Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 1,424
- 2,333
Watu walioshikamana na udini ni wa kuogopwa sana. Wala hakukuwa na haja ya kuuliza swali lako humu, biblia ipo, ni kitabu kilichotafsiriwa Kwa lugha zote ikiwemo na kiswahili, ungesoma ungepata majibu, Ila ufinyu wako wa akili kwasababu ya udini wako umeona uentertain.Umhimu wa Kujua Historia
Mtume Muhammad ﷺ alisema: "Mtu ambaye hana historia, hana maisha" (Abu Dawood).
Hapa kuna orodha ya manabii waliotajwa katika Agano la Kale na Qur'an, pamoja na maeneo ambapo walizaliwa
- Hii hadithi inasisitiza umuhimu wa kujua na kuelewa historia ili kuwa na mtazamo kamili wa maisha na maendeleo ya kijamii.
Manabii Katika Agano la Kale:
- Nabii Ibrahim (Abraham)
- Nchi: Mesopotamia (sasa Iraq)
- Mahali pa Kuzaliwa: Uru, Mesopotamia
- Nabii Musa (Moses)
- Nchi: Misri
- Mahali pa Kuzaliwa: Misri (katika eneo la mji wa Gosheni)
- Nabii Daudi (David)
- Nchi: Palestina
- Mahali pa Kuzaliwa: Bethlehemu, Israeli
- Nabii Sulemani (Solomon)
- Nchi: Palestina
- Nabii Isaya (Isaiah)
- Nchi: Palestina
- Nabii Yeremia (Jeremiah)
- Nchi: (inayokaliwa na, Israeli)
- Nabii Ezekieli (Ezekiel)
- Nchi Palestina(inayokaliwa na, Israeli)
Manabii Katika Qur'an:
Katika waislam misikiti mikuu 3
- Nabii Ibrahim (Abraham)
- Nchi: Mesopotamia (sasa Iraq) na Kanaani (sasa sehemu ya Israeli na Palestina)
- Mahali pa Kuzaliwa: Uru, Mesopotamia
- Nabii Musa (Moses)
- Nchi: Misri
- Mahali pa Kuzaliwa: Misri (katika eneo la mji wa Gosheni)
- Nabii Daudi (David)
- Nchi: Palestina
- Nabii Sulemani (Solomon)
- Nchi: Palestina
- Mahali pa Kuzaliwa: Palestina
- Nabii Isa (Jesus)
- Nchi: Palestina
- Mahali pa Kuzaliwa: Palestina
- Nabii Muhammad ﷺ
- Nchi: Arabia (sasa Saudi Arabia)
- Mahali pa Kuzaliwa: Makka, Saudi Arabia
- Nabii Yunus (Jonah)
- Nchi: Ninawi (sasa Iraq)
- Mahali pa Kuzaliwa: Ninawi, Iraq
- Nabii Hud (Heber)
- Nchi: Arabia (sasa sehemu ya Saudi Arabia)
- Mahali pa Kuzaliwa: Aadil, Saudi Arabia
- Nabii Salih (Methuselah)
- Nchi: Thamud (sasa sehemu ya Saudi Arabia)
- Mahali pa Kuzaliwa: Thamud, Saudi Arabia
Msikiti wa Al-Haram (Masjid al-Haram)- Mahali: Makkah, Saudi Arabia
Msikiti wa Al-Masjid an-Nabawi (Masjid al-Nabawi)- Mahali: Madinah, Saudi Arabia
Msikiti wa Al-Aqsa (Masjid al-Aqsa)-Mahali: Yerusalemu, Palestina
WAKIRISTO MAKANISA MAKUU
Kanisa la Mtakatifu Petro (St. Peter's Basilica) -Mahali: Vatican City, Roma, Italia
Kanisa la Mitume watatu (Trinity Church)- Mahali: Boston, Massachusetts, Marekani
Kanisa la Hagia Sophia (Aya Sofya)- Mahali: Istanbul, Uturuki
Kanisa la Westminster (Westminster Abbey)- Mahali: London, Uingereza
Kanisa la Martin Luther (Lutherkirche)-Mahali: Wittenberg, Ujerumani
KWANINI MAKANISA MAKU YAPO ULAYA? NA SIO MASHARIKI YA KATI?
Anyway swali lako ni jepesi japo halipo specific, kanisa la kwanza ni Roman Catholic, hili ndo lilikuwa la kwanza then yakaja mengine.
Wanafumzi wa Yesu baada ya Yesu kupata mbinguni, Kwa mujibu wa historia ya biblia walishukiwa na Roho Mt wakaanza kusema Kwa lugha za mataifa mengine, ikiwemo na waarabu, kumtangaza Yesu haikuwa rahisi, kwasababu walikutana na vikwazo vingi Kama kufungwa, kuuwawa, kuteswa, kwahyo walitawanyika sehemu nyingine ambapo waliweza kufanya waliyodhamiria kuyafanya.
Yesu alikuwa myahudi, lakini wayahudi wengi hawakumwamini, hata ndugu zake tu hawakumwamini, Yesu alitambua Hilo, kwamba hawataweza kumwamini, Kuna kifungu kwenye biblia Yesu alisema nabii hakubaliki kwao na Kuna mstari pia aliwaambia wanafunzi wake nendeni muwageukie mataifa.
Injili Leo imekuwa siyo Kwa wayahudi tu, imekuwa pia ni kwaajili ya mataifa mengine, ikiwemo na Tanzania, na lugha ya tafsiri ni ya kiswahili.
Kanisa kuu la wakristo ni Lipo Vatican city(Mt Petro) hapo ndipo alipozikwa mtume Petro, ambaye Yesu alimwambia "Wewe ndiwe Petro(kefa Kwa tafsiri ni jiwe)na juu yako litajengwa kanisa langu.
Sijajua hayo makanisa makuu unayoyaongelea wewe ni yapi, Ila kanisa kuu la kinabii ni moja tu na lipo Vatican city.
Kama una swali jingine uliza.