- Thread starter
- #61
HQ ni huko
majini viumbe kama weweHQ ni huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HQ ni huko
majini viumbe kama weweHQ ni huko
Pole mfuasi wa mudi njoo kwa Yesu sasa akuokoendio Propaganda zilizobaki. kayika dini huna kitu
iTAKUW APADRI WA KANISA X UNAHUBIRI KANISANI ILI WAJE KWAKO ULE SADAKA ZA KUTSOHA. LKN ULICHOKIKOPY NA KUPASTE HUKIJUI
MAISHA YA MTUME
Maisha ya Mtume Muhammad (SAW) yana umuhimu mkubwa si tu kwa Waislamu bali pia kwa wasomi na watu wa dini nyingine kwa sababu ya mchango wake katika historia, maadili, na utamaduni. Hapa kuna muhtasari wa maisha yake kwa wasio Waislamu na wasomi:
1. Maisha ya Mapema
- Kuzaliwa: Mtume Muhammad alizaliwa mwaka 570 BK mjini Makkah, katika kabila la Quraysh. Alipokea elimu ya msingi kutoka kwa familia yake na alikua katika mazingira ya biashara.
- Kujulikana kwa Uaminifu: Kabla ya kupokea wahyi, alijulikana kwa sifa zake za ukweli, uaminifu, na uadilifu. Alipewa jina la "Al-Amin" (Mtu Mwaminifu).
2. Kipindi cha Utume
- Kupokea Wahyi: Mnamo mwaka 610 BK, alipopokea wahyi kutoka kwa Malaika Jibril (Gabriel) akiwa peke yake katika pango la Hira. Wahyi huu ulianzisha Uislamu.
- Mchango wa Kidini: Alihubiri kwa siri kwa miaka mitatu kabla ya kufanya hadharani, akitangaza kwamba kuna Mungu mmoja, na akasisitiza haki, usawa, na upendo kwa wote. Hali hii ilipokelewa kwa upinzani mkubwa kutoka kwa viongozi wa kabila la Quraysh.
- Hijra: Mnamo mwaka 622 BK, alihama kutoka Makkah kwenda Madinah (Hijra), tukio lililoashiria mwanzo wa kalenda ya Kiislamu.
3. Utawala na Maendeleo
- Uongozi: Katika Madinah, alianzisha jamii ya Kiislamu yenye usawa na haki. Alikuwa mweledi katika usimamizi wa jamii, akipatia mafundisho na kanuni zinazowezesha umoja na usalama.
- Mkataba wa Madinah: Aliunda makubaliano ya kisiasa na kijamii kwa makabila ya Madinah, yakilenga kuleta amani na ushirikiano.
4. Mchango kwa Jamii
- Mafundisho: Mafundisho ya Mtume Muhammad kuhusu haki za binadamu, usawa, na maadili yanachangia sana katika utamaduni na sheria za dunia. Mchango wake katika elimu, biashara, na utawala unaendelea kuwa na athari kubwa.
- Madhumuni ya Kidini: Uislamu unaelezea mapenzi ya Mungu, huruma, na umoja wa binadamu, na haya yanaweza kupokelewa kwa njia ya kihistoria, kidini, na kimaadili.
5. Athari kwa Historia na Utamaduni
Kwa wasomi na watu wa dini nyingine, maisha ya Mtume Muhammad ni kipande muhimu cha historia na utamaduni ambao unastahili kujadiliwa na kueleweka kwa upana
- Athari za Kimataifa: Mtume Muhammad ni miongoni mwa watu wenye athari kubwa zaidi katika historia, na mafundisho yake yanaendelea kuathiri maisha ya watu kote duniani. Utamaduni, sanaa, na siasa zimejaa alama za mafundisho yake.
- Mchango wa Kihistoria: Maisha yake yanachangia tafsiri ya uongozi, haki, na amani kwa jamii.
Swala la kukojoa huku amechuchumaa ntawasaidia wakataa mbuzi katoliki....jaribu kukojoa uku umechuchumaa,,lazima mikojo yote itokee bila kubaki hata kidogo...hii utaleta majibu mwenyewe...
mtume kama binaadamu wengine, hakuwa malaikaAISHA ANASEMA MUHAMMAD NABII WA ALLAH ALIKUWA AMEROGWA
Muhammad Aliwahi Kurogwa (Kwa Apizo, ‘Under a Spell’)
" ‘Aisha anasimulia: Nabii alifanyiwa uchawi hata akaanza kudhani kuwa anafanya kitu fulani wakati hakuwa anafanya. Siku moja alimwomba (Allah) kwa muda mrefu sana kisha akasema, ‘Naona kuwa Allah amenipa mwongozo wa namna ya kujitibu mwenyewe.’..." Bukhari juzuu ya 4 kitabu cha 54 (Mwanzo wa Uumbaji) sura ya 10 na.490 uk.317.
Tazama pia juzuu ya 4 kitabu cha 53 (Wajibu wa Khumus) sura ya 34 na.400 uk.267, juzuu ya 8 kitabu cha 73 (Mienendo Myema) sura ya 56 na.89 uk.56-57, juzuu ya 8 kitabu cha 75 (Kitabu cha Maombi ‘Book of Invocations’) sura ya 59 na.400 uk.266-267. Juzuu ya 7 na.658-660 uk.441-443.
Pia tazama Muislam Sahihi juzuu ya 2 kitabu cha 4 (Kitabu cha Sala) sura ya 309 na.1888 uk.411
Muhammad alilogwa. Alisimulia ‘Aisha: Nabii aliendelea kwa kipindi fulani akidhania kuwa anafanya tendo la ndoa na mke wake, lakini haikuwa hivyo. Siku moja alisema kwangu, "O ‘Aisha! Mungu ameniagiza kuhusiana na suala nililomuuliza. Watu wawili walikuja, mmoja alikaa karibu na miguu yangu na mwingine karibu na kichwa changu. Yule aliyekuwa karibu na miguu yangu alimuuliza yule wa karibu na kichwa changu (akininyooshea kidole), ‘Mtu huyu ana shida gani? Yule mwingine akamjibu, ‘Ameathirika na uchawi. Yule wa kwanza akauliza, ‘Ni nani aliyemfanyia uchawi?’ Yule mwingine akajibu, ‘Lubaid bin A’sam." Yule wa kwanza akauliza, ‘(Alitumia) nyenzo gani?.’ Yule mwingine alijibu ‘Ngozi ya chavua ya mtende wa kiume na chanio lililowekwa nywele, na kuwekwa chini ya jiwe kwenye bwawa la Dharwan.’" Kisha Nabii alikwenda kwenye bwawa lile na kusema, "Hili ndilo bwawa lilelile nililoonyeshwa kwenye ndoto. Ncha za mitende yake inaonekana kama vichwa vya mashetani, na maji yake yanaonekana kama mchanganyiko wa hina."… ‘Aisha aliongeza, "(Mchawi) Lubaid bin A’sam alikuwa anatokea Bani Zuraiq, mshirika wa Wayahudi." Bukhari juzuu ya 8 kitabu cha 73 (Mienendo Myema) sura ya 56 na.89 uk.57. Tazama pia Bukhari juzuu ya 8 kitabu cha 75 (Kitabu cha Maombi ‘Book of Invocations’) sura ya 59 na.400 uk.266
1. Kwanini tumfuate Muhammad aliye rogwa?
2. Hivi kuna Mtume au Nabii yeyote yule kwenye Biblia na yeye alirogwa?
3. Kwanini Allah alishindwa kumlinda Mtume wake kutoka nguvu za kurogwa?
4. Hivi wapi tunasoma kuwa Muhammad alifanyiwa maombi na urogi ukamtoka?
Hakuna ushahid wowote ule ambao unasema kuwa Muhammad aliombewa na kutokwa huo uchawi. Huu ni msiba kwa Nabii wa Allah kufa huku akiwa amefanyiwa urogi.
Ndugu msomaji,
Warumi hawajawahi kutawala Uarabuni, Roman Empire haikuwahi kufika uarabuni. Constantine pia hawajawahi kutawala Uarabuni.Msingi wa Abrahamic religions ni tales za waarabu (waliokuwa wanaishi Middle East).
Na story zenyewe hasa za old testament overtime zikawa zinaongezewa chumvi na wasimuliaji.
Wakati Constantine anaenda huko alikuta watu wanaofuata hizo mythology kila mtu mtaa unafanya ibada kwa mtindo wake na kuna variation ya story zile zile.
Kwenye.kufanya mobilisation ya story kuandika vitabu kila mtu akachagua version ya story inayomfaa kuandika kitabu chake na mtindo wake wa kufanya ibada.
Lakini imani ya dini mmoja wa mbinguni na story za dini ya Abraham (Jews, Christian na Islam) uhalisia wake ni mythologies za waarabu kuanzia kwa Adam and Eve.
Wazungu walichukua tu kuona inafaa kwa propaganda zao. Lakini awali hakukuwa na Jew, Mkristo na Muislamu (zaidi ya waarabu) ndio wenye mythology yao.
Wengine ni importers tu wa dini.
HALAFU MBONA UNACOPY NA KUPASTEAISHA ANASEMA MUHAMMAD NABII WA ALLAH ALIKUWA AMEROGWA
Muhammad Aliwahi Kurogwa (Kwa Apizo, ‘Under a Spell’)
" ‘Aisha anasimulia: Nabii alifanyiwa uchawi hata akaanza kudhani kuwa anafanya kitu fulani wakati hakuwa anafanya. Siku moja alimwomba (Allah) kwa muda mrefu sana kisha akasema, ‘Naona kuwa Allah amenipa mwongozo wa namna ya kujitibu mwenyewe.’..." Bukhari juzuu ya 4 kitabu cha 54 (Mwanzo wa Uumbaji) sura ya 10 na.490 uk.317.
Tazama pia juzuu ya 4 kitabu cha 53 (Wajibu wa Khumus) sura ya 34 na.400 uk.267, juzuu ya 8 kitabu cha 73 (Mienendo Myema) sura ya 56 na.89 uk.56-57, juzuu ya 8 kitabu cha 75 (Kitabu cha Maombi ‘Book of Invocations’) sura ya 59 na.400 uk.266-267. Juzuu ya 7 na.658-660 uk.441-443.
Pia tazama Muislam Sahihi juzuu ya 2 kitabu cha 4 (Kitabu cha Sala) sura ya 309 na.1888 uk.411
Muhammad alilogwa. Alisimulia ‘Aisha: Nabii aliendelea kwa kipindi fulani akidhania kuwa anafanya tendo la ndoa na mke wake, lakini haikuwa hivyo. Siku moja alisema kwangu, "O ‘Aisha! Mungu ameniagiza kuhusiana na suala nililomuuliza. Watu wawili walikuja, mmoja alikaa karibu na miguu yangu na mwingine karibu na kichwa changu. Yule aliyekuwa karibu na miguu yangu alimuuliza yule wa karibu na kichwa changu (akininyooshea kidole), ‘Mtu huyu ana shida gani? Yule mwingine akamjibu, ‘Ameathirika na uchawi. Yule wa kwanza akauliza, ‘Ni nani aliyemfanyia uchawi?’ Yule mwingine akajibu, ‘Lubaid bin A’sam." Yule wa kwanza akauliza, ‘(Alitumia) nyenzo gani?.’ Yule mwingine alijibu ‘Ngozi ya chavua ya mtende wa kiume na chanio lililowekwa nywele, na kuwekwa chini ya jiwe kwenye bwawa la Dharwan.’" Kisha Nabii alikwenda kwenye bwawa lile na kusema, "Hili ndilo bwawa lilelile nililoonyeshwa kwenye ndoto. Ncha za mitende yake inaonekana kama vichwa vya mashetani, na maji yake yanaonekana kama mchanganyiko wa hina."… ‘Aisha aliongeza, "(Mchawi) Lubaid bin A’sam alikuwa anatokea Bani Zuraiq, mshirika wa Wayahudi." Bukhari juzuu ya 8 kitabu cha 73 (Mienendo Myema) sura ya 56 na.89 uk.57. Tazama pia Bukhari juzuu ya 8 kitabu cha 75 (Kitabu cha Maombi ‘Book of Invocations’) sura ya 59 na.400 uk.266
1. Kwanini tumfuate Muhammad aliye rogwa?
2. Hivi kuna Mtume au Nabii yeyote yule kwenye Biblia na yeye alirogwa?
3. Kwanini Allah alishindwa kumlinda Mtume wake kutoka nguvu za kurogwa?
4. Hivi wapi tunasoma kuwa Muhammad alifanyiwa maombi na urogi ukamtoka?
Hakuna ushahid wowote ule ambao unasema kuwa Muhammad aliombewa na kutokwa huo uchawi. Huu ni msiba kwa Nabii wa Allah kufa huku akiwa amefanyiwa urogi.
Ndugu msomaji,
Origin ya hizo mythology ni nchi za kiarabu sasa wewe unadhani huko Mesopotamia, Egypt na Canaan setting ya religious stories miaka hiyo kulikuwa na wazungu huko?Warumi hawajawahi kutawala Uarabuni, Roman Empire haikuwahi kufika uarabuni. Constantine pia hawajawahi kutawala Uarabuni
HALAFU MBONA UNACOPY NA KUPASTE
mtume kama binaadamu wengine, hakuwa malaika
majini viumbe kama wewe
Canaan na Egypt hazikuwa nchi za Kiarabu wakati wa Roman Empire. Pia Mythologies za maeneo yote hayo matatu ni tofauti sana. Mythologies za Wamisri ni tofauti sana na za Mesopotamia, Wa-Israeli pia hata wa Mwanzo hawakuwa Waarabu, hiyo Mesopotamia yenyewe lilikuwa ni eneo pana sana lilikowa na jamii nyingi zaidi ya Waarabu (Iran, Turkey, Syria, Kuwait na Iraq )Origin ya hizo mythology ni nchi za kiarabu sasa wewe unadhani huko Mesopotamia, Egypt na Canaan setting ya religious stories miaka hiyo kulikuwa na wazungu huko?
Hizo myths ni za waarabu; Jews wa kwanza ni waarabu, wakristo wa kwanza ni waarabu na waislamu wa kwanza ni waarabu.
Wengine wameokota tu hizo dini na kuchagua version zao na kutumia nguvu na utemi na kuuwa sana kwa wasiotaka kufanya ibada kwa mtindo wao (more Christian’s and Islam kwenye kusambaza dini zao).
Sikia tu hiyo reformation ya Christianity hasa kwa wale ambao walikuwa na vitabu vingine na kujifanya wanataka kufanya ibada kwa mtindo wao.
Earliest form of Christianity practice mpaka leo inafanyika Syria ndio ujue hizi dini ni za waarabu kwanza.
Talking on religious archeology point of view.
KANISA LA KWELI SIYO JENGO (NYUMBA) YA IBADA. WAKRISTO WAHUNI NDIYO WALIANZISHA NYUMBA ZA HIVYO ...katika ukristo wa kweli KANISA linatakiwa kuwa MWILI wako na MUABUDU kuwa NAFSI yako.Umhimu wa Kujua Historia
Mtume Muhammad ﷺ alisema: "Mtu ambaye hana historia, hana maisha" (Abu Dawood).
Hapa kuna orodha ya manabii waliotajwa katika Agano la Kale na Qur'an, pamoja na maeneo ambapo walizaliwa
- Hii hadithi inasisitiza umuhimu wa kujua na kuelewa historia ili kuwa na mtazamo kamili wa maisha na maendeleo ya kijamii.
Manabii Katika Agano la Kale:
- Nabii Ibrahim (Abraham)
- Nchi: Mesopotamia (sasa Iraq)
- Mahali pa Kuzaliwa: Uru, Mesopotamia
- Nabii Musa (Moses)
- Nchi: Misri
- Mahali pa Kuzaliwa: Misri (katika eneo la mji wa Gosheni)
- Nabii Daudi (David)
- Nchi: Palestina
- Mahali pa Kuzaliwa: Bethlehemu, Israeli
- Nabii Sulemani (Solomon)
- Nchi: Palestina
- Nabii Isaya (Isaiah)
- Nchi: Palestina
- Nabii Yeremia (Jeremiah)
- Nchi: (inayokaliwa na, Israeli)
- Nabii Ezekieli (Ezekiel)
- Nchi Palestina(inayokaliwa na, Israeli)
Manabii Katika Qur'an:
Katika waislam misikiti mikuu 3
- Nabii Ibrahim (Abraham)
- Nchi: Mesopotamia (sasa Iraq) na Kanaani (sasa sehemu ya Israeli na Palestina)

- Mahali pa Kuzaliwa: Palestina
- Nabii Isa (Jesus)
- Nchi: Palestina
- Mahali pa Kuzaliwa: Palestina
- Nabii Muhammad ﷺ
- Nchi: Arabia (sasa Saudi Arabia)
- Mahali pa Kuzaliwa: Makka, Saudi Arabia
- Nabii Yunus (Jonah)
- Nchi: Ninawi (sasa Iraq)
- Mahali pa Kuzaliwa: Ninawi, Iraq
- Nabii Hud (Heber)
- Nchi: Arabia (sasa sehemu ya Saudi Arabia)
- Mahali pa Kuzaliwa: Aadil, Saudi Arabia
- Nabii Salih (Methuselah)
- Nchi: Thamud (sasa sehemu ya Saudi Arabia)
- Mahali pa Kuzaliwa: Thamud, Saudi Arabia
Msikiti wa Al-Haram (Masjid al-Haram)- Mahali: Makkah, Saudi Arabia
Msikiti wa Al-Masjid an-Nabawi (Masjid al-Nabawi)- Mahali: Madinah, Saudi Arabia
Msikiti wa Al-Aqsa (Masjid al-Aqsa)-Mahali: Yerusalemu, Palestina
WAKIRISTO MAKANISA MAKUU
Kanisa la Mtakatifu Petro (St. Peter's Basilica) -Mahali: Vatican City, Roma, Italia
Kanisa la Mitume watatu (Trinity Church)- Mahali: Boston, Massachusetts, Marekani
Kanisa la Hagia Sophia (Aya Sofya)- Mahali: Istanbul, Uturuki
Kanisa la Westminster (Westminster Abbey)- Mahali: London, Uingereza
Kanisa la Martin Luther (Lutherkirche)-Mahali: Wittenberg, Ujerumani
KWANINI MAKANISA MAKU YAPO ULAYA? NA SIO MASHARIKI YA KATI?
Unataka wasomi na si ushabiki lakini wewe umeuliza kishabiki, unasema kuhusu muhimu wa historia lakini wewe unakosea historia makusudi. Kwa sababu hiyo wasomi wamenyamaza, ila mimi nitajaribu kukujibu kama unataka kuelewa.Umhimu wa Kujua Historia
Mtume Muhammad ﷺ alisema: "Mtu ambaye hana historia, hana maisha" (Abu Dawood).
Hapa kuna orodha ya manabii waliotajwa katika Agano la Kale na Qur'an, pamoja na maeneo ambapo walizaliwa
- Hii hadithi inasisitiza umuhimu wa kujua na kuelewa historia ili kuwa na mtazamo kamili wa maisha na maendeleo ya kijamii.
Manabii Katika Agano la Kale:
- Nabii Ibrahim (Abraham)
- Nchi: Mesopotamia (sasa Iraq)
- Mahali pa Kuzaliwa: Uru, Mesopotamia
- Nabii Musa (Moses)
- Nchi: Misri
- Mahali pa Kuzaliwa: Misri (katika eneo la mji wa Gosheni)
- Nabii Daudi (David)
- Nchi: Palestina
- Mahali pa Kuzaliwa: Bethlehemu, Israeli
- Nabii Sulemani (Solomon)
- Nchi: Palestina
- Nabii Isaya (Isaiah)
- Nchi: Palestina
- Nabii Yeremia (Jeremiah)
- Nchi: (inayokaliwa na, Israeli)
- Nabii Ezekieli (Ezekiel)
- Nchi Palestina(inayokaliwa na, Israeli)
Manabii Katika Qur'an:
Katika waislam misikiti mikuu 3
- Nabii Ibrahim (Abraham)
- Nchi: Mesopotamia (sasa Iraq) na Kanaani (sasa sehemu ya Israeli na Palestina)
- Mahali pa Kuzaliwa: Uru, Mesopotamia
- Nabii Musa (Moses)
- Nchi: Misri
- Mahali pa Kuzaliwa: Misri (katika eneo la mji wa Gosheni)
- Nabii Daudi (David)
- Nchi: Palestina
- Nabii Sulemani (Solomon)
- Nchi: Palestina
- Mahali pa Kuzaliwa: Palestina
- Nabii Isa (Jesus)
- Nchi: Palestina
- Mahali pa Kuzaliwa: Palestina
- Nabii Muhammad ﷺ
- Nchi: Arabia (sasa Saudi Arabia)
- Mahali pa Kuzaliwa: Makka, Saudi Arabia
- Nabii Yunus (Jonah)
- Nchi: Ninawi (sasa Iraq)
- Mahali pa Kuzaliwa: Ninawi, Iraq
- Nabii Hud (Heber)
- Nchi: Arabia (sasa sehemu ya Saudi Arabia)
- Mahali pa Kuzaliwa: Aadil, Saudi Arabia
- Nabii Salih (Methuselah)
- Nchi: Thamud (sasa sehemu ya Saudi Arabia)
- Mahali pa Kuzaliwa: Thamud, Saudi Arabia
Msikiti wa Al-Haram (Masjid al-Haram)- Mahali: Makkah, Saudi Arabia
Msikiti wa Al-Masjid an-Nabawi (Masjid al-Nabawi)- Mahali: Madinah, Saudi Arabia
Msikiti wa Al-Aqsa (Masjid al-Aqsa)-Mahali: Yerusalemu, Palestina
WAKIRISTO MAKANISA MAKUU
Kanisa la Mtakatifu Petro (St. Peter's Basilica) -Mahali: Vatican City, Roma, Italia
Kanisa la Mitume watatu (Trinity Church)- Mahali: Boston, Massachusetts, Marekani
Kanisa la Hagia Sophia (Aya Sofya)- Mahali: Istanbul, Uturuki
Kanisa la Westminster (Westminster Abbey)- Mahali: London, Uingereza
Kanisa la Martin Luther (Lutherkirche)-Mahali: Wittenberg, Ujerumani
KWANINI MAKANISA MAKU YAPO ULAYA? NA SIO MASHARIKI YA KATI?
Ukiuangalia Uislam katika mafundisho yake halisia, siyo yaliyochakachuliwa, unafanana na ukristo zaidi ya 80%. Hili lilitokeaje? Ukristo ulikuwepo kabla ya Uislama. Yawezekana aliyeuanzisha Uislam aliamua kuchukua mambo mengi kutoka kwenye ukristo.MAISHA YA MTUME
Maisha ya Mtume Muhammad (SAW) yana umuhimu mkubwa si tu kwa Waislamu bali pia kwa wasomi na watu wa dini nyingine kwa sababu ya mchango wake katika historia, maadili, na utamaduni. Hapa kuna muhtasari wa maisha yake kwa wasio Waislamu na wasomi:
1. Maisha ya Mapema
- Kuzaliwa: Mtume Muhammad alizaliwa mwaka 570 BK mjini Makkah, katika kabila la Quraysh. Alipokea elimu ya msingi kutoka kwa familia yake na alikua katika mazingira ya biashara.
- Kujulikana kwa Uaminifu: Kabla ya kupokea wahyi, alijulikana kwa sifa zake za ukweli, uaminifu, na uadilifu. Alipewa jina la "Al-Amin" (Mtu Mwaminifu).
2. Kipindi cha Utume
- Kupokea Wahyi: Mnamo mwaka 610 BK, alipopokea wahyi kutoka kwa Malaika Jibril (Gabriel) akiwa peke yake katika pango la Hira. Wahyi huu ulianzisha Uislamu.
- Mchango wa Kidini: Alihubiri kwa siri kwa miaka mitatu kabla ya kufanya hadharani, akitangaza kwamba kuna Mungu mmoja, na akasisitiza haki, usawa, na upendo kwa wote. Hali hii ilipokelewa kwa upinzani mkubwa kutoka kwa viongozi wa kabila la Quraysh.
- Hijra: Mnamo mwaka 622 BK, alihama kutoka Makkah kwenda Madinah (Hijra), tukio lililoashiria mwanzo wa kalenda ya Kiislamu.
3. Utawala na Maendeleo
- Uongozi: Katika Madinah, alianzisha jamii ya Kiislamu yenye usawa na haki. Alikuwa mweledi katika usimamizi wa jamii, akipatia mafundisho na kanuni zinazowezesha umoja na usalama.
- Mkataba wa Madinah: Aliunda makubaliano ya kisiasa na kijamii kwa makabila ya Madinah, yakilenga kuleta amani na ushirikiano.
4. Mchango kwa Jamii
- Mafundisho: Mafundisho ya Mtume Muhammad kuhusu haki za binadamu, usawa, na maadili yanachangia sana katika utamaduni na sheria za dunia. Mchango wake katika elimu, biashara, na utawala unaendelea kuwa na athari kubwa.
- Madhumuni ya Kidini: Uislamu unaelezea mapenzi ya Mungu, huruma, na umoja wa binadamu, na haya yanaweza kupokelewa kwa njia ya kihistoria, kidini, na kimaadili.
5. Athari kwa Historia na Utamaduni
Kwa wasomi na watu wa dini nyingine, maisha ya Mtume Muhammad ni kipande muhimu cha historia na utamaduni ambao unastahili kujadiliwa na kueleweka kwa upana
- Athari za Kimataifa: Mtume Muhammad ni miongoni mwa watu wenye athari kubwa zaidi katika historia, na mafundisho yake yanaendelea kuathiri maisha ya watu kote duniani. Utamaduni, sanaa, na siasa zimejaa alama za mafundisho yake.
- Mchango wa Kihistoria: Maisha yake yanachangia tafsiri ya uongozi, haki, na amani kwa jamii.
umesoma au umekurupuka hebu kasome tena maana mm n imenakili tuUmedanganywa ....binadamu wote wanatakiwa kuwa watakatifu siyo waislamu maana mungu naye ni mtakatifu ...ndiyo maana ikaandikwa mtu hata ingia peponi pasipo kuwa na huo utakatifu....mnajidanganya kuwa ukiwa muislam basi utaingia peponi kwa sababu wewe ni muislamu ....tujifunze kwa waisrael walikuwa na dini ya musa je wote wataingia peponi ? Kuwa katika dini ya kweli hakumfsnyi mtu kutokuwa na dhambi unaweza kuwa na dini ya kweli na ukawa mwenye dhambi .....kudhsni kuwa duniani kusingekuwa na dini isipokuwa uislamu basi binadamu wote wangeingia peponi huo ni upumbavu ulio tukuka ...dhambi aiangalii wewe upo dini gani....kitu pekee ambacho ukiwa nacho unakwenda peponi ni UTAKATIFU BASI