama Brazil, Australia, Mexico,Uturuki
Wanaosema hali chini ya Putin imeimarika hawajui wanaloliongea, Russia leo kapitwa per capita GDP na nchi nyingi sana duniani hadi Taiwan,nchi zilizo katika hali mbaya kama ugiriki, Ureno etc
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa warussi wanaparuana na muungano wa nchi 29..wao wakiwa peke yao..hilo nalo hujui unakalia kuongelea GDP....
Wamechukua Crimea....hakuna mtu alithubutu kupambana kuichukua...wakati sie hapa Idd Amin alijaribu kuchukua kasehemu tu ka Ardhi yetu kilichofuata maelfu ya waty kufa....
Hawa watu ni almost self sufficient....wewe unasema GDP?
Marekani mwenyewe analalamika...na wameanza tena kulalamika kuhusu kuingiliwa na hawa jamaa kwenye uchaguzi....embu mwambie nchi kaa Mexico au Brazil unaowalinganisha na Waruss wafanye pia uone kiyakachowapata...
Sent using Jamii Forums mobile app