Swali gumu kidogo: Kwanini Urusi iliyosambaratika na dhaifu kuliko USSR inawasumbua sana NATO?

Swali gumu kidogo: Kwanini Urusi iliyosambaratika na dhaifu kuliko USSR inawasumbua sana NATO?

Mpaka kufika mwaka 2020 Israel ana dola za Kimarekani Billioni 145 wakati Uswisi ana dola za Kimarekani Bilioni 145. Nadhani ulikuwa unatania tu, ulivyoleta hizo takwimu zako.
Israeli hana akiba ya fedha za kigeni kiwango cha kuwekwa kwenye orodha moja na nchi kama Uswisi. Mpaka kufika mwaka 2020 Israel ana dola za Kimarekani Billioni 145 wakati Uswisi ana dola za Kimarekani Bilioni 145. Nadhani ulikuwa unatania tu, ulivyoleta hizo takwimu zako.

Halafu jambo la pili, kuwa na uchumi mkubwa haifanyi pesa yako ikawa ndiyo Fedha ya Kibiashara za Kimataifa (International Hard Currency). Kuna nchi za Uchumi mkubwa kama Saudi Arabia lakini bado pesa zao siyo Fedha za Kibiashara. Nadhani hapa napo ulikuwa uko katika utani pia.
Mkuu hem rekebisha hapa kuna kitu nikijue maana najua umekosea bilashaka.....
 
Mpaka kufika mwaka 2020 Israel ana dola za Kimarekani Billioni 145 wakati Uswisi ana dola za Kimarekani Bilioni 145. Nadhani ulikuwa unatania tu, ulivyoleta hizo takwimu zako.Mkuu hem rekebisha hapa kuna kitu nikijue maana najua umekosea bilashaka.....
Hakika Mkuu, hakika! Nilikosea hapo ni dola za kimarekani bilioni 850.
 
Kuhusu Singapore unayajua makampuni gani makubwa ya kisingapore?

Hela ya Singapore (Singapore dollar au SGD) ni fully convertible free floating currency kama USD na Israel ni nchi kubwa katika eneo zaidi ya mara ishirini ya Singapore
ISRAEL kubwa kiaje MKUU ?!
 
Hakika Mkuu, hakika! Nilikosea hapo ni dola za kimarekani bilioni 850.
Shukran MKUU hapa sasa tuko pamoja ila jana kama sijakosea ilikua hapa ama wap nlipitia sehem inasema UCHINA ndio taifa linaloongoza kua na foreign currency ina USD trillion ngap kama unaipata hii ?!
 
NATO kwa pamoja wana idadi ya watu milioni 603.73.
URUSI peka yake ana idadi ya watu milioni 144.3.
NB: NATO ina watu mara sita zaidi ya Urusi lakini kwanini iwasumbue ??
Simply ni kuwa USSR ilikuwa ni taifa giant,uwezo wake kijeshi ulikuwa mkubwa,,licha ya kusambaratika Russia bado ina nguvu,,mfano Russia inaweza kui overun Europe ndani ya siku chache tu,,hii russia iko na vifaru 20,000,,linganisha tuseme na Germany yenye vifaru about 45,
Utaona nchi za europe nyingi bado zinategemea ulinzi wa marekani,marekani hawezi kujisikia salama mpaka pale Russia itakapomeguka zaidi,,
Tatizo Russia badala ya kumeguka zaidi,sasa imeanza kumegua,,check kesi ya crimea,,ukraine,syria,libya
 
Jamaa wanasumbua popote wakitaka, kiukweli kijeshi na silaha bado wako fit sana.na kulianzisha kwao ni nukta tu wanapigana hawana cha kuloose. Hapo ndo Marekani na wenzie wanaogopa.
Amempiga nani?
 
Hiyo figure niliisoma mwaka jana,ila imeshuka kidogo nadhani sababu ya corona,sasa ni Trilion 3 na ushee,,lakini bado ndo inaongoza,
Pia china ndo nchi yenye dola nyingi kwenye mzunguko kuzidi hata US,
China wana dola trillion 25 kwenye mzunguko,
Marekani ako na dola trillion 14,,
Maanake ni kuwa siku hawa wachina wakaamua kuzi offload na kuachana na dola,,thamani ya usd inaanguka
 
US inatakiwa apambane kwanguvu zote na UCHINA maana jamaa wanatishia maslahi yao kwakila hali nakila namna.....
 
Shukran MKUU hapa sasa tuko pamoja ila jana kama sijakosea ilikua hapa ama wap nlipitia sehem inasema UCHINA ndio taifa linaloongoza kua na foreign currency ina USD trillion ngap kama unaipata hii ?!
Uchina amefika Dola za Kimarekani Trilioni 3 .Maneno ya Dr Dambisa Moyo aliyewahi kufanya kazi Benki ya Goldman Sachs anasema haya kuhusu Uchina "In a world where cash is king, China’s much-noted cash stockpile—over US$3 trillion in foreign currency reserves in 2012—affords it the ability to do what other countries can’t do and go where other countries can’t go"....
 
Hiyo figure niliisoma mwaka jana,ila imeshuka kidogo nadhani sababu ya corona,sasa ni Trilion 3 na ushee,,lakini bado ndo inaongoza,
Pia china ndo nchi yenye dola nyingi kwenye mzunguko kuzidi hata US,
China wana dola trillion 25 kwenye mzunguko,
Marekani ako na dola trillion 14,,
Maanake ni kuwa siku hawa wachina wakaamua kuzi offload na kuachana na dola,,thamani ya usd inaanguka
Wakati inasemekana Marekani mpaka sasa ametumia zaidi ya Trilioni 2 za Kimarekani kupigana vita za kule Mashariki ya Kati.
 
Back
Top Bottom