Swali hili hii ni kwa wasomi wa na wabobezi wa dini ya Kikristo na sio washabiki

Umhimu wa Kujua Historia

Mtume Muhammad ﷺ alisema: "Mtu ambaye hana historia, hana maisha" (Abu Dawood).
  • Hii hadithi inasisitiza umuhimu wa kujua na kuelewa historia ili kuwa na mtazamo kamili wa maisha na maendeleo ya kijamii.
Hapa kuna orodha ya manabii waliotajwa katika Agano la Kale na Qur'an, pamoja na maeneo ambapo walizaliwa
Manabii Katika Agano la Kale:
  1. Nabii Ibrahim (Abraham)
    • Nchi: Mesopotamia (sasa Iraq)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Uru, Mesopotamia
  2. Nabii Musa (Moses)
    • Nchi: Misri
    • Mahali pa Kuzaliwa: Misri (katika eneo la mji wa Gosheni)
  3. Nabii Daudi (David)
    • Nchi: Palestina
    • Mahali pa Kuzaliwa: Bethlehemu, Israeli
  4. Nabii Sulemani (Solomon)
    • Nchi: Palestina
  5. Nabii Isaya (Isaiah)
    • Nchi: Palestina
  6. Nabii Yeremia (Jeremiah)
    • Nchi: (inayokaliwa na, Israeli)
  7. Nabii Ezekieli (Ezekiel)
    • Nchi Palestina(inayokaliwa na, Israeli)

Manabii Katika Qur'an:

  1. Nabii Ibrahim (Abraham)
    • Nchi: Mesopotamia (sasa Iraq) na Kanaani (sasa sehemu ya Israeli na Palestina)

    • Mahali pa Kuzaliwa: Palestina
  5. Nabii Isa (Jesus)
    • Nchi: Palestina
    • Mahali pa Kuzaliwa: Palestina
  6. Nabii Muhammad ﷺ
    • Nchi: Arabia (sasa Saudi Arabia)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Makka, Saudi Arabia
  7. Nabii Yunus (Jonah)
    • Nchi: Ninawi (sasa Iraq)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Ninawi, Iraq
  8. Nabii Hud (Heber)
    • Nchi: Arabia (sasa sehemu ya Saudi Arabia)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Aadil, Saudi Arabia
  9. Nabii Salih (Methuselah)
    • Nchi: Thamud (sasa sehemu ya Saudi Arabia)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Thamud, Saudi Arabia
Katika waislam misikiti mikuu 3
Msikiti wa Al-Haram (Masjid al-Haram)- Mahali: Makkah, Saudi Arabia
Msikiti wa Al-Masjid an-Nabawi (Masjid al-Nabawi)- Mahali: Madinah, Saudi Arabia
Msikiti wa Al-Aqsa (Masjid al-Aqsa)-Mahali: Yerusalemu, Palestina

WAKIRISTO MAKANISA MAKUU
Kanisa la Mtakatifu Petro (St. Peter's Basilica) -Mahali: Vatican City, Roma, Italia
Kanisa la Mitume watatu (Trinity Church)- Mahali: Boston, Massachusetts, Marekani
Kanisa la Hagia Sophia (Aya Sofya)- Mahali: Istanbul, Uturuki
Kanisa la Westminster (Westminster Abbey)- Mahali: London, Uingereza
Kanisa la Martin Luther (Lutherkirche)-Mahali: Wittenberg, Ujerumani

KWANINI MAKANISA MAKU YAPO ULAYA? NA SIO MASHARIKI YA KATI?
Dini ni mpango wa mwanadamu kumfikia (kuzungumza) Mungu.
 
Unahitaji kujifunza mengi zaidi ya elimu ya madrasa.

Kwanza katika dini za Ukristo na Uyahudi Ibrahim, Daud na Suleiman na wengine wengi uliowataja hapo hawakuwa manabii.

Pili, Ukristo unaanza na Yesu Kristo katika agano jipya, hao wengine wote uliowataja ungewauliza Waisraeli wa dini ya Uyahudi wanaobondona na Hamas huko Gaza wakati huu.
Mkuu unaruka swali Kama Jesus kazaliwa Israel au Palestine kwanini makanisa makuu yapo mbali na asili ya ukristo.

Nipo kujifunza
 
Halafu wanawapenda wazungu kuliko ndugu zao wa Mashariki ya kati
 
Umhimu wa Kujua Historia

Mtume Muhammad ﷺ alisema: "Mtu ambaye hana historia, hana maisha" (Abu Dawood).
  • Hii hadithi inasisitiza umuhimu wa kujua na kuelewa historia ili kuwa na mtazamo kamili wa maisha na maendeleo ya kijamii.
Hapa kuna orodha ya manabii waliotajwa katika Agano la Kale na Qur'an, pamoja na maeneo ambapo walizaliwa
Manabii Katika Agano la Kale:
  1. Nabii Ibrahim (Abraham)
    • Nchi: Mesopotamia (sasa Iraq)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Uru, Mesopotamia
  2. Nabii Musa (Moses)
    • Nchi: Misri
    • Mahali pa Kuzaliwa: Misri (katika eneo la mji wa Gosheni)
  3. Nabii Daudi (David)
    • Nchi: Palestina
    • Mahali pa Kuzaliwa: Bethlehemu, Israeli
  4. Nabii Sulemani (Solomon)
    • Nchi: Palestina
  5. Nabii Isaya (Isaiah)
    • Nchi: Palestina
  6. Nabii Yeremia (Jeremiah)
    • Nchi: (inayokaliwa na, Israeli)
  7. Nabii Ezekieli (Ezekiel)
    • Nchi Palestina(inayokaliwa na, Israeli)

Manabii Katika Qur'an:

  1. Nabii Ibrahim (Abraham)
    • Nchi: Mesopotamia (sasa Iraq) na Kanaani (sasa sehemu ya Israeli na Palestina)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Uru, Mesopotamia
  2. Nabii Musa (Moses)
    • Nchi: Misri
    • Mahali pa Kuzaliwa: Misri (katika eneo la mji wa Gosheni)
  3. Nabii Daudi (David)
    • Nchi: Palestina
  4. Nabii Sulemani (Solomon)
    • Nchi: Palestina
    • Mahali pa Kuzaliwa: Palestina
  5. Nabii Isa (Jesus)
    • Nchi: Palestina
    • Mahali pa Kuzaliwa: Palestina
  6. Nabii Muhammad ﷺ
    • Nchi: Arabia (sasa Saudi Arabia)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Makka, Saudi Arabia
  7. Nabii Yunus (Jonah)
    • Nchi: Ninawi (sasa Iraq)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Ninawi, Iraq
  8. Nabii Hud (Heber)
    • Nchi: Arabia (sasa sehemu ya Saudi Arabia)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Aadil, Saudi Arabia
  9. Nabii Salih (Methuselah)
    • Nchi: Thamud (sasa sehemu ya Saudi Arabia)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Thamud, Saudi Arabia
Katika waislam misikiti mikuu 3
Msikiti wa Al-Haram (Masjid al-Haram)- Mahali: Makkah, Saudi Arabia
Msikiti wa Al-Masjid an-Nabawi (Masjid al-Nabawi)- Mahali: Madinah, Saudi Arabia
Msikiti wa Al-Aqsa (Masjid al-Aqsa)-Mahali: Yerusalemu, Palestina

WAKIRISTO MAKANISA MAKUU
Kanisa la Mtakatifu Petro (St. Peter's Basilica) -Mahali: Vatican City, Roma, Italia
Kanisa la Mitume watatu (Trinity Church)- Mahali: Boston, Massachusetts, Marekani
Kanisa la Hagia Sophia (Aya Sofya)- Mahali: Istanbul, Uturuki
Kanisa la Westminster (Westminster Abbey)- Mahali: London, Uingereza
Kanisa la Martin Luther (Lutherkirche)-Mahali: Wittenberg, Ujerumani

KWANINI MAKANISA MAKU YAPO ULAYA? NA SIO MASHARIKI YA KATI?

KWANINI MUHAMMAD ALIKUWA NA TABIA KAMA ZA WANAWAKE?

1. APAKA WANJA NA PODA KAMA WANAWAKE.
2. ACHUCHUMAA WAKATI WA HAJA NDOGO.
3. ALIVAA MAGAUNI YA WAKE ZAKE.

Japo alikuwa mwanaume lakini Muhammad alikuwa na tabia kama za Wanawake,
Mfano Muhammad alikuwa anachuchumaa wakat anakojoa. Soma ushaidiL
Aisha Mke Wa Mtume Anasema "Mwenye kukuhadithieni kuwa Mtume Wa Allah (S.a.w) alikwenda haja Nnogo wima musimsadiki, (Mtume) Alikuwa hajisaidii Ila AMECHUCHUMAA"
Al'mugh'niy 1/156 Muhamad Pia Alikuwa Hataki Kuona Muislam Mwanaume Anakojoa Hali Amesimama.
Soma Sunan Ibn Majah 1/112 Hadith Na 309, "Mtume wa Allah aliniona najisaidia wima (Haja Ndogo) akasema: Ewe Umar, Usijisaidie Wima.
Sunan Ibn Majah, Hadith Na 309 Muhamad pia alikuwa anatembea Na KIOO Na WANJA,
ALIPAKA WANJA KAMA WANAWAKE:
Ukisoma maisha ya Muhamad kipengele cha Mavazi Na 26 "Muhammad alikuwa na Kitana Cha Pembe Akichania Nywele Zake, alikuwa na Mafuta Na ALIKUWA NA KIOO akijitazama na KICHUPA CHA WANJA ambao akijitia usiku usiku kabla ya kulala na alipenda sana kutumia Manukato..."
Sio Kawaida Mwanaume KUJIPAKA WANJA AU KUKOJOA HUKU AMECHUCHUMAA. LAKINI MUHAMMAD YEYE ALIPAKA WANJA KAMA WANAWAKE NA KUPAKA HINA NDEVU ZAKE.
Hivi hii tabia ya kike aliipata wapi?
ALIVAA MAGAUNI YA AISHA:
From the English translation of the Sahih collection of Imam Muslim, Book 031, Number 5984:
Aisha mke wa Muhammad alisema: Nabii wa Mwenyezi Mungu alikuwa anapata ufunuo wakati amevaa nguo zangu au amejifunika ushingi wangu.
The Book Pertaining to the Merits of the Companions of the Holy Prophet (Kitab Al-Fada'il Al-Sahabah) (http://www.usc.edu/…/fund…/hadithsunnah/muslim/031.smt.html…)
************
From the Sahih collection of Imam Muslim, Hadith Number 4472
Volume Title, “From the Virtues of the Companions.”
Chapter Title, “From the Virtues of Aisha.”
Imesimuliwa na al-Hassan ibn Ali al-Hilwani, ikasimuliwa na Abu Bakr ibn Nadir, ikasimuliwa na Abd ibn Hamid, ikapokelewa na Yakun ibn Ibrahim ibn Sa’d Ibn, ikasimuliwa na baba yake, ikasimuliwa na Salih ibn Shihab, ikasimuliwa na Muhammad ibn Abdel Rahman ibn Harith ibn Hisham akasema kuwa Aisha mke wa Nabii Muhammad alisema:
Mke wa Muhammad alimtuma Fatimah, na alipo ingia chumbani alikumkuta Nabii wa Allah amejilaza kitandani huku akiwa amevaa nguo za mkewe.
 
Kwenye Biblia hakuna jina la Palestina.....Rudi shule kasome jina la Palestina lilianza kutumika lini,hata hiyo Quran unayoiamini Jina Palestine halijatajwa hata maramoja

Philistia (Philistines):
  • Katika Agano la Kale, eneo linalohusiana na jina "Palestina" linaonyeshwa kwa jina la Philistia. Hii ilikuwa sehemu ya pwani ya kusini-magharibi ya Kanaani, inayojulikana kwa maelezo kuhusu Wafilisti.
  • Wafilisti walikuwa kundi la watu wa kale waliokalia pwani ya Kusini-Magharibi ya Kanaani, karibu na miji ya Gaza, Ashkelon, Ashdod, na Ekron.
 
Mkuu unaruka swali Kama Jesus kazaliwa Israel au Palestine kwanini makanisa makuu yapo mbali na asili ya ukristo.

Nipo kujifunza
Yesu hakuanzisha Ukristo, Wafuasi wake ndio walianzisha Ukristo. Yesu pia alikataliwa na Wayahudi kama masihi au nabii wao, isingewezekana Wafuasi wake wakaanzisha makanisa Israel au Palestina ukizingatia ujumbe wake ulikataza kueneza au kutetea Imani kwa vita kwa kutumia mapanga, mikuki na majambia.
 
Umhimu wa Kujua Historia

Mtume Muhammad ﷺ alisema: "Mtu ambaye hana historia, hana maisha" (Abu Dawood).
  • Hii hadithi inasisitiza umuhimu wa kujua na kuelewa historia ili kuwa na mtazamo kamili wa maisha na maendeleo ya kijamii.
Hapa kuna orodha ya manabii waliotajwa katika Agano la Kale na Qur'an, pamoja na maeneo ambapo walizaliwa
Manabii Katika Agano la Kale:
  1. Nabii Ibrahim (Abraham)
    • Nchi: Mesopotamia (sasa Iraq)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Uru, Mesopotamia
  2. Nabii Musa (Moses)
    • Nchi: Misri
    • Mahali pa Kuzaliwa: Misri (katika eneo la mji wa Gosheni)
  3. Nabii Daudi (David)
    • Nchi: Palestina
    • Mahali pa Kuzaliwa: Bethlehemu, Israeli
  4. Nabii Sulemani (Solomon)
    • Nchi: Palestina
  5. Nabii Isaya (Isaiah)
    • Nchi: Palestina
  6. Nabii Yeremia (Jeremiah)
    • Nchi: (inayokaliwa na, Israeli)
  7. Nabii Ezekieli (Ezekiel)
    • Nchi Palestina(inayokaliwa na, Israeli)

Manabii Katika Qur'an:

  1. Nabii Ibrahim (Abraham)
    • Nchi: Mesopotamia (sasa Iraq) na Kanaani (sasa sehemu ya Israeli na Palestina)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Uru, Mesopotamia
  2. Nabii Musa (Moses)
    • Nchi: Misri
    • Mahali pa Kuzaliwa: Misri (katika eneo la mji wa Gosheni)
  3. Nabii Daudi (David)
    • Nchi: Palestina
  4. Nabii Sulemani (Solomon)
    • Nchi: Palestina
    • Mahali pa Kuzaliwa: Palestina
  5. Nabii Isa (Jesus)
    • Nchi: Palestina
    • Mahali pa Kuzaliwa: Palestina
  6. Nabii Muhammad ﷺ
    • Nchi: Arabia (sasa Saudi Arabia)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Makka, Saudi Arabia
  7. Nabii Yunus (Jonah)
    • Nchi: Ninawi (sasa Iraq)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Ninawi, Iraq
  8. Nabii Hud (Heber)
    • Nchi: Arabia (sasa sehemu ya Saudi Arabia)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Aadil, Saudi Arabia
  9. Nabii Salih (Methuselah)
    • Nchi: Thamud (sasa sehemu ya Saudi Arabia)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Thamud, Saudi Arabia
Katika waislam misikiti mikuu 3
Msikiti wa Al-Haram (Masjid al-Haram)- Mahali: Makkah, Saudi Arabia
Msikiti wa Al-Masjid an-Nabawi (Masjid al-Nabawi)- Mahali: Madinah, Saudi Arabia
Msikiti wa Al-Aqsa (Masjid al-Aqsa)-Mahali: Yerusalemu, Palestina

WAKIRISTO MAKANISA MAKUU
Kanisa la Mtakatifu Petro (St. Peter's Basilica) -Mahali: Vatican City, Roma, Italia
Kanisa la Mitume watatu (Trinity Church)- Mahali: Boston, Massachusetts, Marekani
Kanisa la Hagia Sophia (Aya Sofya)- Mahali: Istanbul, Uturuki
Kanisa la Westminster (Westminster Abbey)- Mahali: London, Uingereza
Kanisa la Martin Luther (Lutherkirche)-Mahali: Wittenberg, Ujerumani

KWANINI MAKANISA MAKU YAPO ULAYA? NA SIO MASHARIKI YA KATI?
Tutakujibu vizuri Israeli akishamaliza kubomoa msikiti wa Al Aqsa.
 
Bila shaka umeuliza swali ili uelewe na sio ili ubishane!!

Sasa ili ujibiwe kwa ufasaha na sio upate majibu ya kukisia, nimekuuliza hayo ni makanisa ya nini, ndio niweze kutoa jibu. Kwa hiyo, bado nauliza, ni makanisa ya nini?
Makao makuu ya wakiristo duniani
 
swali kwanini makanisa makuu yapo Ulaya?
KWANINI MUHAMMAD ALIKUWA NA TABIA KAMA ZA WANAWAKE?

1. APAKA WANJA NA PODA KAMA WANAWAKE.
2. ACHUCHUMAA WAKATI WA HAJA NDOGO.
3. ALIVAA MAGAUNI YA WAKE ZAKE.

Japo alikuwa mwanaume lakini Muhammad alikuwa na tabia kama za Wanawake,
Mfano Muhammad alikuwa anachuchumaa wakat anakojoa. Soma ushaidiL
Aisha Mke Wa Mtume Anasema "Mwenye kukuhadithieni kuwa Mtume Wa Allah (S.a.w) alikwenda haja Nnogo wima musimsadiki, (Mtume) Alikuwa hajisaidii Ila AMECHUCHUMAA"
Al'mugh'niy 1/156 Muhamad Pia Alikuwa Hataki Kuona Muislam Mwanaume Anakojoa Hali Amesimama.
Soma Sunan Ibn Majah 1/112 Hadith Na 309, "Mtume wa Allah aliniona najisaidia wima (Haja Ndogo) akasema: Ewe Umar, Usijisaidie Wima.
Sunan Ibn Majah, Hadith Na 309 Muhamad pia alikuwa anatembea Na KIOO Na WANJA,
ALIPAKA WANJA KAMA WANAWAKE:
Ukisoma maisha ya Muhamad kipengele cha Mavazi Na 26 "Muhammad alikuwa na Kitana Cha Pembe Akichania Nywele Zake, alikuwa na Mafuta Na ALIKUWA NA KIOO akijitazama na KICHUPA CHA WANJA ambao akijitia usiku usiku kabla ya kulala na alipenda sana kutumia Manukato..."
Sio Kawaida Mwanaume KUJIPAKA WANJA AU KUKOJOA HUKU AMECHUCHUMAA. LAKINI MUHAMMAD YEYE ALIPAKA WANJA KAMA WANAWAKE NA KUPAKA HINA NDEVU ZAKE.
Hivi hii tabia ya kike aliipata wapi?
ALIVAA MAGAUNI YA AISHA:
From the English translation of the Sahih collection of Imam Muslim, Book 031, Number 5984:
Aisha mke wa Muhammad alisema: Nabii wa Mwenyezi Mungu alikuwa anapata ufunuo wakati amevaa nguo zangu au amejifunika ushingi wangu.
The Book Pertaining to the Merits of the Companions of the Holy Prophet (Kitab Al-Fada'il Al-Sahabah) (http://www.usc.edu/…/fund…/hadithsunnah/muslim/031.smt.html…)
************
From the Sahih collection of Imam Muslim, Hadith Number 4472
Volume Title, “From the Virtues of the Companions.”
Chapter Title, “From the Virtues of Aisha.”
Imesimuliwa na al-Hassan ibn Ali al-Hilwani, ikasimuliwa na Abu Bakr ibn Nadir, ikasimuliwa na Abd ibn Hamid, ikapokelewa na Yakun ibn Ibrahim ibn Sa’d Ibn, ikasimuliwa na baba yake, ikasimuliwa na Salih ibn Shihab, ikasimuliwa na Muhammad ibn Abdel Rahman ibn Harith ibn Hisham akasema kuwa Aisha mke wa Nabii Muhammad alisema:
Mke wa Muhammad alimtuma Fatimah, na alipo ingia chumbani alikumkuta Nabii wa Allah amejilaza kitandani huku akiwa amevaa nguo za mkewe.
 
Tutakujibu vizuri Israeli akishamaliza kubomoa msikiti wa Al Aqsa.
Kama lingalikuwa kanisa zamani lishabomolewa, tangu karne ya 2 huko nyuma. lkn kwa sababu ya msikiti hujui historia. soma

Madhara kwa Wale Waliojjaribu Kuvunja Kaaba:

  • Tukio la Mwaka wa Ndovu: Waliojaribu kuvunja Kaaba walikumbana na adhabu kali ya kimungu, na tukio hilo limeandikwa katika Qur'an kama uthibitisho wa kulindwa kwa Kaaba.
  • Majaribio ya Kabla ya Uislamu: Wale walijaribu kuvunja au kudharau Kaaba walipata matokeo mabaya na mara nyingi walikuwa na matukio ya adhabu au kushindwa katika juhudi zao.
 
Makao makuu ya wakiristo duniani
Sawa. Hayo unayoyataja sio makanisa wala makao makuu ya wakristo, ni makanisa ya madhehebu kadha wa kadha yanayoamini imani ya ukristo. Dhehebu linaweza anzishwa na mtu yoyote tu kama ilivyo chama cha siasa, na lilipoanzishiwa ndipo kutakua na makao makuu

Ni kama ulivyotaja hiyo misikiti, sijui kama ni ya dhehebu moja. Na kama ni moja itashangaza kwa nini makao makuu yawe sehemu 3 tofauti
 
Back
Top Bottom