Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Mpaka kufika mwaka 2020 Israel ana dola za Kimarekani Billioni 145 wakati Uswisi ana dola za Kimarekani Bilioni 145. Nadhani ulikuwa unatania tu, ulivyoleta hizo takwimu zako.
Mkuu hem rekebisha hapa kuna kitu nikijue maana najua umekosea bilashaka.....Israeli hana akiba ya fedha za kigeni kiwango cha kuwekwa kwenye orodha moja na nchi kama Uswisi. Mpaka kufika mwaka 2020 Israel ana dola za Kimarekani Billioni 145 wakati Uswisi ana dola za Kimarekani Bilioni 145. Nadhani ulikuwa unatania tu, ulivyoleta hizo takwimu zako.
Halafu jambo la pili, kuwa na uchumi mkubwa haifanyi pesa yako ikawa ndiyo Fedha ya Kibiashara za Kimataifa (International Hard Currency). Kuna nchi za Uchumi mkubwa kama Saudi Arabia lakini bado pesa zao siyo Fedha za Kibiashara. Nadhani hapa napo ulikuwa uko katika utani pia.